Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

MZOZO wa kisiasa unaoendelea nchini Urusi umezuka na kuwa mgogoro.

Vyombo vya habari vya magharibi na vile wa Urusi vimeripoti kuwa Mkuu wa Jeshi la mamluki la Urusi linalopigana nchini Ukraine pamoja na vikosi rasmi vya kijeshi vya Moscow ametangaza vita dhidi ya wizara ya ulinzi ya Urusi, akidai kuwa vita vya Urusi nchini Ukraine vilitokana na njama kubwa ya maafisa wa ulinzi kumpotosha Rais wa Urusi, Vladimir Putin.

Yevgeny Prigozhin, Mkuu wa Kampuni ya kijeshi ya kibinafsi ya Wagner, pia anadai kwamba vikosi vya serikali ya Urusi viliwapiga watu wake na kusababisha vifo vingi.

Wizara ya ulinzi ya Urusi inakanusha kuhusika na mgomo huo, lakini Prigozhin amedai kwamba ataandamana hadi mji wa kusini mwa Urusi wa Rostov na kuendelea ikiwa ni lazima kuwaangusha maafisa wafisadi wanaoongoza wizara ya ulinzi ya Urusi na jeshi.

Amewataka polisi wa Urusi na vikosi vya jeshi kumpisha wakati akielekea kupata "haki" kwa wanajeshi wake, na kisha "haki kwa Urusi."
 
Mamlaka ya Moscow na maeneo jirani zimetangaza hali ya hatari ya kukabiliana na ugaidi dhidi ya msingi wa ghasia za kijeshi za kiongozi wa mamluki wa Urusi Yevgeny Prigozhin.

"Ili kuzuia mashambulio ya kigaidi yanayowezekana katika jiji na mkoa wa Moscow, serikali ya operesheni ya kukabiliana na ugaidi imeanzishwa," Kamati ya Kitaifa ya Kupambana na Ugaidi ya Urusi ilisema.

Usalama umeimarishwa mjini Moscow. Eneo la Voronezh kusini magharibi mwa Urusi, ambalo linapakana na Ukraine, pia lilitangaza aina hii ya hali ya hatari.

Hali ya hatari ya kukabiliana na ugaidi inaruhusu mamlaka ya Kirusi kuongeza udhibiti na kuwezesha kukamatwa kwa wananchi. Simu pia zinaweza kudukuliwa mara nyingi iwezekanavyo.
 
Tuliona tunabishana na mataahira , ikabid tusubir mda utoe uamzi sahihi , ukijifunza deeply jinsi WW2 ilivyotembezwa ndo utajua Kwa usahihi kuwa ilikuwa ni suala la mda tuu kuhusu Putin na inaweza ikawa sio Leo au kesho Ila lazima tuu aishiwe pumzi ..... Mzungu akikuona we imara anakupeleka mdogo mdogo Kwa mda mrefu usioisha Ila Kwa uhakika mpak watu ulio nao wachoke , manung'uniko yakianza tuu ( Public or Millitary) jua kwisha habar yako
Jinsi ulivyo andika ni wazi wewe ndio tahira
 
Niko nimekunja nne nasikiliza wimbo wa Danny Msimamo unaoitwa siku nzuri inavyokwenda hahahaha
 
Tuliwaonya, sasa hili ndiyo tatizo la majeshi ya kukodiwa...

Wagner chief vows to topple Russia’s top military leadership​

Russia has accused Yevgeny Prigozhin, leader of the Wagner mercenary group, of calling for an armed civil conflict.

View attachment 2667134
Yevgeny Prigozhin, founder of the private mercenary group Wagner, has accused Russia’s defence minister of personally overseeing rocket attacks on his forces [File: Handout by the Press Service of Concord via Reuters]

Russian Defence Minister Sergei Shoigu has been accused of targeting Wagner forces in a rocket attack, according to the mercenary group’s founder

On Friday, Prigozhin accused Shoigu of ordering a rocket attack on Wagner’s field camps in Ukraine, where its soldiers are fighting on behalf of Russia. In an audio posted to Telegram, Prigozhin railed against the rocket blasts and the toll it has taken on Wagner forces.

“Huge numbers of our fighters, of our combat comrades, have been killed,” he said. “The evil that the military leadership of the country bears must be stopped. They neglect the lives of soldiers. They forget the word justice.”

Prigozhin estimated that 2,000 of his fighter had been killed in the blasts, though he failed to provide evidence for that death toll. His message included a call to action that the Russian government has since interpreted as an appeal to mutiny.
Kudhitiwa atadhibitiwa ila inaleta sifa mbaya sana ndani ya jeshi la Urusi.
 
Prigozhin muda sio mrefu atarudi tu uwanja wa vita wala awezi kukaza maana jamaa yake Putin kamkataa tayari.

Akikaza basi maisha yake yapo hatarini sana na Wagner group mwisho wake utakuwa umefika.maana bila Putin vikosi vya Wagner vilivyo africa vitatoa wapi silaha na maitaji mengine.
 
Back
Top Bottom