Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa akili tu ya kawaida na ya kujiongea.ushafika km 200 kufika ikulu, unaweza kukubali kwenda kupewa hifadhi nnje ya nchi?.

Unajua maana ya kupewa hifadhi kwenye nchi ya watu?.

Madai ya Prigozhin ni kwamba waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi inabidi watolewe, ila cha ajabu anaenda uwamishoni na vikosi vyake vinakuwa chini ya watu wale wale na yeye kalizika kabisa.bado ujiulizi tu kuna nini kinaendelea.
Unapoteza muda wako mkuu kwa hawa watu akili ndogo?.
 
Mimi napingana na wewe na wengine wengi wenye hoja kama Yako kwa swali langu hili,
Je unajuaje kama vyombo vya usalama vya Urusi havikua vinamdukua Prigo?
Unajua kazi ya military Intelligence ndani ya jeshi,ama hyjua kazi ya GRU,FSB na vyombo vingine vya usalama wa Urusi?
Je hujui kua hata waziri wa ulinzi wa Urusi anaangaliwa achiliabmabali wakuu mbalimbali wa vuyombo na tasisi mbalimbali wanaangaliwa kwa karibu,achilia mbali Urusi hata USA na nchi nyingine,Urusi kweli washindwe kumchunguza Prig?
Kwa kifupi amekua akichunguzwa tokea akiwa mpishi wa Rais Putin.
Shida Yako wewe unataka wawe wanatoa taarifa kua anachunguzwa.haiko hivyo.
Nakuunga mkono......lakini kitu kingine watu hawajui, serikali yoyote duniani huanzisha kitu kuwatoa watu kwenye maada kuu
 
Sawa but udhaifu wa nchi kuvunjwa vipande vipande ni mkubwa sana huwezi linganisha na uchaguzi kuingiliwa. Trump kakaa madarakani term moja tu na akafurushwa so hakuna madhara yaliyobakia hadi leo. But USSR haipo tena na kamwe haitotokea ikarudi.
Kuwekewa rais na taifa kingine hakuna madhara? Basi wewe ni juha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kusoma kwako kote hujawahi kusikia mapinduzi yasiyokua na umwagaji damu? Hua ni maigizo pia?
Mimi pia nawakubali Urusi lakini hili tukio limemuachia Putin taswira mbaya sana ya udhaifu, yaani ina maana hana kabisa agents kwenye kikundi kidogo kama Wagner ambao wanaweza ku monitor kila move yao, ameshindwa kuua hata kiongozi mmoja wa kijeshi wa Ukraine, ataweza vipi kuwapeleleza Marekani na wakubwa wengine?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Pro NATO hua hamjiamini.onesha upande wako sio kujificha ficha.
 
Russia says its forces suppressed 30 Ukrainian artillery positions near Krasny Liman

In addition, the aircraft of the "Center" grouping of troops carried out more than 40 sorties, during which missile and bomb strikes were carried out, in particular, on strong points, as well as places where equipment was accumulated, said Alexander Savchuk, head of the press center of the "Center" grouping.
 
Mimi nilijua tu ni mbinu maana Wagner bila Urusi ni kazi bure.silaha zote za wagner zinatoka Urusi.sasa bila Urusi kuwapa silaha wataendesha vipi kazi zao huku Africa.

Huyo Prigozhin yeye ni msimamizi tu ila Wagner ni ya Putin.
Yaa kilichotokea ni ilikuwa kufanya rotational ya wapiganaji sasa wanatokaje field na wanaingiaje field kumpmbaza adui ndo wakafanya vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipigo kinaendelea [emoji91][emoji91][emoji123][emoji123][emoji1255][emoji1255]

[emoji298][emoji298]In the past 24 hours, Ukraine’s Air Force has launched eight strikes on enemy personnel clusters. Ukrainian missile and artillery units hit two Russian command posts, three personnel and military equipment clusters, four ammunition depots, one electronic warfare system, 10 artillery units in firing positions, and three important military targets.[emoji298][emoji298]


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]in a phone call, Ukrainian President Volodymyr Zelensky and United States President Joseph Biden discussed further expansion of defense cooperation, with an emphasis on long-range weapons[emoji1255].


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298]The Wagner Group mercenaries downed six Russian army helicopters and one plane on June 24, Yurii Ihnat, Ukraine’s Air Force spokesman, told the national television on June 25.

Russia lost two attack helicopters and four transport ones.

“Mi-8 transport helicopters are powerful hardware that really helps the Russian army in its war against Ukraine,” the spokesperson said.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Zelenskyy had a conversation with Biden

"We discussed the course of hostilities and the processes taking place in Russia. The world must put pressure on Russia to restore international order. It is important to increase further Ukraine's capabilities to protect our skies. In this context, I thanked for the support of the coalition of fighter jets," — Zelenskyy in Telegram

Join our telegram channel for more videos - link in comments

#

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

Wagner insurrection shows "cracks" emerging in Putin's rule, Blinken says​

From CNN's Shawna Mizelle in Washington

US Secretary of State Antony Blinken said Sunday that the brief and chaotic insurrection in Russia led by the Wagner paramilitary group shows “cracks” in Russian President Vladimir Putin’s role as a leader of the country.

“This is just an added chapter to a very, very bad book that Putin has written for Russia. But what’s so striking about it is, it’s internal,” Blinken told CNN’s Dana Bash on “State of the Union,” describing the situation as “extraordinary.”
“The fact that you have from within someone directly questioning Putin’s authority, directly questioning the premises that — upon which he launched this aggression against Ukraine. That, in and of itself, is something very, very powerful. It adds cracks. Where those go, when they get there, too soon to say, but it clearly raises new questions that Putin has to deal with,” he said.
The comments from the nation’s top diplomat underscore the short-lived intensity of a crisis that started when Yevegeny Prigozhin, the head of the Wagner Group, marched his fighters toward Moscow, taking control of Russian military facilities along the way.

Prigozhin on Friday openly accused Russia’s military of attacking a Wagner camp and killing a “huge amount” of his men. For months, he had railed against Russian Defense Minister Sergei Shoigu and the country’s top general, Valery Gerasimov, whom he blames for Moscow’s faltering invasion of Ukraine.

The Kremlin responded to the show of force from the Wagner Group by deploying heavily armed troops to the streets of Moscow and warning residents to stay indoors.

By Saturday afternoon, the Kremlin said a deal had been reached to end the insurrection, with Prigozhin heading to neighboring Belarus and Wagner fighters turning back from their march.

US intelligence had painted a grim picture, with the expectation that Prigozhin’s march toward Moscow would encounter much more resistance and be “a lot more bloody than it was,” according to one US official.
Read more here.

==========================

Urusi ni 'Africa' ya Ulaya mashariki...
 
Back
Top Bottom