tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Sasa nimekupata vizuri mkuu. Tatizo huu uzi umevamiwa na machawa pro Putin hadi tunashindwa kuelewna.Mkuu Soma kwanza halafu tafakari, baadaye jibu. #Bugucha alikuuliza mbona ulikaa kimya wakati Wajerumani waliwaua Waafrika lakini unamsemea Putin. Nikamjibu yeye hakuona wala kusema kitu maana hakuzaliwa wakati ule. Afadhali kujadili hao walioko leo. Mfano Putin..