Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Dola trilioni 2,kwa pesa ya madafu ni kiasi gani?Duh Trillion 4,000 kazi kweli kweli currecny gani hii?
Dola trilioni 2,kwa pesa ya madafu ni kiasi gani?Duh Trillion 4,000 kazi kweli kweli currecny gani hii?
Nakupuuza.Mbona unajaribu kujificha sana? Si useme tu kuwa wewe ni mzee wa upinde!!?
Hata Intel ya US ina udhaifu mkubwa pia ambapo Russia wana uwezo wa kuingilia uchaguzi (2016) na kubadilisha raisi.Intel ya Russia ina udhaif US aliweza wapandikizia kiongozi akaivunja USSR.
Ila we jamaa kuna kitu hakipo sawa ama punyeto imekuharibu.Nilishakwambia sitaki heshima yako, sitafuti heshima mtandaoni.
Kama ulikuwa na mpango wa kuheshimu watu tafuta mtaani kwenu uko. NATO haiwezi pigana na kampuni ya babantilie, hiyo kampuni inatishia superpower mpaka Lukashenko aje kusuluhisha ndio unaamua uikuze. Unadhani NATO ni organization ya wajinga, USSR iko wapi.
Ukraine haiwezi pigana na Urusi? Basi tuseme tangu February 2022 wanaimba opera.
Package zinazotoka Marekani kwenda Ukraine ni sawa na zile zinazotoka uko kuja bongo ili mtumie ARVs, mambo ya kawaida sana kwa Marekani kutoa chochote. Tanzania kama ulistahili chandarua za malaria ilipata, Ukraine haiwezi pewa chandarua hayo sio mahitaji yake.
Marekani sio Urusi ambayo hutoa misaada ya silaha kila kona, haitoi kulingana na mahitaji.
Sawa but udhaifu wa nchi kuvunjwa vipande vipande ni mkubwa sana huwezi linganisha na uchaguzi kuingiliwa. Trump kakaa madarakani term moja tu na akafurushwa so hakuna madhara yaliyobakia hadi leo. But USSR haipo tena na kamwe haitotokea ikarudi.Hata Intel ya US ina udhaifu mkubwa pia ambapo Russia wana uwezo wa kuingilia uchaguzi (2016) na kubadilisha raisi.
Na ndo maana Biden sasa hivi ahaha kuhakikisha ashinda uraisi na si Trump.
Trump hadi sasa ataendekea kuwekewa zengwe hadi ashindwe kugombea uraisi lakini intel ya Russia bado ipo kazini.
Ni kweli USSR ilivunjwa kwa msaada wa Gorbachev lakini Russia ya sasa chini ya Putin itasimama imara.Sawa but udhaifu wa nchi kuvunjwa vipande vipande ni mkubwa sana huwezi linganisha na uchaguzi kuingiliwa. Trump kakaa madarakani term moja tu na akafurushwa so hakuna madhara yaliyobakia hadi leo. But USSR haipo tena na kamwe haitotokea ikarudi.
Kwani akiwa shambani hawezi ingia mitandaoni?Kuna yule mpiga punyeto maarufu aliyesema yupo shamba analima na hana Internet
Mara leo eti ghafla yupo humu actively.
Sasa sijui ameacha kulima?
Kuna reform kubwa sana itafinyika Russia hasa kwenye jeshi na wizara ya ulinziNi kweli USSR ilivunjwa kwa msaada wa Gorbachev lakini Russia ya sasa chini ya Putin itasimama imara.
Na hata mapinduzi yaloandaliwa yamezimwa ndani ya masaa 24 na hali yaendelea kama kawaida.
Sikatai, lolote laweza kutokea lakini Russia wamejifunza na watatumia tukio hili kujiimarisha zaidi.
Brigedia wa jeshi.Uelewa wako wa maswala ya kijeshi ni mdogo sana umekalia kucopy na kupaste viartile vya wasiojua kama wewe!
Mapinduzi yanazimwa kwa kukubaliana na terms kadhaa za mhaini! anyway Putin hakuwa na namna alishabanwa kende ashukuru Mungu Lukashenko kaokoa jahaz maana angeendelea kukaza fuvu muda huu ingekuwa habari nyingine.Ni kweli USSR ilivunjwa kwa msaada wa Gorbachev lakini Russia ya sasa chini ya Putin itasimama imara.
Na hata mapinduzi yaloandaliwa yamezimwa ndani ya masaa 24 na hali yaendelea kama kawaida.
Sikatai, lolote laweza kutokea lakini Russia wamejifunza na watatumia tukio hili kujiimarisha zaidi.
Tunarudi palepale katika kuangalia ufanisi wa utendaji kazi wa vyombo vya usalama khasa idara za usalama wa nje ndani na idara ya ujasusi ya kijeshi.Kuna reform kubwa sana itafinyika Russia hasa kwenye jeshi na wizara ya ulinzi
Ok, so mhaini aketi na nawe na mwajadiliana terms.Mapinduzi yanazimwa kwa kukubaliana na terms kadhaa za mhaini! anyway Putin hakuwa na namna alishabanwa kende ashukuru Mungu Lukashenko kaokoa jahaz maana angeendelea kukaza fuvu muda huu ingekuwa habari nyingine.
Putin hakuwa na namna na waswahili hawakukosea waliposema mtu mzima akivuliwa nguo huchutama, Putin angekaza fuvu muda huu habari ingekuwa nyingine ashukuru Mungu Lukashenko aliingilia kati, maana Putin option yake ilikuwa kutumia miguvu.Jana Putin katumia busara sana. Katika siku Putin alicheza kama Pele ni jana
Kuna tofauti ya kuogopa na kutumia busara
Alitaka jeshi lifocus na adui wa nje na hapa ndipo point muhimu ilipo
Kuhusu msaada wa Lukashenko raisi wa Belarus. Ikumbukwe huyo Lukashenko yuko hapo madarakani kwa msaada wa Putin
Prigozhin mwenyewe anajua umuhimu wa Putin na Russia mpaka hapo alipofikia kuwa na Wagner. Bila support ya Putin asingekuwa hapo alipo
Putin jana kazuia sana umwagaji wa damu leo tungekuwa tunaongea mengine
Ni kweli Russia wangeshinda lakini NATO wangetumia kaa advantage dhidi ya kuilemaza Russia kule Ukraine. Hiki ndicho Putin hakutaka kitokee
Mwenye kuelewa na aelewe mwenye kushupaza fuvu na ashupaze