Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dunia inaenda kasi sana kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

(1) Prigozhin kuwashutumu kina Shoigu kwa kushambulia kambi ya Wagner na kuuwa mamluki 2000.

(2) Prigozhin kuvuka mpaka na kuingia Rostov na kutaka Shoigu atolewa la sivyo ataelekea hadi moscow kumtoa yeye mwenyewe.

(3) Putin kumkingia kifua Shoigu na kumwambia Prigozhin kuwa ni msaliti na mwenye kuweka manufaa yake mbele kwenye usalama wa nchi.

(4) Prigozhin kugomea amri ya Putin na kusema kuwa Raisi anadanganywa na kina shoigu, pia yeye ajafanya mapinduzi bali ni kufikisha ujumbe kwa maslahi ya nchi.

(5)Prigozhin kukubali kupewa ifadhi kwenye nchi ya Belarus na kukubali kukabidhi kundi la wagner kwa shoigu.

(6) Prigozhin na wanamgambo walioshiriki kwenye uasi kupewa msamaha na kufutiwa mashtaka ya uasi.

(7) Kipanya 44 kulalamika kuwa Prigozhin amewapiga pro ukraine na kitu kizito[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
(8) Lukashenko kumpigia magoti Prighozin na kumuepusha swahiba wake na aibu ya milenia na kumsihi sana Prighozin aachane na mipango yake.
 
Marekani haiwezi firisika kisa vita ya kimaskini hii, Marekani inakaa miaka na miaka vitani. Ishindwe firisika ikipigana na Japan na Ujerumani ije kufirisika kisa wachuuzi wa gesi ambao hata simu hawajui kutengeneza. Haijatumia hata 10% ya bajeti yake ya mwaka kijeshi
Ivi unachongea uwa unafanya utafiti au unakurupuka tu kuongea.ivi kuna kitu gani kwa hapa duniani Warusi wameshindwa kutengeneza.ebu niambie icho kitu.

Maana kama ni simu tunazijua zipo vyingi tu ila labda weww ndo uzijui.
 
Mimi nimeshakubali, Russia or Putin are not as mighty as we would like to believe and I have moved on
Upo sahihi kabisa, Russia inakuzwa sana na propaganda tu ila kiuhalisia hana mabavu wala 'u-superpower' wowote ule.

Angalia hata namna Vita alivyoanzisha anavyoshindwa kuvimaliza (miaka 2 anapigana tu).

Ussr ilikuwa tishio na ikasambaratika, Urusi ya Putin ni masikini jeuri tu.
 
Mbona hao NATO wameshindwa kuimaliza!!? Russia siyo ya mchezomchezo ni superpower wa kweli anapigana na zaidi ya nchi 30 na bado anaendelea kusonga mbele!!
 
The PMC mutiny is over:Wagner boss Prigozhin has confirmed cancellation of advance on Moscow​

The mutinous PMC is returning to its field camps, its leader Evgeny Prigozhin has announced
Wagner boss confirms cancellation of advance on Moscow

Servicemen of Russia's private military company Wagner Group are seen on a street in Rostov-on-Don, Russia. © Sputnik /

Sergey Pivovarov
The Wagner Group private military company (PMC) is returning to its “field camps,” its leader Evgeny Prigozhin announced late on Friday. His units staged a mutiny overnight, seizing control of multiple military and administrative sites in the southern city of Rostov-on-Don, as well as launching an advance towards Moscow.
The insurrection had reached the brink of major bloodshed, Prigozhin said, announcing that Wagner’s advancing columns will return to their camps “according to plan.”
“They wanted to disband PMC Wagner. On June 23, we went on a March of Justice in a day. We advanced on Moscow just 200km short, and during this time we did not shed a single drop of the blood of our fighters,”
he claimed.
During the mutiny, however, the private military outfit reportedly downed multiple aircraft and repeatedly skirmished with Russian forces.
Wagner agrees to end ‘insurrection’ – LukashenkoREAD MORE: Wagner agrees to end ‘insurrection’ – Lukashenko
The announcement comes shortly after the press service of Belarusian President Alexander Lukashenko announced he had held successful negotiations with Prigozhin. The talks were held in coordination with Russian President Vladimir Putin, according to Minsk.
“Evgeny Prigozhin accepted the proposal of President Alexander Lukashenko to stop the movement of the armed men of Wagner in Russia and to take further steps to de-escalate tension,” a Belarusian presidency statement declared. It added that Prigozhin had been offered “an advantageous and acceptable option for resolving the situation, with security guarantees for the Wagner PMC fighters.”
The Wagner commander himself, however, has not mentioned the talks with Lukashenko in his latest statements.
You can share this story on social.

The following is an important detail

Upo sahihi kabisa, Russia inakuzwa sana na propaganda tu ila kiuhalisia hana mabavu wala 'u-superpower' wowote ule.

Angalia hata namna Vita alivyoanzisha anavyoshindwa kuvimaliza (miaka 2 anapigana tu).

Ussr ilikuwa tishio na ikasambaratika, Urusi ya Putin ni masikini jeuri tu.
Sasa wale jamaa wanapata tabu ya nini ya kutuma silaha Ukraine.si waende tu moja kwa moja mpaka Urusi wakachukue nchi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila analosema amiri jesh mkuu wa urusi unaamini?. Au hua unachagua vya kuamini?.
Sio suala la ibada kwamba uamini. Ni suala la taarifa. Kubishana na taarifa inayohusu urusi kutoka kwa raisi wa urusi ni ubishi wa kisambaa. By the way taarifa kutoka kwa raisi wa Urusi zinawagusa moja kwa moja warusi, wao ndo wa kuamini au kutokuamini sisi wa pembeni ni taarifa tu ya yanayoendelea nchi nyingine.
 
Ivi unachongea uwa unafanya utafiti au unakurupuka tu kuongea.ivi kuna kitu gani kwa hapa duniani Warusi wameshindwa kutengeneza.ebu niambie icho kitu.

Maana kama ni simu tunazijua zipo vyingi tu ila labda weww ndo uzijui.
Alichoandika huyo mpiga kunyeto hukupaswa kumjibu mkuu... Yani ni sawa na ng'ombe aseme moooh, na wewe umjibu badala ya kumpuuza
 
Marekani haiwezi firisika kisa vita ya kimaskini hii, Marekani inakaa miaka na miaka vitani. Ishindwe firisika ikipigana na Japan na Ujerumani ije kufirisika kisa wachuuzi wa gesi ambao hata simu hawajui kutengeneza. Haijatumia hata 10% ya bajeti yake ya mwaka kijeshi
Hawajui kutengeneza simu, lakini wanapeleka rocket angani na engine zao nibora kuliko hao wanaotengeneza simu. Jambo la msingi ni priority.
 
Hawa wanatafta umaarufu tu,mbona mashambulizi ya September 11,2alishindwa kujua,vipi kuhusu Mauaji ya Rais wao mpaka sasa hawajajua aliyeyatekeleza Leo wajue ya Wagner PMC ?

View attachment 2667992
September 11 na hata ya JFK na RFK zilikua inside jobs.
Mkuu hata mimi siwapendi hata kidogo ila nawaogopa, wameiangusha USSR mkuu, ni kama wameizunguka Urusi yote kupitia NATO.
Kilitokea nini Urusi walivyo station nuclear Cuba?
Kwanini Urusi hapambani na yeye aweke military bases Cuba, Mexico, Venezuela ama Canada?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom