Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pro NATO [emoji23][emoji23][emoji23] walianza kuandika Hadi nyaraka[emoji23][emoji23]

View attachment 2667817
Walikuwa wanajichekesha awajui vizuri Urusi awa.Prigozgin kwa sasa amepewa hifadhi belarus ila naimani Putin atamsamehe tu maana ni mzalendo atakama kakosea.naimani Wagner itarudi mzigoni tu
 
Pro Russia Sasa zamu yetu kutawala jukwaa maana sio kwa uvamizi huo wa Leo yaani huwezi kuamini leo sijatoka ndani nimejifungia tu kweli nimefadhaika sana.
Sikua na wasiwasi hata kidogo juu ya uasi huu.
Sikua na wasiwasi kwa sababu
Kwanza Wagner sio jeshi halisi la Urusi,lingekua jeshi hapo ningeogopa,
Pili Wagner kama Wagner hawangeweza kukabiliana na jeshi kamili la Urusi.
Tatu,mafanikio ya Wagner huko Ukraine yalichangiwa na silaha za Urusi kuanzia mawasiliano, intelligensia na mipango,Sasa peke Yao wangetoabsilaha wapi na intelijensia wapi?kumbuka Wagner wanapigana na NATO yenye Kila aina ya zana na mbinu za kivita,Sasa Wagner peke Yao bila Urusi hawawezi kuishinda jeshi la Ukraine NATO.
Lakini hata kama Wagner wangekaza ujue Kuna nchi zingeingia mzigoni dhidi Yao.kumbuka vita hii imekaaa kidunia zaidi.yaane west na east.
Hata hivyo prizgon kaharibu kaonesha utovu wa nidham na itamgharimu hii.
Lkn pia hii ni nzuri kwani imewaamsha watu wa Urusi na wanausalama.
 
Unashangaa naitaja Poland?
Putin kapigana na mchekeshaji Joti wa Ukraine kijana Zelensky, mpaka sasa yamemshinda. Sasa kaanza kupigana babantilie Sele bonge mzee Prigozhin mmiliki wa kampuni 😂.

Sasa Putin ndio akapigane na Andrzej Duda?View attachment 2667653
Na cha ajabu nini sasa wakati Poland iliwahi itandika Urusi, na kwenye WW2 USSR ililazimika ishirikiane na Ujerumani kugawana Poland na bado walioanza kushambulia ni Ujerumani. Poland ndio wangekuwa vitani mbona wanamgambo wa Urusi wangeshapoteana muda sana.

Nchi yenyewe jeshi haliwezi zuia vibaka na wafungwa waliotolewa gerezani na kupigana miezi nane dhidi ya Ukraine na kuambulia kamji kamoja kenye chumvi, wakati huo Wagner haohao wametumia masaa tu hata siku haijafika kuteka mji muhimu kabisa kwenye ulinzi wa Magharibi mwa Urusi. Sasa hiyo nchi iweze Poland?
Kuzuia Wagner wanaitwa wale Tiktokers akina Kadyrov wanatokea Mashariki ya mbali uko na wako alfu kadhaa tu, wakati nchi ina wanajeshi zaidi ya milioni wanakunywa uji sijui. Yalaa! superpower uchwara kapigwa na kitu kizito kichwani😂😂.

"Russia ni taifa teule" by Bwana Utam
Ndio maana heshima Yako imeshuka sana humu Jukwaani,kumbe unaishi kwa kukalili.
Watu wanakushambulia kwa sababu walidhani utakua na hoja kama vile zamani,lkn Sasa umepoteza mwelekeo.
Hivi kwa jinsi unavyojifanyaga mchambuzi,kweli unaweza kusema Ukraine inapigana na Urusi?
Sasa zile package mnazofurahiaga kutoka USA NATO hua mnafirahia za Nini?
Kwa kifupi NATO ndio inapigana na Wagner.
Ukraine inaweza wapi kupigana na Urusi?
 
Vikosi vya Ukraine leo vimepokea dozi ya maana pamoja na mambo yote yaliyotokea leo.

Leopard aitamaniki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20230625_002840_646.jpg
IMG_20230625_002902_145.jpg
IMG_20230625_002853_926.jpg
 
Ndio maana heshima Yako imeshuka sana humu Jukwaani,kumbe unaishi kwa kukalili.
Watu wanakushambulia kwa sababu walidhani utakua na hoja kama vile zamani,lkn Sasa umepoteza mwelekeo.
Hivi kwa jinsi unavyojifanyaga mchambuzi,kweli unaweza kusema Ukraine inapigana na Urusi?
Sasa zile package mnazofurahiaga kutoka USA NATO hua mnafirahia za Nini?
Kwa kifupi NATO ndio inapigana na Wagner.
Ukraine inaweza wapi kupigana na Urusi?

Tokea alipokiri kwamba muda mwingi anapenda kuutumia kwenye kupiga punyeto.

Ndipo nilipomtoaga maana.
 
Kwanin mkuu?
Wagner ni sisismizi TU mbele ya jeshi la wazalendo la Russia.
Russia imepigana vita ngumu sana hapa duniani vita kuu ya pili ya Dunia na ikashinda.
Kama Wagner wangekaza shingo maana yake NATO ingeona kua hilo ni dodo chini ya muarobani.
Unafikiri Urusi ingekubali kurudishwa nyuma wakati inaelekea kushinda?
Maana NATO ingefurahi kwamba jeshi la Urusi Sasa lina kazi mbili kupamana kuwazima Wagner na kupambana kulinda maeneo waliyoyakamata,hivyo nguvu ya kukabiliana na jeshi la NATO yaani Ukraine ingepungua hivyo NATO wngeongeza nguvu.
Kwa Hali hiyo Urusi kwa kuepuka usumbufu angeona ya Nini niteseke wakati Nina silaha ya rufaa?,angeachia kitu.
Unajua vita ya nyukilia ni rahisi sana kutokea tofauti na watu wengi wanavyofikiria.
Kwa sababu Urusi na USA wanaogopa kuwahiana.kwamba akiniwahi TU kanimaliza hivyo Kila mtu anawaza akipata ka sababu kadogo TU anamuwahi mwenzie.
 
number of helicopters and planes were shot down by
Wagner PMC:

3 - Mi-8mtpr (electronic warfare helicopters)
1 - Mi-8 (transporter)
1 - Ka-52 (Strike and reconnaissance)
1 - Mi-35 (combat)
1 - Il-18 vzpu aircraft (air command post)

Recall that during the 3 weeks of the Ukrainian counteroffensive, not a single attack helicopter was shot down
Ni rahisi sana kupiga silaha au jeshi lenu kwa sababu mnakua bado mnaaminiana ,wanajeshi kutokuua kama Kuna uasi,na hata Siri za ndani waasi wanajua bado wanazijua..
Lakini pindi Counterinsurgency team wakiingia kazini mambo hubadilika.
 
Back
Top Bottom