Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hata macho yake yalionekana kuwa mekundu Sana!

Kwa mara ya kwanza tangu hii vita ianze Leo nimejisikia kumuhurumia Putin aisee!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Taratiibu enzi ya Putin inaanza kuisha siku si nyingi utawala wake unaenda kuanguka. Ilikuwa ni suala la muda tu kamwe hii vita aliyoianzisha Putin isingemletea faida yoyote kwenye kustawisha utawala wake. Angekuwa mjanja wala asingeanzisha vita maana kuikweli kamwe Ukraine wasingeishambulia au kuivamia urusi hata kidogo. Ndiyo tatizo la vinchi vya kikomunisti kiongozi anakuwa anaona pride kuanzisha vita zisizo na tija na huku machawa yakimtia ndimu.
 
Kwa bahati mbaya uwezekano ni mdogo uasi wa Prigo utammaliza Putin. Prigo atakwisha.
Ila yanayoendelea yanaonyesha udhaifu wa mfumo wa Putin.
Hatahivyo wako watakaoendelea kutufurahisha na ibada zao za "mwamba mkubwa".
Ni kweli: amezaa mfumo wa Yes-Men a ajificha katika dunia yake dogo na hivyo hakujua alichoanzisha alipoamua kushambulia Ukraine..
Ni mjinga tu ambaye anafikiria putin atakwisha hili jambo soon litakwisha.
 
Putin ni mshenzi na amedhihirisha hilo kwa kuivamia Ukraine bila sababu zozote za msingi. Ukiona NATO, Ulaya na Marekani hawakuungi mkono kwenye vita, jua umekwisha. Shtuka!

Bahati mbaya Putin ni sikio la kufa lakini cha moto anakipata. Ukisoma wajihi wake wakati anahutubia taifa leo utamhurumia, hata kama ulikuwa upande wake. Huyu mtu mikono yake imelowa damu za waukraine waliouawa na hawa wavamizi bila sababu za msingi.

Inasikitisha na inashangaza kuwa kuna baadhi ya watu wenye akili za kihayawani wanaomuunga mkono huyu mbwa anayeangamiza roho za watoto, wanawake na vikongwe wa Ukraine wakiwa hawana hatia wala namna ya kujitetea.

Kinachonisikitisha zaidi ni baadhi ya raia wenye akili za kiqumer wanaomuunga mkono na kumshabikia huyu mbwa. Qumer ya mermer zenu!
​
 
Unaendelea kuonesha hujitambui yaani wewe unajua kuliko warusi na kwamba hawakuwa na sababu ya kuvamia Ukraine?acha kujiaibisha
 
Ndiyo tatizo la vinchi vya kikomunisti kiongozi anakuwa anaona pride kuanzisha vita zisizo na tija na huku machawa yakimtia ndimu.
Mkuu sio machawa tu; hata hapa TZ kuna mijitu isiyojitambua ambayo imelamazwa na siasa za kishabiki za CCM inaunga mkono udhalimu wa Putin. Ushabiki wa kiqumer wa Yanga na Simba na ule wa CCM vs Upinzani umetufikisha katika kiwango cha ovyo sana cha kufikiri.

Unakuta jitu linaona kabisa kuwa Putin kaanzisha vita ya kipumbavu na anawaua raia na kuwasababishia mateso bila sababu za msingi, lakini utakuta jitu linamshabikia hadi mishipa ya shingo inamtoka kwa sababu tu limeamua kuchagua upande wa shetani. Inauma sana.

Ushabiki wa kiqumer kama huu ndio unasababisha CCM iendelee kututesa na kuuza rasilimali za taifa kwa sababu wanajua nyuma yao kuna manyumbu kibao yanawaunga mkono. Qumer ya murmur zao!
​
 
Putin ni mshenzi na amedhihirisha hilo kwa kuivamia Ukraine bila sababu zozote za msingi. Ukiona NATO, Ulaya na Marekani hawakuungi mkono kwenye vita, jua umekwisha. Shtuka!

Bahati mbaya Putin ni sikio la kufa lakini cha moto anakipata. Ukisoma wajihi wake wakati anahutubia taifa leo utamhurumia, hata kama ulikuwa upande wake. Huyu mtu mikono yake imelowa damu za waukraine waliouawa na hawa wavamizi bila sababu za msingi.

Inasikitisha na inashangaza kuwa kuna baadhi ya watu wenye akili za kihayawani wanaomuunga mkono huyu mbwa anayeangamiza roho za watoto, wanawake na vikongwe wa Ukraine wakiwa hawana hatia wala namna ya kujitetea.

Kinachonisikitisha zaidi ni baadhi ya raia wenye akili za kiqumer wanaomuunga mkono na kumshabikia huyu mbwa. Qumer ya mermer zenu!
​
Uingereza na Ujerumani zilizoua waafrika na kuiba rasilimaliza Africa hujawahi kuzilaani ulivyo na akili ndogo kama ya mbu,Leo unamsema Putin!?🚮
 
Unaendelea kuonesha hujitambui yaani wewe unajua kuliko warusi na kwamba hawakuwa na sababu ya kuvamia Ukraine?acha kujiaibisha
Wewe mrusi wa ukweli uliyeivamia Ukraine tupe sababu za msingi za kufanya hivyo. Kwa jinsi ulivyokuwa mrusi, hata ukichanjwa utatoa damu nyeupe.
 
Back
Top Bottom