passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Rais wa wapiKayakoroga kivipi wakati yeye ndo anaenda kuwa rais[emoji16]
Rais wa wapiKayakoroga kivipi wakati yeye ndo anaenda kuwa rais[emoji16]
Niko mashambani, kinachoendelea uko nitajua baadae View attachment 2667243
Mtego huo[emoji23][emoji23]
Zelensky atafanya heavyweight mobilization ya vikosi Ili vikakomboe Maeneo
Then kitu kizito kitashuka ...... kumbuka Russia wanapata ugumu kushambulia.....since Wanajeshi wa ukraine Wana shield Kwa raia .....na Putin hataki kushambulia raia[emoji23][emoji23]
Kwa akili ya kawaida prigozhn hawezi kuisaliti mother land wakati anajua FSB inaweza kukusaka wherever you are
Its mind game
Ndiyo hataki“Putin hataki kushambulia raia” [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Osama aliwageuka MarekaniLazima akasirike. Uhaini unakera sana unapofanywa na mtu uliyemwamini.
Ndiyo hataki
Aisee!Kayakoroga kivipi wakati yeye ndo anaenda kuwa rais😁i
Tunza na hiiHa hahahaha AA. Post naitunza baada ya wiki nitakutafuta.
Hawa?
Tunza na hii
Kweli.Hata Osama aliwageuka Marekani
Haha..huyo hawezi kuwa Rais wewe..historia yake tu ni tata....mjanja mjanja tu..na kutumia fursa....mfanyabiashara yule....hivi kwa akili zile za kukurupuka awe Rais wa taifa kama Urusi si atalipua nuclear...Kayakoroga kivipi wakati yeye ndo anaenda kuwa rais[emoji16]