jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Kama ni kuhusu hizo data anazoweka verify source yake then prove him wrong. Hiyo ndo njia sahihi.Hivi mkuu una matatizo ya akili au? Mbona sikuelewi!!?
Hayakuhusu! Swali langu ni very specific kwake siyo kwako mkuu!!Kama ni kuhusu hizo data anazoweka verify source yake then prove him wrong. Hiyo ndo njia sahihi.
Ni sawa na nimtukane mtoto wako wa kumzaa mbele yako kwamba " akili zako finyu kama za waliokuzaa"Hizo lawama amemtupia Putin moja kwa moja isipokuwa tu ameamua kuzunguka bila kumtaja ndio maana Putin alikereka.
Kwa nchi zenye serikali za kiimla/kijamaa mawaziri hufanya kazi kulingana na maelekezo ya aliyewateua (hata kama hawakubaliani naye), huwezi kuwalaumu MOD na kina Shoigu ukamuacha Putin.
Alisema hata chanzo cha Vita hii ya kipuuzi ni tamaa tu (maana Ukraine na NATO hazikuwa zimejandaa kushambulia Urusi), ila maafisa wachache wa Jeshi na oligarchs (akiwemo Putin) waliingiwa tamaa tu japo hakumtaja Putin moja kwa moja ila lawama zake zinajieleza alimlenga nani.
Mkuu, kuna inbox. Mambo ya siri ni huko. Ikishakua public yeyote anatoa maoni.Hayakuhusu! Swali langu ni very specific kwake siyo kwako mkuu!!
[emoji28]Mkuu, kuna inbox. Mambo ya siri ni huko. Ikishakua public yeyote anatoa maoni.
Nifiche upande niliopo kwa kumuogopa nani?Pro NATO hua hamjiamini.onesha upande wako sio kujificha ficha.
Wewe ni mfuasi kipofu ambae huwezi kukosoa ukiona mambo hayaendi vizuri upande wako.Ziba ziba na majani sehemu ya nyuma inaonekana mzee. kuwa huru tu[emoji1787]
Moja ya point ya kushidwa kwa Prigo incident au hata kama ilikuwa ya kweli au igizo ni ile move ya mapema ya Putin kuruhusu wasioradhi na SMO ya Ukraine wasepe. Pale walipunguza mamluki wengi wasiompenda Putin na agenda yake ya vita. Waliobaki wengi wanamkubali Putin kama rais na wakiamini fikra zake za uongozi.Toka sintofahamu ya wagner vs russia ianze nimebaini mambo yafuatayo.
1.Putini anakubalika sana na wananchi wake ,hii nikutokana na anavyowasikiliza lakini pia anavyopambana kuiletea urusi maemdeleo.
Urusi ya mwaka 1990 sio urusi ya leo.
2.wasio mpenda putin ni mafisadi ambao wanapesa Mingi na baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali pamoja na jeshi (baadhi).
3.Putin hawezi kaa upande wa wagner akaisaliti katiba na jeshi rasmi la urusi.Suala amabalo ndo lingeleta vita kubwa ambayo ndo ingemuondoa putin.
Ndio maana hotuba ya putin ilikaa kimkakati sana ilionyesha wazi yeye na serikali wapo upande gani.
Hata kama madai ya prigo niya kweli haweza yafuatisha dhidi ya jeshi rasmi la nchi.
4.Unapokua superpower matatizo kama haya hayakosekani. Na usupapower unajionyesha jinsi tatizo linavyoshughurikiwa bila kuathiri shughuri zingine.
Naiona Rusia ikienda kuandika historia nyingine na kuweka rekodi nyingine dhidi ya west.
5.Wagne ipo itaendelea kuwepo hata bila ya prigo.Japo nadhani kwa sasa itabanwa zaidi Ili iwe chini ya Might russia no matter what happens.
Muoga wewe...tunakusoma btn lines tunakuelewa. Sema tu Mimi ni timu upinde then unaendelea na uchangiaji wako
Unaeleweka hata usijali, kila comment oh mi ni timu Russia, oh mi nasapoti urusi oh mi niko upande wa Putin,Haina haja ya kujielezea upande unaoungana nao Kila komenti.Wewe ni mfuasi kipofu ambae huwezi kukosoa ukiona mambo hayaendi vizuri upande wako.
Hauna tofauti na kp kipanya44
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Naona siku hizi umekuwa mtabili,, hongera bro kiratiMungu ni mwema kila wakati, kabla ya kuja anguko lako Huwa anakupa nafasi na kukuonesha ishara mara kwa mara Ili upate nafasi ya kutubu
Ukizidi kukaza shingo ndipo anguko lako linakuja
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
#nuclear warheads
Huyu muhimu sana kwenye vita ukifikisha mahakamani utapunguza morality kundi la wagna, kwahiyo atakufa kidogo kidogoKwa Nini apewe sumu badala ya kufikishwa courtini?
Hiyo ni trick ya marekani kuchochea maasi hata kwa Iran walishawahi sema hivyo hivyoU.S. Secretary of State Anthony Blinken said that the chaos caused by the rebellion of the head of the Wagner PMC, Prigozhin, could continue for several more weeks or months.
According to him, tensions in Russia have been escalating for months, and the effectiveness of the Russian military in Ukraine could be threatened.
"We know that Putin has a lot to answer for in the weeks and months ahead," the official said.
Join our telegram channel for more videos - link in comments
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Imagine that this happened in your country. A "reformer" came to power, who surrendered all positions to the enemies of the state, lost all allies, lost many territories, ruined the economy, industry, science and doomed millions of people to poverty, crime, refugee and war. With a kind word, this creature is remembered either by scumbags who, through criminal means or due to their high position in the USSR, received unimaginable riches for nothing, or politicians lured by the West, who are forced to say on camera what sponsors give them money for. I think his corpse should be mummified and poured into a glass wall, at which Russians and tourists could throw stones, just as Muslims in Mecca throw stones at the wall of the devilWewe mtu..unaelewa kweli unachouliza??Humu ndani kumbe kuna watu weupe sana...tafuteni kwanza taarifa kabla ya kuuliza...duu