Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimefuatilia hili swala la PMC kwenye vyombo vingi vya habari na mitandao mingi ya Kirusi huko telegram na Twitter.

Kifupi ni kwamba haya ni MAIGIZO yenye lengo maalumu ambalo hata Mimi silijui.
Na ndio maana hamna hata risasi moja iliyorushwa au kujeruhi hata sisimizi wataingia king walipo jificha wamalizwe wote mchezo uishe .nato mazombi yanategwa nayo yanategeka
 
For now Rumors.
in accordance with Lukashenka's plan, the leadership of the Ministry of Defense will resign; Prigozhin will focus on projects in Africa.
Watu watambue sasa kwamba vita vya Ukraine vinaingia kwenye phase ya mwisho na muhimu kabisa. I hope people are reading between the lines.

Hii ni prelude ya kitu fulani kizito soon.
 
Unashangaa naitaja Poland?
Putin kapigana na mchekeshaji Joti wa Ukraine kijana Zelensky, mpaka sasa yamemshinda. Sasa kaanza kupigana babantilie Sele bonge mzee Prigozhin mmiliki wa kampuni 😂.

Sasa Putin ndio akapigane na Andrzej Duda?View attachment 2667653
Na cha ajabu nini sasa wakati Poland iliwahi itandika Urusi, na kwenye WW2 USSR ililazimika ishirikiane na Ujerumani kugawana Poland na bado walioanza kushambulia ni Ujerumani. Poland ndio wangekuwa vitani mbona wanamgambo wa Urusi wangeshapoteana muda sana.

Nchi yenyewe jeshi haliwezi zuia vibaka na wafungwa waliotolewa gerezani na kupigana miezi nane dhidi ya Ukraine na kuambulia kamji kamoja kenye chumvi, wakati huo Wagner haohao wametumia masaa tu hata siku haijafika kuteka mji muhimu kabisa kwenye ulinzi wa Magharibi mwa Urusi. Sasa hiyo nchi iweze Poland?
Kuzuia Wagner wanaitwa wale Tiktokers akina Kadyrov wanatokea Mashariki ya mbali uko na wako alfu kadhaa tu, wakati nchi ina wanajeshi zaidi ya milioni wanakunywa uji sijui. Yalaa! superpower uchwara kapigwa na kitu kizito kichwani😂😂.

"Russia ni taifa teule" by Bwana Utam
Sasa hapa ndio umeandika mashudu gani? Ndio maana mnachezeshwa nyimbo na wegna mnakatika tu
 
As reported, the criminal case against Prigozhin, within the framework of the agreements reached, has either already been terminated, or will be terminated in the very near future.

Putin phoned Lukashenka and thanked Batka for the efforts made to de-escalate the situation.

Also, a number of channels indicate a significant role in the negotiations of the Tula governor Dyumin.
 
Message from the press service of the President of the Republic of Belarus.

This morning, Russian President Vladimir Putin briefed his Belarusian counterpart on the situation in southern Russia with the private military company Wagner. The heads of state agreed on joint actions.
As a follow-up to the agreements, the President of Belarus, having additionally specified the situation through his own channels, and in agreement with the President of Russia, held talks with the head of Wagner PMC Yevgeny Prigozhin.
Negotiations continued throughout the day. As a result, they came to agreements on the inadmissibility of unleashing a bloody massacre on the territory of Russia. Yevgeny Prigozhin accepted the proposal of the President of Belarus Alexander Lukashenko to stop the movement of armed persons of the Wagner company on the territory of Russia and take further steps to de-escalate tensions.
At the moment, an absolutely profitable and acceptable option for solving the situation is on the table, with security guarantees for the Wagner PMC fighters.
As previously reported, also during today, the President of Belarus held two meetings with the power bloc of the country on this situation.
 
team NAFO leo wamejua kutujambisha, mpaka thread wameanzisha.

Wameona ile ya figganigga haitoshi.
Russia [emoji635] ina maadui wengi mpaka kwenye taifa linalotapeliwa bandari.

Muda wa kwenda kuibeba kharkiv na odessa umefika.

Hawa ndo maadui wa Russia wakubwa.
1. LGBTQIA
2. Tim USA/NATO
 
Back
Top Bottom