Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,647
Hv ni kweli wanajeshi wanamgeuka Putin
Kwani umesahau Wagner wakipoambiwa wajiandikishe na jeshi urusi na wakakataa?Hao kk security wanatii amri ya putini usijidanganye hata kama kiongozi wao kapotoka basi askari wote wagner wanaingizwa kwenye jeshi la urusi
Hao sio wanajeshi ni jeshi binafsiHv ni kweli wanajeshi wanamgeuka Putin
Tulijua TU,vijitukio vitakurudisha.Niko mashambani, kinachoendelea uko nitajua baadae View attachment 2667243
Mambo ni hukuuRussia anaendelea kuchukua maeneo khakov.
Hii Kali, wanajiaalmin nn Hawa jamaa!Wagner wamejichukulia Rostov kilaini sana, hivyo kwa sasa wana uhakika wa silaha na coordinates za walipo Warusi ndani ya Ukraine, tutegemee Ukraine kupiga kambi nyingi za Russia
Hao ndani ya masaa 24 watamalizwaMambo ni hukuu
Pole sanaHao ndani ya masaa 24 watamalizwa
Wagner ni kikundi ila kilikuwa na uwezo wa kila aina.Kweli.
Hii ya kabla Putin hajaongea loloteMajibu yatapatikana baadae.
Prigozhin at the headquarters of the Southern Military District. In the video, he is talking with Deputy Defense Minister Yevkurov and Deputy Chief of the General Staff Alekseev.
Hii ni mbaya sana,wanajua wakiweka silaha watauawa, wakiwa nazo watauawa hivyo liwalo na liwe
Hadi sasa ni masaa 25 toka janaHao ndani ya masaa 24 watamalizwa
Uhaini utoke wapi kwa urussi ....huyo ni msaliti tuLazima akasirike. Uhaini unakera sana unapofanywa na mtu uliyemwamini.