tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Hata Putin mwenyewe kasema hali mbaya, maana Rostov ndiyo main supply hub ya Russia huko Ukraine, kuanzia ndege
Sasa uatashangaa pamoja kuwa Putin mwenyewe kakubali hali ni mbaya lakini utakuta kuna mishabiki uchwara na michawa inakataa. Mijitu mingine inaudhi sana. Sijui imerogwa na nani. Inakera sana aisee!