Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nilishakwambia sitaki heshima yako, sitafuti heshima mtandaoni.
Kama ulikuwa na mpango wa kuheshimu watu tafuta mtaani kwenu uko. NATO haiwezi pigana na kampuni ya babantilie, hiyo kampuni inatishia superpower mpaka Lukashenko aje kusuluhisha ndio unaamua uikuze. Unadhani NATO ni organization ya wajinga, USSR iko wapi.

Ukraine haiwezi pigana na Urusi? Basi tuseme tangu February 2022 wanaimba opera.
Package zinazotoka Marekani kwenda Ukraine ni sawa na zile zinazotoka uko kuja bongo ili mtumie ARVs, mambo ya kawaida sana kwa Marekani kutoa chochote. Tanzania kama ulistahili chandarua za malaria ilipata, Ukraine haiwezi pewa chandarua hayo sio mahitaji yake.
Marekani sio Urusi ambayo hutoa misaada ya silaha kila kona, haitoi kulingana na mahitaji.
Vipi network imerudi humo mashambani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Wagner chief Prigozhin will move to Belarus and charges to be dropped under deal​

The Wagner group chief, Yevgeny Prigozhin, will move to Belarus under a deal to end the armed mutiny he led against Russia’s military leadership, the Kremlin said on Saturday night.

The deal was brokered by the Belarusian president, Alexander Lukashenko.

Kremlin spokesman Dmitry Peskov said Lukashenko had offered to mediate, with Vladimir Putin’s agreement, because he had known Prigozhin personally for about 20 years.

Peskov said the criminal case that had been opened against Prigozhin for armed mutiny would be dropped, and that the Wagner fighters who had taken part in his “march for justice” would not face any action, in recognition of their previous service to Russia.

Although Putin had earlier vowed to punish those who participated in the mutiny, Peskov said the agreement had had the “higher goal” of avoiding confrontation and bloodshed.

Prigozhin and all of his fighters vacated the military headquarters in the southern city of Rostov-on-Don that they had previously taken over, the RIA news agency reported.
==========================

Hatimaye jamaa ataishi uhamishoni sasa, huenda hata mamlaka ya kuendesha Wagner yamechukuliwa na MOD.
Shiogu kajichukulia Wagner kiwepesi sana[emoji23][emoji23][emoji23].

Prigozhin itakuwa kaambiwa asimamie Wagner waliyopo Africa na nchi zingine.
 
Putin ni mshenzi na amedhihirisha hilo kwa kuivamia Ukraine bila sababu zozote za msingi. Ukiona NATO, Ulaya na Marekani hawakuungi mkono kwenye vita, jua umekwisha. Shtuka!

Bahati mbaya Putin ni sikio la kufa lakini cha moto anakipata. Ukisoma wajihi wake wakati anahutubia taifa leo utamhurumia, hata kama ulikuwa upande wake. Huyu mtu mikono yake imelowa damu za waukraine waliouawa na hawa wavamizi bila sababu za msingi.

Inasikitisha na inashangaza kuwa kuna baadhi ya watu wenye akili za kihayawani wanaomuunga mkono huyu mbwa anayeangamiza roho za watoto, wanawake na vikongwe wa Ukraine wakiwa hawana hatia wala namna ya kujitetea.

Kinachonisikitisha zaidi ni baadhi ya raia wenye akili za kiqumer wanaomuunga mkono na kumshabikia huyu mbwa. Qumer ya mermer zenu!
​
Baada ya hayo tunaomba tuambie kinachoendelea huko.
 
Sidhani kama uko sahihi kuhusu intelijensia ya Urusi.

