mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Wakaitafute kwanza ile ya titanic iliyozama na mabilionea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]NATO nzima wanaweza kuisaka hiyo nyambizi hata miezi minne na vyombo vyao vya habari wakatuaminisha kuwa Ni Jambo gumu ambalo hakuna Nchi inaweza kuifanya.
Sio mjinga kweliHatari kweli kweli....sio rahisi kwa Putin kutumia nuclear hapo Ukraine.
Putin sio mjinga kiasi hicho.
Ongea yako ni kama team upinde! Hujiamini! Una uhakika wewe ni pro Russia?Mkuu Mimi ni Pro Russia, lakini hii counter offensive inanitia mashaka na hofu uwezekano wa Putin kukubali, we unaonaje?
RUSSIA [emoji635] anaupiga mwingiUkiangalia Kwa ukaribu ....ni kama hii vita ilikuwa calculated na Putin ana Allies wake
Coz now days western supremacy inazidi kushuka day to day ......Kila nchi inajitafuta kivyake.......Uganda wanamtishia marekani as well as Saud Arabia
Nmecheka sana kuwa macron kaomba kuhudhuria BRICS summit [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwana una vihabari havina mantiki kabisa. Yaani as long as ni anti-russia, basi unaruka nayo.London-based American investor Bill Browder says people call him the “number one enemy” of Russian President Vladimir Putin and, more recently, an official “Friend of Ukraine.”
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama imekuuma pole [emoji1787]Mwana una vihabari havina mantiki kabisa. Yaani as long as ni anti-russia, basi unaruka nayo.
Klitshko, Kiev’s mayor says there’s internal fighting for power in Kiev …
Hii habari nimeona hata mimi.jamaa anasema wanataka wampige chini kwenye mayor wa KievKlitshko, Kiev’s mayor says there’s internal fighting for power in Kiev …
Mkuu hiyo Nyambizi ipo kupoteza mjadala wa Ukraine kushindwa mashambulizi yake dhidi ya Urusi..NATO nzima wanaweza kuisaka hiyo nyambizi hata miezi minne na vyombo vyao vya habari wakatuaminisha kuwa Ni Jambo gumu ambalo hakuna Nchi inaweza kuifanya.
Kama unavyopotezwa mjadala hapa Tz kupitia Pc Kali za sudani.Mkuu hiyo Nyambizi ipo kupoteza mjadala wa Ukraine kushindwa mashambulizi yake dhidi ya Urusi..
Kifupi hiyo ni propaganda kama propaganda zingine.
Inavyonekana ni kwamba hata mkuu wa majeshi kupotea kwake ni kwa sababu ya kisiasa ila sio kutokana na mashambulizi ya Urusi.Hii habari nimeona hata mimi.jamaa anasema wanataka wampige chini kwenye mayor wa Kiev
Ndio vyombo vya habari vya magharibi hawana Cha kusifia kuhusu Ukraine, hivyo wameona bora wajibanze kwenye hiyo Nyambizi...Kama unavyopotezwa mjadala hapa Tz kupitia Pc Kali za sudani.
Ndio vyombo vya habari vya magharibi hawana Cha kusifia kuhusu Ukraine, hivyo wameona bora wajibanze kwenye hiyo Nyambizi...
Sawa na hapa bongo wazalendo wanapambana kutetea Bandari zetu, halafu kuna wapuuzi wanaturushia sura za wadada wa kisudani watutoe kwenye mjadala.
😆😆 Baada ya kuzidiwa kwenye uwanja wa mapambano, Ukraine anapanga kulipua kinu cha kuzalisha umeme cha Zaporhizhia kama alivyolipua bwawa.Mkuu hiyo Nyambizi ipo kupoteza mjadala wa Ukraine kushindwa mashambulizi yake dhidi ya Urusi..
Kifupi hiyo ni propaganda kama propaganda zingine.
Nakazia hapa Baada ya kuona Russia anafaidika nacho na hataweza kukirudisha Tena anaona Bora akilipue yaani Kuna akili nyingine.[emoji38][emoji38] Baada ya kuzidiwa kwenye uwanja wa mapambano, Ukraine anapanga kulipua kinu cha kuzalisha umeme cha Zaporhizhia kama alivyolipua bwawa.