Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

London-based American investor Bill Browder says people call him the “number one enemy” of Russian President Vladimir Putin and, more recently, an official “Friend of Ukraine.”

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
The people of Ukraine have proven to the world the right to remain free. They have paid with blood, sweat and tears for their place in the ranks of the global community of democracies.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Russia pia inapoteza fedha na askari, huoni baada ya vita Ukraine inaweza kupewa support na misaada wakarudi vyema kiuchumi kwa Kasi? Kumbuka WWII West Germany na East Germany, West Germany walipata maendeleo na kufungua viwanda haraka kuliko East Germany iliyokuwa chini ya Russia kitu kilichopelekea wananchi toka East chini ya USSR kukimbilia West Germany chini ya US, UK na France, hapo ndipo USSR akatengeneza Berlin wall watu wasitoroke na kupunguza nguvu kazi.

Hizi nchi za magharibi zipo vizuri kiuchumi mkuu, unaweza shangaa baada ya vita kusimama wanarudi Kwa Kasi kiuchumi.
Marekani wapo vizuri kwa uchumi wa kuprint hela na propaganda unajua mpaka Sasa Russia imetumia kiasi gani Cha hela kwenye hii vita? Linganisha na hicho Cha hao NATO utajua maana ya super power.
 
OPINION: Threat of Explosion at Europe’s Largest Nuclear Plant Never Higher

The safety and security at Zaporizhzhia Nuclear Power Plant is extremely fragile and an explosion there would be far worse than the 1986 Chernobyl disaster.

Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii nyambizi ya kitalii iliyozama kwenye pwani ya USA, naona inachukua zaidi ya masaa 72 lakini bila bila.

Russia alipokuwa anaisaka ile drone ya US aliyoizamisha kwa kuimwagia mafuta, ilimchukua kama 10hrs tu, akawa ameshaipata na kuondoka nayo. Yaani faster sana.

USA, Canada, France wanaisaka nyambizi ya utalii lakini bila bila...
NATO nzima wanaweza kuisaka hiyo nyambizi hata miezi minne na vyombo vyao vya habari wakatuaminisha kuwa Ni Jambo gumu ambalo hakuna Nchi inaweza kuifanya.
 
OPINION: Threat of Explosion at Europe’s Largest Nuclear Plant Never Higher

The safety and security at Zaporizhzhia Nuclear Power Plant is extremely fragile and an explosion there would be far worse than the 1986 Chernobyl disaster.

Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wakilipue tu hakuna namna wakichome Moto ili Europe ijue Russia Ni Nani maana hao wanajifanya hawajui.
 
OPINION: Threat of Explosion at Europe’s Largest Nuclear Plant Never Higher

The safety and security at Zaporizhzhia Nuclear Power Plant is extremely fragile and an explosion there would be far worse than the 1986 Chernobyl disaster.

Read more on our website.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani hicho kiwanda bado hakijarudishwa kwenye hiyo counter yenu?
 

Tweet​

Open app
See new Tweets



Conversation​


Spetsnaℤ 007 🇷🇺 follows








Mats Nilsson

@mazzenilsson

End game in the Ukraine war approaches?Today Russian Defense Minister Sergei Shoigu made an announcement that has not yet been carried in Western media but which is of the most grave nature.According to the latest intelligence reports, Russia believes that the Ukrainian armed forces now intend to cover their failed counter-offensive in the Donbas by using US-supplied Himars multiple launch artillery and UK-supplied Storm Shadow cruise missiles, possibly in the longer range domestic version, to attack the Crimea.If this happens, says Shoigu, Russia will consider both the United States and Britain to have fully entered the war as co-belligerents. And Russia will immediately respond to any such attack on its territory by destroying “the decision making centers” of the Kiev regime. This is a fairly transparent threat to “neutralize” their government apparatus and personnel, logically including President Zelensky.The statement by Shoigu leaves little doubt that we are entering the final phase of the Ukraine war as a war limited to the geography of Ukraine, and are possibly heading into a wider war with unforeseeable consequences both for Europeans and (finally) for the Americans
 
FzK6xL9WIAAAAlu.jpeg

Mzigo muda wowote russia wanauingiza uwanjani tayari kwa operation yoyote. Dude lina tani 100 na linasafiri 18k kilimeters.
 
Hii nyambizi ya kitalii iliyozama kwenye pwani ya USA, naona inachukua zaidi ya masaa 72 lakini bila bila.

Russia alipokuwa anaisaka ile drone ya US aliyoizamisha kwa kuimwagia mafuta, ilimchukua kama 10hrs tu, akawa ameshaipata na kuondoka nayo. Yaani faster sana.

USA, Canada, France wanaisaka nyambizi ya utalii lakini bila bila...
Huku wakijitapa wana technology kubwa ya kuscan umbali mrefu ardhini na kwenye maji lakini mpaka sasa bila bila
 
Russia haina uwezo wa kukabiliana na NATO, ukitoa silaha za nuclear.

NATO wapo vizuri, Russia inajitahidi sana kukabiliana nao.
Naikubali Russia kijeshi yupo vyema lakini si kuweza kukabiliana na nchi 31.
So kumbe issue ni wingi wa nchi za NATO na uimala wa mbinu na ubora wa silaha!!!

Sasa Ndugu yetu ebu tuambie huo wingi wa nchi za NATO ndio wote wapo hapo Ukraine wakimsaidia ili ashinde vita dhidi ya RUSSIA!!!

Tuambie ,je! Kwa vita jinsi inavyoendelea hapo Ukraine do you think hao NATO 31 wanaweza shinda hii vita???
 

Russian mercenary boss accuses top brass of Ukraine battlefield cover-up​

Russian mercenary chief Yevgeny Prigozhin added fuel to his feud with the top brass on Thursday, accusing them of lying to President Vladimir Putin and the Russian people about the scale of Russian losses and setbacks in Ukraine.

Prigozhin, whose Wagner private militia spearheaded the Russian capture of the Ukrainian city of Bakhmut last month, is resisting an order for mercenary groups like his to sign contracts with the Defence Ministry before July 1.

Prigozhin portrays Wagner as Russia‘s most effective fighting force, and has enjoyed unusual freedom to publicly criticise Moscow - albeit not Putin, on whose support he and Wagner ultimately depend.

Yet the order to bring militias under Moscow’s direct control suggested to some that he may have outlived his usefulness to Putin in challenging a military hierarchy that has failed to deliver the rapid victory he had hoped for.

In a series of emotional audio messages over two days, Prigozhin escalated his repeated criticism of Defence Minister Sergei Shoigu, a close Putin ally, and Valery Gerasimov, chief of the General Staff - by accusing them of hiding Russia‘s “very serious losses on the front” from Putin.

“Total trash is being put on the president’s desk. Shoigu and Gerasimov have a simple approach. The lie must be monstrous for people to believe it. That is what they are doing,” Prigozhin said in one message.

“It’s all being hidden from everyone. Russia will wake up one day and learn that (Russian-annexed) Crimea has been handed over to the Ukrainians ...
“They are misleading the Russian people and if it keeps on like this we’ll be left without the most important thing: Russia.”

There was no immediate response from the Defence Ministry.
<p></p>


=========================
Vyuma vinaumana kweli kweli...
 
Back
Top Bottom