Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tuliona tunabishana na mataahira , ikabid tusubir mda utoe uamzi sahihi , ukijifunza deeply jinsi WW2 ilivyotembezwa ndo utajua Kwa usahihi kuwa ilikuwa ni suala la mda tuu kuhusu Putin na inaweza ikawa sio Leo au kesho Ila lazima tuu aishiwe pumzi ..... Mzungu akikuona we imara anakupeleka mdogo mdogo Kwa mda mrefu usioisha Ila Kwa uhakika mpak watu ulio nao wachoke , manung'uniko yakianza tuu ( Public or Millitary) jua kwisha habar yako
Hahahahaaaa,mmerudi!Hii ya Wagner imewatoa digidigi kwenye mashimo!Sasa Sijui furaha yenu itadumu kwa muda gani!
 
Kuna Mambo nashindwa kuyaelewa:

  • Mkuu wa Wagner Prigozin anasema Ministry of Defense imepiga bomu na kuua wanajeshi wa Wagner zaidi ya 2,000. Sasa najiuliza, hiyo miili ya wanajeshi 2,000 ipo wapi? Wameuliwa sehemu gani?
  • Anasema ameteka Commanding Centre ya ROSTOV. Je, commanding centre ya ki jeshi inaweza kutekwa/kuvamiwa na hata risasi moja isipigwe?
  • Anasema wanajeshi wa Wagner wamevuka mpaka kutoka Ukraine na kurudi ROSTOV, lakini hatuoni convoy yoyote ya magari ya wanajeshi wa Wagner wakiwa wanarudi kuvuka kuja ROSTOV.
  • Hatuoni FSB wakifanya manhunt ya kumkamata Pregozin.

Something is fishy here....
 
"Bado tuna matukio makuu mbele yetu," Naibu Waziri wa Ulinzi wa Ukraine Hanna Maliar aliambia vyombo vya habari. "Na pigo kuu bado linakuja. Hakika, baadhi ya hifadhi - haya ni mambo ya hatua - yataanzishwa baadaye."

Wakati huo huo, EU imepitisha kifurushi chake cha 11 cha vikwazo dhidi ya Urusi.
 
Msije mkasahau hii.

1687594140426.png
 
Kuna Mambo nashindwa kuyaelewa:

  • Mkuu wa Wagner Prigozin anasema Ministry of Defense imepiga bomu na kuua wanajeshi wa Wagner zaidi ya 2,000. Sasa najiuliza, hiyo miili ya wanajeshi 2,000 ipo wapi? Wameuliwa sehemu gani?
  • Anasema ameteka Commanding Centre ya ROSTOV. Je, commanding centre ya ki jeshi inaweza kutekwa/kuvamiwa na hata risasi moja isipigwe?
  • Anasema wanajeshi wa Wagner wamevuka mpaka kutoka Ukraine na kurudi ROSTOV, lakini hatuoni convoy yoyote ya magari ya wanajeshi wa Wagner wakiwa wanarudi kuvuka kuja ROSTOV.
  • Hatuoni FSB wakifanya manhunt ya kumkamata Pregozin.

Something is fishy here....
Unataka uone convoy ukiwa wapi buza au tandale??.
 
Rais wa Urusi Vladimir Putin anasema "maasi ya kutumia silaha" ya Kundi la Wagner ni uhaini, akiongeza kuwa "hatua madhubuti" itachukuliwa dhidi yao.
Wagner wamejichukulia Rostov kilaini sana, hivyo kwa sasa wana uhakika wa silaha na coordinates za walipo Warusi ndani ya Ukraine, tutegemee Ukraine kupiga kambi nyingi za Russia
 
Prigozhin muda sio mrefu atarudi tu uwanja wa vita wala awezi kukaza maana jamaa yake Putin kamkataa tayari.

Akikaza basi maisha yake yapo hatarini sana na Wagner group mwisho wake utakuwa umefika.maana bila Putin vikosi vya Wagner vilivyo africa vitatoa wapi silaha na maitaji mengine.
Anarudi vipi wakati jana alitakiwa uawa?

Wagner tayari ni expendable na unreliable
 
Kuna Mambo nashindwa kuyaelewa:

  • Mkuu wa Wagner Prigozin anasema Ministry of Defense imepiga bomu na kuua wanajeshi wa Wagner zaidi ya 2,000. Sasa najiuliza, hiyo miili ya wanajeshi 2,000 ipo wapi? Wameuliwa sehemu gani?
  • Anasema ameteka Commanding Centre ya ROSTOV. Je, commanding centre ya ki jeshi inaweza kutekwa/kuvamiwa na hata risasi moja isipigwe?
  • Anasema wanajeshi wa Wagner wamevuka mpaka kutoka Ukraine na kurudi ROSTOV, lakini hatuoni convoy yoyote ya magari ya wanajeshi wa Wagner wakiwa wanarudi kuvuka kuja ROSTOV.
  • Hatuoni FSB wakifanya manhunt ya kumkamata Pregozin.

Something is fishy here....
Hivi fishy wakati wanajeshi wamejiunga naye?
 
Back
Top Bottom