kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Mbna umerukia kwingine? Umeambiwa uweke ushahidi wa Putin kusema kuwa ataisambaratisha Ukraine kwa siku 3, weka kwanza huo ushahidi ndo tujadili hiyo hoja nyingine!Sisi tuna deal na kauli za babako putin halafu akizidiwa tunazileta hapa., kwa mfano jana Defence minister wa Russia amesema kwamba Ukraine, US na Britain wana mpango wa kushambulia Crimea kwa Himars, Shadow weapon akasema jambo ambalo wakijaribu itakuwa ni full escalation kwa nchi ya uengereza na US kuhusika hivyo atajibu mapigo kwenye hizo nchi.
Sasa subiri wewe uone namna Crimea itakavyoshambuliwa halafu atakavyoufyata kushambulia marekani au uengereza,
Mimi sijiskii fahari kuwa hapa jf na deal na vyombo vikubwa habari vya ulimwengu sio huu mtandao wa Africa mashariki sana huko kwenu gongolamboto, shwain
Kujipa moyo ni haki yako. Nikukumbushe kidogo, muirani alivyojibu mapigo kwa kushambuia base zake zilizopo Iraq, marekani ilifanya nini? kumbuka huyo muirani ni mtoto wa mwisho wa mrusiSisi tuna deal na kauli za babako putin halafu akizidiwa tunazileta hapa., kwa mfano jana Defence minister wa Russia amesema kwamba Ukraine, US na Britain wana mpango wa kushambulia Crimea kwa Himars, Shadow weapon akasema jambo ambalo wakijaribu itakuwa ni full escalation kwa nchi ya uengereza na US kuhusika hivyo atajibu mapigo kwenye hizo nchi.
Sasa subiri wewe uone namna Crimea itakavyoshambuliwa halafu atakavyoufyata kushambulia marekani au uengereza,
Mimi sijiskii fahari kuwa hapa jf na deal na vyombo vikubwa habari vya ulimwengu sio huu mtandao wa Africa mashariki sana huko kwenu gongolamboto, shwain
Ata sikuelewi, Iran unayoizungumzia ndio kwanza anaipigia magoti US kuondolewa vikwazoKujipa moyo ni haki yako. Nikukumbushe kidogo, muirani alivyojibu mapigo kwa kushambuia base zake zilizopo Iraq, marekani ilifanya nini? kumbuka huyo muirani ni mtoto wa mwisho wa mrusi
Mbona unarukaruka,weka hapa link ya Putin akisema SMO itachukua siku 3!Sisi tuna deal na kauli za babako putin halafu akizidiwa tunazileta hapa., kwa mfano jana Defence minister wa Russia amesema kwamba Ukraine, US na Britain wana mpango wa kushambulia Crimea kwa Himars, Shadow weapon akasema jambo ambalo wakijaribu itakuwa ni full escalation kwa nchi ya uengereza na US kuhusika hivyo atajibu mapigo kwenye hizo nchi.
Sasa subiri wewe uone namna Crimea itakavyoshambuliwa halafu atakavyoufyata kushambulia marekani au uengereza,
Mimi sijiskii fahari kuwa hapa jf na deal na vyombo vikubwa habari vya ulimwengu sio huu mtandao wa Africa mashariki sana huko kwenu gongolamboto, shwain
Putin anajuta sana
Hebu weka link inayo support haya maneno yako...ni wapi kiongozi wa Russia alisema kwamba Crimea ikishambuliwa atazipiga US na UK...Sisi tuna deal na kauli za babako putin halafu akizidiwa tunazileta hapa., kwa mfano jana Defence minister wa Russia amesema kwamba Ukraine, US na Britain wana mpango wa kushambulia Crimea kwa Himars, Shadow weapon akasema jambo ambalo wakijaribu itakuwa ni full escalation kwa nchi ya uengereza na US kuhusika hivyo atajibu mapigo kwenye hizo nchi.
Sasa subiri wewe uone namna Crimea itakavyoshambuliwa halafu atakavyoufyata kushambulia marekani au uengereza,
Mimi sijiskii fahari kuwa hapa jf na deal na vyombo vikubwa habari vya ulimwengu sio huu mtandao wa Africa mashariki sana huko kwenu gongolamboto, shwain
IN VIDEO: ‘IN UKRAINE, THERE ARE QUEUES AT MILITARY ENLISTMENT OFFICES’ – ZELENSKY
Tazama video kwenye link hapa Chini muone msululu wa wanaojitolea kujiunga na jeshi la Ukraine. Hii ni taarifa ya tarehe 19.06.2023
View attachment 2664108
In Video: 'In Ukraine, There Are Queues At Military Enlistment Offices' - Zelensky
On February 24, 2022, President of Ukraine Volodymyr Zelensky signed decrees on general mobilization and the introduction of martial law...southfront.org
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Achana nae maana inaonekana lugha ni changamoto kwake.
Sisi tuna deal na kauli za babako putin halafu akizidiwa tunazileta hapa., kwa mfano jana Defence minister wa Russia amesema kwamba Ukraine, US na Britain wana mpango wa kushambulia Crimea kwa Himars, Shadow weapon akasema jambo ambalo wakijaribu itakuwa ni full escalation kwa nchi ya uengereza na US kuhusika hivyo atajibu mapigo kwenye hizo nchi.
Sasa subiri wewe uone namna Crimea itakavyoshambuliwa halafu atakavyoufyata kushambulia marekani au uengereza,
Mimi sijiskii fahari kuwa hapa jf na deal na vyombo vikubwa habari vya ulimwengu sio huu mtandao wa Africa mashariki sana huko kwenu gongolamboto, shwain
Mkuu, hivi Ukrainian intelligence yenyewe haipo?the British Intelligence reported.
Naomba T14 Armata , HIMARS na kp kipanya44 mshirikiane kudadavua hii strategy mpya ya Russia. Kuhusu posho baada ya kazi, wala hata msijali. Mtapewa tanker 1 la mafuta na gesi kila mmoja.Wajerumani wamebaki hoi Kwa teknolojia mpya ya mrusi wa kugeuza vifaru kuwa droni za kujitoa mhanga na kuangamiza kabisa maadui zao.
View attachment 2663989
The Russians are using kamikaze tanks!
The Germans at Bild are outraged. These Russians have completely lost their minds. They make drones out of captured tanks and send them to enemy positions without getting out of the trench, to inflict damage, and, well, to mine their territory in the process.
The Wall Street Journal writes: This comes at a time when Kiev is forced to suspend its counteroffensive in the south of the country due to heavy losses of Western armored vehicles.
Ata sikuelewi, Iran unayoizungumzia ndio kwanza anaipigia magoti US kuondolewa vikwazo