Mkuu nashindwa kukujibu mstari kwa mstari nachelea nisitoke nje ya mada lakini hili tukio vyovyote vile utakavyoliweka limemuachia Putin na Urusi taswira ya udhaifu mkubwa sana, kwa watu serious huyo Prigozhin alitakiwa kuwa eliminated mwanzo kabisa kabla hajaanza kuituhumu hadharani wizara ya ulinzi juu ya namna inavyoendesha vita.
Unavyosema yalikua maigizo!! Yaani unamruhusu mtu atembee km 600, amebakiza only km 200 kukufikia, with all the panic you have caused all along ili tu uwajue walio for/against SMO yako, hii hoja hai hold water!
Mimi nimeshakubali, Russia or Putin are not as mighty as we would like to believe and I have moved on.
Sent from my SM-A135F using
JamiiForums