Mambo ya nchi nyingine yana Siri kubwa sana.
Nina uhakika 1000% Huyo Prizgon alikua anafatiliwa sana ila sema sis Huku hatuwezi jua mambo ya Siri za ndani za jeshi la Urusi na ndani ya taasisi za usalama.
Prizgon alishaanza manenomaneno na lawama siku nyingi dhidi ya Shoigu na wengineo Tena Katikati ya vita .Sasa hata ujasusi wa kiwango Cha chini kabisa wa ngazi ya familia TU haiwezi kuacha kumtilia shaka na kumfatilia mtu kama huyo.
Hatujui kabisa ni kwa Nini yametokea hayo.
Yaani mtu kama Shoigu mwenyewe TU kama waziri wa ulinzi anaweza akaanza kumtilia mashak na kuanzisha upelelezi binafsi Tu ili kujua ana mipango gani ya ziada baada ya lawama anazorushiwa na Prizgon.
Kuhusu matangazo kua Mkuu wa jeshi wa Mkuu wa upelelezi wa Ukraine sidahni kama Urusi walitoa taarifa rasmi kua wamekufa,nahisi ni vyombo vya habari ndio vilkua vinatoa taarifa.lakini bado narudia huwezi kujua Siri za Kambi.
Hata kama walitangaza kua wamekufa inawezekana pia ni mbinu za kijasusi kutaka kupata uthibitishokama kweli wamekufa ama la,lengo ni ili kuwatoa huko walikojificha.
Kwa kifupi ndugu vita vina mambo mengi sana .
Hatujui pia .

Saa nyingine najiuliza pengine walimuacha hivyo ili wawatambue wanajeshi walio kinyume na smo hii.siju,au walio kinyume na Putin sijui, mambo ni mengi.

Nikirudi upande wa west unaowasifia.

West pia hata wao inelijesnsia zao hazijakamiliaka.
Haujafika muda wa wanajeshi wao kuleta vurugu,ukifika wtaleta TU.
Lkn kama nisuala la utambuzi mbona wanashindwa kutambua mambo mengi TU?mbona wameshindwa kujua nguvu na uwezo wa jeshi la Urusi na uimara wa uchumi wa Urusi?
Angalia mipango Yao jinsi ilivyofeli,vikwazo vyote kwa pamoja west yote na michango ya silaha ya pamoja west yote lkn vimeshindwa kuiangusha serikali ya Putin?

Je utaniambia intelijensia ya USA ni dhaifu baada ya kushambuliwa September 11?
Au kushindwa vita Afghanistan?
Umeueleza kwa uzuri mno,
Kama west wangekuwa wazuri kiintelijensia basi leo wangefanya counterooffensive ya kutosha wakijua Ruusia anahangaika na kuzima Uasi wa ndani.
Kumbuka west wako katika Mazoezi ya ya anga za zaidi ya ndege vita 200, wangeshambulia moscow kwa mgongo wa Uasi na Mapinduzi wa PMC. Labda tukubali kuwa hata wao waligundua ni Propaganda na mtego
 
The Moscow Times: Prigozhin’s Armed Rebellion Will Have Lasting Consequences for Russia, Putin and the Ukraine War.
Ona hata warusi wenyewe wanakubali madhara ya Wagner lakini machawa wa bongo wanaleta ubishi wa kiqumer. Pumbaff!
 
Nilishakwambia sitaki heshima yako, sitafuti heshima mtandaoni.
Kama ulikuwa na mpango wa kuheshimu watu tafuta mtaani kwenu uko. NATO haiwezi pigana na kampuni ya babantilie, hiyo kampuni inatishia superpower mpaka Lukashenko aje kusuluhisha ndio unaamua uikuze. Unadhani NATO ni organization ya wajinga, USSR iko wapi.

Ukraine haiwezi pigana na Urusi? Basi tuseme tangu February 2022 wanaimba opera.
Package zinazotoka Marekani kwenda Ukraine ni sawa na zile zinazotoka uko kuja bongo ili mtumie ARVs, mambo ya kawaida sana kwa Marekani kutoa chochote. Tanzania kama ulistahili chandarua za malaria ilipata, Ukraine haiwezi pewa chandarua hayo sio mahitaji yake.
Marekani sio Urusi ambayo hutoa misaada ya silaha kila kona, haitoi kulingana na mahitaji.
Dah kiongozi umerudi, hii MUTINY . Ni kama BambaLive
 
Sidhani kama uko sahihi kuhusu intelijensia ya Urusi.

