TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Eneo gani haya yamefanyika? Tupe coordinate Mkuu. Lengo, tuweke rekodi sawa.Kipigo kinaendelea [emoji91][emoji91][emoji123][emoji1255][emoji1255]
[emoji298]The air force of Ukraine's defense forces launched 14 air strikes on Russian troop concentration areas on June 17, destroying two anti-aircraft missile systems.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Walijiona special sana. Sikutegemea kama wanaweza kuwaza katika kiwango chini namna hii katika mipango Yao.Ha ha ha haa,aisee ila Putin kiboka aisee.
Hawa watu wanajua kutesa Hadi Raha
Yaani west wanateswa Hadi huruma.
Mijitu mioga ndivyo ilivyo.Eti US anamshauri Russia apunguze idadi ya silaha zake za nuclear. Really?
Halafu mwisho kabisa ni DENATOZATIONSo, bado DENAZIFICATION, then inafuata SANITIZATION, kisha NOMINATION (re-naming), halafu ASSIMILATION.
Inawezekana labda waliambiwa hicho kifaa kisiangukie mikononi mwa Urusi.Sijui wanajeshi wa Ukraine wana akili gani maana wanaona kabisa kuwa vifaa vyao vya mwanzo vimelipuliwa, cha ajabu wanaenda tena sehemu ile ile ili kuvitoa vilivyolipuliwa.
Cheki kilichowakuta tena baada ya mwenda kwa mara ya pili.[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2661135
Ha ha haa,huyo ni Pro NATO ila anaogopa kujiweka wazi upande huo.watu kama Hawa ni hua hawajiamini na waoga wa hoja.Huyu jamaa sijui anahisi nani anajali yeye kuwa au kutokuwa na upande. Hana upande ila always anawakosoa pro Russia ila sijawahi kuona na kukosa kwake upande anawakosoa kina Vunjo
Aisee west safari hii wamedhalilishwa Kila sehemu.Walijiona special sana. Sikutegemea kama wanaweza kuwaza katika kiwango chini namna hii katika mipango Yao.
.Jambo la msingi mno umefanya
Haya wabongo ambao tupo Ukraine tufahamiane
Mim nipo Odessa ni dereva wa Lori la kusafirisha mizinga ya Ukraine
The fact that UAE sees Russian problem as her own problem is in itself very telling.The President of the United Arab Emirates told Putin:
“Mr. President… there are a lot of threats against us, especially given the current situation in Russia, but we made a decision and took a step, regardless of the conditions set by the West.”
It looks like the balance of power in the Middle East is changing in favor of Russia. But time will tell, as they say: "The East is a delicate matter."
DeNATOnization. Haha! Good one... Nadhani hii itakuja mara tu baada ya mchakato wa Dedollarization kukamilika. Nakumbushwa hapa kwamba umefikia 71% kwa sasa.Halafu mwisho kabisa ni DENATOZATION
Kagumu mno kuelewa kale ka mtu ndugu yanguMwambie Zerensk asarende tu
AmesikiaMsalimie ghost of kiev a.k.a mkuu wa majeshi
Limenipita juzi pale Zinzytr Mud ndiye alikuwa anaendesha
Ulogile shi 🤔Picha ukiwa umeshika bomu