Kwani Russia amekuambia anataka kupambana kwa miaka mingapi?Unless wagawanyike kitu ambacho Putin anakiomba usiku na mchana ili mambo yake yawe mapesi, vinginevyo ndugu hawa watu kwa umoja wao aisee hawashindwi jambo.
Nani alitegemea humu kwamba Urusi eti atapigana na Ukraine kwa mwaka na ushee na bado mambo magumu? wote tulijua ni wiki mbili tatu kwisha, sasa jiulize kumetokea nini.
Wakati mwingine tuongee reality na si ushabiki - yaani ni hivi option aliyonayo Putin ni moja kukaa mezani wayamalize vinginevyo ajiandae kupigana vita vya zaidi ya miaka 10.
Huo mtaji wa 50% at the negotiating table ni wa kitu gani?very simple, kuhakikisha Urusi anapokonywa maeneo yote ya Ukraine anayoyakalia, ili ukifika wakati wa mazungumzo ya amani Ukraine asiwe mnyonge bali awe na mtaji wa not less than 50% at the peace negotiation table.
Vita hii haitakuwa na mshindi, so kwa wale warusi wa Buza wanategemea hilo walifute.
Naona mnaanza kumwaga sera tuambizane km uchaguz unakaribia MnamaUkraine can feed 600 million people in the coming years.
The country’s grain and oilseed production should also increase to 150 million tonnes in 10 years.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa nini hawakuijenga Iraq au Libya?Unless wagawanyike kitu ambacho Putin anakiomba usiku na mchana ili mambo yake yawe mapesi, vinginevyo ndugu hawa watu kwa umoja wao aisee hawashindwi jambo.
Nani alitegemea humu kwamba Urusi eti atapigana na Ukraine kwa mwaka na ushee na bado mambo magumu? wote tulijua ni wiki mbili tatu kwisha, sasa jiulize kumetokea nini.
Wakati mwingine tuongee reality na si ushabiki - yaani ni hivi option aliyonayo Putin ni moja kukaa mezani wayamalize vinginevyo ajiandae kupigana vita vya zaidi ya miaka 10.
Wa bongo Ni keyboard worrier tu, Ndo maana bandari yenu ,mpo mnashabikia ujinga tu . Ma fala Sana
hahaha kipanya anakwambia wameteka vijiji nane alafu hata video ya kijiji kimoja hakuna[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Counter-offensive imekuwa ya kuchukuliwa maeneo zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji722][emoji722][emoji722]Sadovoye and Urozhaynoye in the South-Donetsk direction are under the control of the RF Armed Forces - Russian Defense Ministry[emoji722][emoji722][emoji722]
Wew ulitaka tufanye nin???Wa bongo Ni keyboard worrier tu, Ndo maana bandari yenu ,mpo mnashabikia ujinga tu . Ma fala Sana