Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sijawahi fikiri kuwa wegner inaweza fanya hivi. Kama sio propaganda basi Putin amalize hii OP yake either kwa vita kamili iliyoshiba au kwa kuachana na Ukraine au kwa makubaliano. Si sawa kudharau akili za wazungu kutoka nchi za NATO wanaweza wakakusuprice.
 
Kuna Mambo nashindwa kuyaelewa:

  • Mkuu wa Wagner Prigozin anasema Ministry of Defense imepiga bomu na kuua wanajeshi wa Wagner zaidi ya 2,000. Sasa najiuliza, hiyo miili ya wanajeshi 2,000 ipo wapi? Wameuliwa sehemu gani?
  • Anasema ameteka Commanding Centre ya ROSTOV. Je, commanding centre ya ki jeshi inaweza kutekwa/kuvamiwa na hata risasi moja isipigwe?
  • Anasema wanajeshi wa Wagner wamevuka mpaka kutoka Ukraine na kurudi ROSTOV, lakini hatuoni convoy yoyote ya magari ya wanajeshi wa Wagner wakiwa wanarudi kuvuka kuja ROSTOV.
  • Hatuoni FSB wakifanya manhunt ya kumkamata Pregozin.

Something is fishy here....
Fact!.
 
Sijawahi fikiri kuwa wegner inaweza fanya hivi. Kama sio propaganda basi Putin amalize hii OP yake either kwa vita kamili iliyoshiba au kwa kuachana na Ukraine au kwa makubaliano. Si sawa kudharau akili za wazungu kutoka nchi za NATO wanaweza wakakusuprice.
Kamanikweli wanaelekea Moscow Putin atakuwa labda ameamua kuondoka Ukraine kiujanja ujanja Ili asingizie kuhamishia nguvu kwa Wagner badala ya Ukraine.

I'm just guess.
 
[emoji635] In Moscow, the dismantling of advertising banners of PMC "Wagner" began.

Huyu Prig..watu wamemuingiza king..naye kajaa..ndo kwisha habari yake...Wagner ndo inaenda inapotea hivyo.

Wizara ya ulinzi mara nyingi imekua ikitamani kusambaratisha hili kundi..kikwazo kilikua Putin...kwa jinsi alivyoongea anawatuhumu moja kwa moja....Wagner wakitoka salama itakuwa muujiza....Hawa warussi kwenye mamno ya fitina hawana utani...yule mzee utashangaa biashara zake zote zinaanza kufungwa..jamaa kayakoroga
 
Humu %kubwa ni pro maharage tu, hakuna anayejua kitakachoendelea kwenye huu mgogoro zaidi ya mihisia na mimahaba. Upo sahihi kufanya guess mkuu.
 
[emoji635] In Moscow, the dismantling of advertising banners of PMC "Wagner" began.

Huyu Prig..watu wamemuingiza king..naye kajaa..ndo kwisha habari yake...Wagner ndo inaenda inapotea hivyo.

Wizara ya ulinzi mara nyingi imekua ikitamani kusambaratisha hili kundi..kikwazo kilikua Putin...kwa jinsi alivyoongea anawatuhumu moja kwa moja....Wagner wakitoka salama itakuwa muujiza....Hawa warussi kwenye mamno ya fitina hawana utani...yule mzee utashangaa biashara zake zote zinaanza kufungwa..jamaa kayakoroga
Uenda kapata matatizo ya akili ..... kamwe huyo kiongozi awezi kutiiwa na kikosi chake dhidi ya serikali ya urussi
 
Wagner PMC haiwezi kuwa above RF Regular Army. Hakuna jambo kama ili. Sikio halizidi kichwa.
President Putin ameshatoa kauli, sasa hivi ni utekelezaji tu.

Kinachoendelea hapa jukwaani, ni Pro Upinde kuishabikia Wagner ni kwa sababu ya yale machungu waliyofanyiwa kwenye hii SMO.
 
[emoji635] In Moscow, the dismantling of advertising banners of PMC "Wagner" began.

Huyu Prig..watu wamemuingiza king..naye kajaa..ndo kwisha habari yake...Wagner ndo inaenda inapotea hivyo.

Wizara ya ulinzi mara nyingi imekua ikitamani kusambaratisha hili kundi..kikwazo kilikua Putin...kwa jinsi alivyoongea anawatuhumu moja kwa moja....Wagner wakitoka salama itakuwa muujiza....Hawa warussi kwenye mamno ya fitina hawana utani...yule mzee utashangaa biashara zake zote zinaanza kufungwa..jamaa kayakoroga
Kayakoroga kivipi wakati yeye ndo anaenda kuwa rais😁
 
Niko mashambani, kinachoendelea uko nitajua baadae
IMG_20230624_115712.jpg
 
Back
Top Bottom