Ni kweli maana Prigozhin wanamuonea wivu ndo maana wamemchonganisha na Putin ila jamaa yupo serious sana front tofauti na shoigu.Mwisho wa kamanda Prigozny umewadia.
Ila nahisi huyu Shoigu awekwe kando pia
Nimesikitika sana
Wagner sio jeshi mkuu na lilikuwa linalipoti kutoka kwa waziri.ogopa kikosi kinacholipoti moja kwa moja kwa Raisi.prigozhin anajua kabisa awezi fanya kitu ila ameamua kufikisha ujumbe wake.Russia imesambaratika mapema sana
Mambo yanaenda kasi sana hakuna anae amini