Mambo ya nchi nyingine yana Siri kubwa sana.
Nina uhakika 1000% Huyo Prizgon alikua anafatiliwa sana ila sema sis Huku hatuwezi jua mambo ya Siri za ndani za jeshi la Urusi na ndani ya taasisi za usalama.
Prizgon alishaanza manenomaneno na lawama siku nyingi dhidi ya Shoigu na wengineo Tena Katikati ya vita .Sasa hata ujasusi wa kiwango Cha chini kabisa wa ngazi ya familia TU haiwezi kuacha kumtilia shaka na kumfatilia mtu kama huyo.
Hatujui kabisa ni kwa Nini yametokea hayo.
Yaani mtu kama Shoigu mwenyewe TU kama waziri wa ulinzi anaweza akaanza kumtilia mashak na kuanzisha upelelezi binafsi Tu ili kujua ana mipango gani ya ziada baada ya lawama anazorushiwa na Prizgon.
Kuhusu matangazo kua Mkuu wa jeshi wa Mkuu wa upelelezi wa Ukraine sidahni kama Urusi walitoa taarifa rasmi kua wamekufa,nahisi ni vyombo vya habari ndio vilkua vinatoa taarifa.lakini bado narudia huwezi kujua Siri za Kambi.
Hata kama walitangaza kua wamekufa inawezekana pia ni mbinu za kijasusi kutaka kupata uthibitishokama kweli wamekufa ama la,lengo ni ili kuwatoa huko walikojificha.
Kwa kifupi ndugu vita vina mambo mengi sana .
Hatujui pia .

Saa nyingine najiuliza pengine walimuacha hivyo ili wawatambue wanajeshi walio kinyume na smo hii.siju,au walio kinyume na Putin sijui, mambo ni mengi.

Nikirudi upande wa west unaowasifia.

West pia hata wao inelijesnsia zao hazijakamiliaka.
Haujafika muda wa wanajeshi wao kuleta vurugu,ukifika wtaleta TU.
Lkn kama nisuala la utambuzi mbona wanashindwa kutambua mambo mengi TU?mbona wameshindwa kujua nguvu na uwezo wa jeshi la Urusi na uimara wa uchumi wa Urusi?
Angalia mipango Yao jinsi ilivyofeli,vikwazo vyote kwa pamoja west yote na michango ya silaha ya pamoja west yote lkn vimeshindwa kuiangusha serikali ya Putin?

Je utaniambia intelijensia ya USA ni dhaifu baada ya kushambuliwa September 11?
Au kushindwa vita Afghanistan?
Mtu anaisifia west utadhani mtoto,anasahau juzi hapa Serikali ya Ujerumani ilikuwa ipinduliwe.
 
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️Part of the Wagner PMC fighters, who initially refused to participate in Prigozhin's "campaign", will sign contracts with the Ministry of Defense - Peskov[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
Okay, tunaanza kuelewa sasa. Kwamba Prigo alikuwa anafanya uchambuzi nani miongoni mwa jeshi lake ameiva kuwa mzalendo wa kweli Russia.
 
Duh! Hii ya Leo tumepigwa changa la macho!
Sijajua nini kimetokea

Staki kuamini kwa Ile body language ya Putin alivyokuwa anautubia taifa.., kwamba huu unaweza kuwa mchezo wa kuigiza

Au huenda niko ndotoni , maana haya mambo siyaelewielewi kabisa [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Drilling zipo mkuu, taasisi yoyote imara lazima kuwe na business continuity plan na stress testing kujipima dhidi ya majanga
 
Back
Top Bottom