Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Rafiki wa kweli wa Putin

20230624_204446.jpg
 
Unashangaa naitaja Poland?
Putin kapigana na mchekeshaji Joti wa Ukraine kijana Zelensky, mpaka sasa yamemshinda. Sasa kaanza kupigana babantilie Sele bonge mzee Prigozhin mmiliki wa kampuni 😂.

Sasa Putin ndio akapigane na Andrzej Duda?
1253971-681204-756x425.jpg

Na cha ajabu nini sasa wakati Poland iliwahi itandika Urusi, na kwenye WW2 USSR ililazimika ishirikiane na Ujerumani kugawana Poland na bado walioanza kushambulia ni Ujerumani. Poland ndio wangekuwa vitani mbona wanamgambo wa Urusi wangeshapoteana muda sana.

Nchi yenyewe jeshi haliwezi zuia vibaka na wafungwa waliotolewa gerezani na kupigana miezi nane dhidi ya Ukraine na kuambulia kamji kamoja kenye chumvi, wakati huo Wagner haohao wametumia masaa tu hata siku haijafika kuteka mji muhimu kabisa kwenye ulinzi wa Magharibi mwa Urusi. Sasa hiyo nchi iweze Poland?
Kuzuia Wagner wanaitwa wale Tiktokers akina Kadyrov wanatokea Mashariki ya mbali uko na wako alfu kadhaa tu, wakati nchi ina wanajeshi zaidi ya milioni wanakunywa uji sijui. Yalaa! superpower uchwara kapigwa na kitu kizito kichwani😂😂.

"Russia ni taifa teule" by Bwana Utam
 
Putin ni mshenzi na amedhihirisha hilo kwa kuivamia Ukraine bila sababu zozote za msingi. Ukiona NATO, Ulaya na Marekani hawakuungi mkono kwenye vita, jua umekwisha. Shtuka!

Bahati mbaya Putin ni sikio la kufa lakini cha moto anakipata. Ukisoma wajihi wake wakati anahutubia taifa leo utamhurumia, hata kama ulikuwa upande wake. Huyu mtu mikono yake imelowa damu za waukraine waliouawa na hawa wavamizi bila sababu za msingi.

Inasikitisha na inashangaza kuwa kuna baadhi ya watu wenye akili za kihayawani wanaomuunga mkono huyu mbwa anayeangamiza roho za watoto, wanawake na vikongwe wa Ukraine wakiwa hawana hatia wala namna ya kujitetea.

Kinachonisikitisha zaidi ni baadhi ya raia wenye akili za kiqumer wanaomuunga mkono na kumshabikia huyu mbwa. Qumer ya mermer zenu!
​
Mkuu vipi mbona unamtukana sana Putin wakati unajua hayupo hapa JF wala kiswahili hajui?? Au na wewe ni wale wana upinde wa mvua?
 
Kama jeshi la Urusi litashindwa kazi, tusitegemee Tiktok warriors hawa wa Chechnya kufanya lolote. Tena inaweza amsha vuguvugu la kujitenga la Chechnya maana Kadyrov yupo kwa misaada wa Putin, baba yake Kadyrov Sr. mwenyewe aliuwawa na wanaotaka kujitenga ndio maana Kadyrov ulinzi mwingi.

Mkuu si ulisema kwa sasa upo busy shambani na pia huna Internet huko.
 
Imekwisha hiyo, sasa Wagner itashughulikiwa vizuri sana
Wanasema wamepumnzika tu.Ila ukisoma Historia ya Prigozhin. Jamaa alikuwa mwizi jambazi,alihukumiwa kufungwa na alikaa jela almost miaka 9.Kipindi cha USSR. Jamaa alianza biashara kwa kuuza Hot dogs.Kutoka kuuza Hot dog hadi kulisha Kremlin,majeshi n.k .Hadi kuanzisha Wagner. Ni safari ndefu. Jamaa hata shule ilimshinda. Ila leo kawa Biiiig man.
 
Putin ameshageukwa, hata hao wanajeshi anaoona ni watiifu kwake ni suala la muda tu ndo atajua alikuwa hajui. Iko wazi kabisa ndani ya jeshi la urusi kuna kundi keki ya taifa haiwafikii na kuna kundi wanalamba asali mpaka inamwagika mashavuni. Jeshi la russia linanuka rushwa na hii imesemwa mara nyingi sana lakini Putin aliamua kuwafuata machawa wake kutwa wakimuimbia na kumsifu kuwa hakuna kama yeye kumbe moyoni ni wanafiki watupu. Putin enzi yake imefika mwisho.
Hopeless comment ever!!
 
Back
Top Bottom