Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Subiri sasa uone .....kikosi kilicho ishinda nato kinavyo salimu amri kwa jeshi ...ndipo mtajua urusi siyo zimbabweHabari za hivi punde
Jeshi la Urusi limeanza lipua maghala ya Mafuta ili kuzuia Wagner kusonga mbele
Hayo yametokea huko Voronezh mji mmoja ambao uko chini ya Wagner.
Wagner wamesema wanasonga hadi wafike Moscow na wataharibu yeyote atayewazuia.
Wametishia kupata rais mwingine.
Wamesema Putin ni mla rushwa