Ni mtego kuna mahala huko Kherson watu watajiingiza kichwakichwa.Kabisa maana jamaa wanajiendea mitaani wanapiga picha na raia bila shida na wanapeana tano kiroho safi.
Ila hili tukio nahisi ni mtego Kwa Ukraine na NATO wajichanganye.
Kwamba wametoka shimoni? hahaNaona wahuni wa NAFO leo wamefufuka, ule uzi wao wa laivu nimeuweka kwenye ignore list.
Yule jamaa aliyesema huko aliko hakuna netiwaki naye yupoo live
Ni mtego kuna mahala huko Kherson watu watajiingiza kichwakichwa.
Sinema za Russia huwa ni kali sana. NATO should take note.Breaking news ,Wagner agrees to end insurrection,wameona itakuwa danger
Zinahitaji uwe na akili kubwa kuzifikiriaSinema za Russia huwa ni kali sana. NATO should take note.
Walikuwa wanatikisa kijiti,na jamaa walipoona moto mzito, na Putin Yuko seriously,akasema hapa ni kusurrender ni solutionHawa watu wanajua na hawawezi kupigana ona sasa wameshasitisha na sjasikia hata wakirushiana risasi..
Kweli bro tutulizane hapaBreaking news ,Wagner agrees to end insurrection,wameona itakuwa danger
Kuna baadhi ya vikosi vinarudi Moscow kutoka DONBAS kupambana na wagnerAkihitaji Wachechen maana yake hana kikosi cha jeshi kilicho tayari kupigana na Wagner?.
Ile ni Economic block,sio Military bloc,ama hujui?Hivi umoja wa BRICS huwa kazi yake nini endapo member anapovamiwa na kuchezea kichapo au kazi yao ni kushikana mikono wapige picha mambo yaishe nilitegemea waingie kumsaidia Putin
Mimi ni pro Russian! Kuna siku Moja nilisema humu kwamba,Kwa jinsi west walivyojipanga,Urusi itashindwa hivi vita,Tena bila kutumika nuclear,mmoja akanitukana,haingii akili Karibu mkuu aseme 'Putin is fighting unniwinable war'! Amejuaje?Ngoja tuone, lakini mpaka sasa hali si nzuri upande wa Russia na hili niliwaambia Pro Russia wenzangu alhamis hii kwamba Putin hii vita itakuwa ngumu kwake,kuna lixenge likatoka huko likanitukana nipo side ya lgbt, kama Wagner wameasi Ukraine itatumia fursa hii kukomboa miji haraka.
Tuacheni ushabiki kama mpira kwamba Russia atapiga tu atapiga tu, hashindwi. Uhalisia Wagner watadhibitiwa lakini ke Russia itaendelea kuchukua maeneo Ukraine?
Punguza mahaba na ujuaji basi ,, NATO kikosi cha kutetea wapi kilipopotea Iraq au Libya,, hata kama wanakutetea upakuliwe ila we jamaa umezidi ka unalipwa vileNimeshakuambia kitambo Nato si umoja wa uvamizi ni umoja wa kuteteana. Hakuna aliyetaka kuvamia Urusi.
Watamalizwa hao wanaume Wagner wanarudi mzigoniJeshi la Ukraine limevuka mto Dniper na kwenda upande wa pili wa Kherson bila kurushiwa risasi.
Oya hii movie ya warusi ni balaa na mimi nilikua nahisi tu hii itakua ni moviee[emoji1][emoji1]Pro Russia Sasa zamu yetu kutawala jukwaa maana sio kwa uvamizi huo wa Leo yaani huwezi kuamini leo sijatoka ndani nimejifungia tu kweli nimefadhaika sana.