Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa Kama Wagner wanaelekea Moscow Hawa wamefikaje?
Fighters of the Ministry of Defense and the Russian Guard in the Chechen Republic have already left for the zones of tension, said Ramzan Kadyrov. “We will do everything to preserve the unity of Russia and protect its statehood! The rebellion must be crushed,” he wrote.
 
Wagner sio jeshi mkuu na lilikuwa linalipoti kutoka kwa waziri.ogopa kikosi kinacholipoti moja kwa moja kwa Raisi.prigozhin anajua kabisa awezi fanya kitu ila ameamua kufikisha ujumbe wake.

Wale waasi wa chechnia ndo walikuwa balaa.awajawahi kutokea mpaka leo
Jipeni moyo lakini hii inaweza kumuondoa Putin madarakani na Kama hii itatokea itakuwa mbaya sana kwa Russia
 
Hahaha vituko vya JF bhana. Hao wegner ndio wamkimbize rais ikulu? Yaani nato ameshindwa akaweze privoghin?
Watu wengi wako militaliry ignorant na wako kiushabiki zaidi jeshi la wapiganaji 25,000 la Wagner haliwezi ku over-run nchi yenye ukubwa kama Russia yenye zaidi ya kilomita 6000 bila kua na airforce support na Air cover, stockpile ya weapons source ya revenues na logistics zingine aiwezekani kabisa hi mutiny inaenda kusimamishwa hivi punde na viongozi wa MPC wargner wata kamatwa.
Kiongozi wa Wagner anataka asikilizwe na putin, ila putin amesha kasilika sidhani kama atampa oundiece tena kaonyesho utovu wa nidhamu, pia nayeye anajua hawezi kupambana na special Russian force the elite army yenye sophicated weapons ambao iko preserved haijakanyaga hata Ukuraini kabisa iko Well motivated, wiki ni kubwa mtasikia stori tofauti, kama raia wenyewe wameanza kumpinga hawezi kutoboa. Russia sio Syria au Tanganyika ile ni super power. Wengi hamjui Putini ni kiongozi mwenye msimamo na maamuzi magumu akubali kushindwa.
 
Chechen leader says his forces are ready to help put down Wagner mutiny

View attachment 2667325
Kama jeshi la Urusi litashindwa kazi, tusitegemee Tiktok warriors hawa wa Chechnya kufanya lolote. Tena inaweza amsha vuguvugu la kujitenga la Chechnya maana Kadyrov yupo kwa misaada wa Putin, baba yake Kadyrov Sr. mwenyewe aliuwawa na wanaotaka kujitenga ndio maana Kadyrov ulinzi mwingi.
 
Jipeni moyo lakini hii inaweza kumuondoa Putin madarakani na Kama hii itatokea itakuwa mbaya sana kwa Russia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ebu acha kuchekesha watu.yani kikosi cha waasi elfu 25 kimuondoe mtu mwenye jeshi la zaidi ya wanajeshi milioni 1. Mjaribu kuwa serious kidogo
 
Kama jeshi la Urusi litashindwa kazi, tusitegemee Tiktok warriors hawa wa Chechnya kufanya lolote. Tena inaweza amsha vuguvugu la kujitenga la Chechnya maana Kadyrov yupo kwa misaada wa Putin, baba yake Kadyrov Sr. mwenyewe aliuwawa na wanaotaka kujitenga ndio maana Kadyrov ulinzi mwingi.
Sasa jeshi la Urusi limeshindwa vipi wakati hata awajapigana bado[emoji23][emoji23].chechen imesema itafanya yenyewe iyo kazi kwa kushirikiana na kikosi cha National guard kutoka Urusi.

Mji wa Rostov ni mdogo sana watashindwa tu hata wiki sizani kama wataweza kuvumilia maana mashambulizi ya anga yatakuwa makubwa sana
 
Mtaua raia wenu kwa mabomu kama kule Ukraine au mabomu yenu na makombora yatakuwa yanachagua askar wa wegner tu lakin yanawakwepa raia au vip
 
Hapo Ni sawa na Dar chalinze

Wamefika na bungi limeanza huko Rostov

City of Rostov - Russia Battle Map
(June 24th 18:00 Local Time)

The first column of Chechen Forces have reached the City of Rostov which is currently controlled by Wagner Mercenaries. The first Confrontations between Russia’s Chechen Forces and the Wagner Mercenaries have begun

20230624_182115.jpg
 
Sasa Kama Wagner wanaelekea Moscow Hawa wamefikaje?
Fighters of the Ministry of Defense and the Russian Guard in the Chechen Republic have already left for the zones of tension, said Ramzan Kadyrov. “We will do everything to preserve the unity of Russia and protect its statehood! The rebellion must be crushed,” he wrote.
“He wrote “. Huyo ni keyboard warrior tuu kama wewe
 
Wamefika na bungi limeanza huko Rostov

City of Rostov - Russia Battle Map
(June 24th 18:00 Local Time)

The first column of Chechen Forces have reached the City of Rostov which is currently controlled by Wagner Mercenaries. The first Confrontations between Russia’s Chechen Forces and the Wagner Mercenaries have begun

View attachment 2667564
Akihitaji Wachechen maana yake hana kikosi cha jeshi kilicho tayari kupigana na Wagner?.
 
Hivi umoja wa BRICS huwa kazi yake nini endapo member anapovamiwa na kuchezea kichapo au kazi yao ni kushikana mikono wapige picha mambo yaishe nilitegemea waingie kumsaidia Putin
 
Russia haina uwezo wa kukabiliana na NATO wakati lengo mama la umoja wa NATO ni kujihami dhidi ya Russia.
Unahisi kwanini USA alishawishi na anashawishi wanachama kutokea Ulaya ila hana habari na wanachama kutoka America kwenyewe, Africa wala Asia?
Ngoja tuone, lakini mpaka sasa hali si nzuri upande wa Russia na hili niliwaambia Pro Russia wenzangu alhamis hii kwamba Putin hii vita itakuwa ngumu kwake,kuna lixenge likatoka huko likanitukana nipo side ya lgbt, kama Wagner wameasi Ukraine itatumia fursa hii kukomboa miji haraka.

Tuacheni ushabiki kama mpira kwamba Russia atapiga tu atapiga tu, hashindwi. Uhalisia Wagner watadhibitiwa lakini ke Russia itaendelea kuchukua maeneo Ukraine?
 
Back
Top Bottom