Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Habari za hivi punde

Jeshi la Urusi limeanza lipua maghala ya Mafuta ili kuzuia Wagner kusonga mbele

Hayo yametokea huko Voronezh mji mmoja ambao uko chini ya Wagner.

Wagner wamesema wanasonga hadi wafike Moscow na wataharibu yeyote atayewazuia.

Wametishia kupata rais mwingine.

Wamesema Putin ni mla rushwa
 
Putin sio tu ni mla rushwa bali pia ni mbwa. Warusi wamemchoka. Kuna video nimeona wananchi wa Urusi wakiwashangilia Wagner na kuwapa sapoti ya kila namna. Hiki ni kiashiria kwamba warusi wamemchoka huyu mbwa koko.
 
Wizara ya mambo ya nje ya Uingereza imeonya kuhusu uwezekano wa kuwepo kwa hatari ya machafuko kote nchini Urusi, Taarifa ya London inakuja wakati huu pia ikitoa tahadhari kwa wasafiri baada ya Kundi la Wagner kudaiwa kuteka baadhi ya maeneo nchini Urusi.

Serikali ya Uingereza iliendelea kushauri dhidi ya safari zote kwenda Urusi.
 
Habari za hivi punde

Jeshi la Urusi limeanza lipua maghala ya Mafuta ili kuzuia Wagner kusonga mbele

Hayo yametokea huko Voronezh mji mmoja ambao uko chini ya Wagner.

Wagner wamesema wanasonga hadi wafike Moscow na wataharibu yeyote atayewazuia.

Wametishia kupata rais mwingine.

Wamesema Putin ni mla rushwa
Mambo ni mbambam
 
Wizara ya mambo ya nje ya Uingereza imeonya kuhusu uwezekano wa kuwepo kwa hatari ya machafuko kote nchini Urusi, Taarifa ya London inakuja wakati huu pia ikitoa tahadhari kwa wasafiri baada ya Kundi la Wagner kudaiwa kuteka baadhi ya maeneo nchini Urusi.

Serikali ya Uingereza iliendelea kushauri dhidi ya safari zote kwenda Urusi.
Hii imekaa vizuri sana. Jambazi Putin sharti avune alichopanda. Amekaanga mbuyu akatafune mwenyewe....mbwa mkubwa!
 
Putin ni mbwa na ana akili za kiumbwa! Ngoja avune alichopanda mbwa mkubwa! Alianzisha vita sisiyokuwa na sababu wala mwelekeo sasa imeanza kumtafuna yeye mwenyewe. Mpuuzi mkubwa!
Kwa bahati mbaya uwezekano ni mdogo uasi wa Prigo utammaliza Putin. Prigo atakwisha.
Ila yanayoendelea yanaonyesha udhaifu wa mfumo wa Putin.
Hatahivyo wako watakaoendelea kutufurahisha na ibada zao za "mwamba mkubwa".
Ni kweli: amezaa mfumo wa Yes-Men a ajificha katika dunia yake dogo na hivyo hakujua alichoanzisha alipoamua kushambulia Ukraine..
 
Back
Top Bottom