Wanajeshi wa chechen zaidi ya elfu 5 wawasili Rostov.
Kabisa....hajapenda tu kupokonywa mnofu.Biden mnamsingizia tu.Madai Ya Prigo ni pesa tu.Kaona dau linakatwa maana wanajeshi watakuwa chini ya serikali.
Nitakuwa wa mwisho kuamini kwa Ile body language ya Putin huu ulikuwa mchezo wa kuigiza!!Sijawahi kuona coup ya kitulivu kama hii!
Mpaka muda huu hakuna hata risasi moja iliyopigwa!
"To confuse your enemy, first confuse yourself".
Kuna kitu hapa Russia anakifanya kikubwa sana!
Ili kuwachanganya wasikijue kwa umakini anajifanya kuleta taharuki kwake yeye mwenyewe!
Sio maigizo ilikua ni kweli,makubaliano yamefikiwa sasa na lukashenkoDuh! Hii ya Leo tumepigwa changa la macho!
Sijajua nini kimetokea
Staki kuamini kwa Ile body language ya Putin alivyokuwa anautubia taifa.., kwamba huu unaweza kuwa mchezo wa kuigiza
Au huenda niko ndotoni , maana haya mambo siyaelewielewi kabisa [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kazi Yao kubwa ni kuiangusha Dola hawana mna wa kupiganaHivi umoja wa BRICS huwa kazi yake nini endapo member anapovamiwa na kuchezea kichapo au kazi yao ni kushikana mikono wapige picha mambo yaishe nilitegemea waingie kumsaidia Putin
Kwani Wagner si wameshatoka Ukraine?Ngoja tuone, lakini mpaka sasa hali si nzuri upande wa Russia na hili niliwaambia Pro Russia wenzangu alhamis hii kwamba Putin hii vita itakuwa ngumu kwake,kuna lixenge likatoka huko likanitukana nipo side ya lgbt, kama Wagner wameasi Ukraine itatumia fursa hii kukomboa miji haraka.
Tuacheni ushabiki kama mpira kwamba Russia atapiga tu atapiga tu, hashindwi. Uhalisia Wagner watadhibitiwa lakini ke Russia itaendelea kuchukua maeneo Ukraine?
[emoji23][emoji23][emoji23] mshahara umechukuliwa ngoja tuone pumzi yake sasaPrigozhin said that the seized billions of rubles in the car at the Wagner Center were intended for the salaries of the Wagner PMC. Searches at the Wagner Center confirmed St Peresburg's authority.
Duh! Hii ya Leo tumepigwa changa la macho!
Sijajua nini kimetokea
Staki kuamini kwa Ile body language ya Putin alivyokuwa anautubia taifa.., kwamba huu unaweza kuwa mchezo wa kuigiza
Au huenda niko ndotoni , maana haya mambo siyaelewielewi kabisa [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nina wasiwasi lengo la urusi ni kuja kuimarisha maslahi yake afrika, hasa Sudan anapopanga kujenga base ya kijeshiBest option IMO: Shoigu sacked, Prigozhin exiled, Wagner reformed into RuAF Army Corps or sent to Africa
He is mostly Hopeless Pro NATO ever happenKuna yule mpiga punyeto maarufu aliyesema yupo shamba analima na hana Internet
Mara leo eti ghafla yupo humu actively.
Sasa sijui ameacha kulima?
Kijana rudi na taarifa zako za kwenda Moscow ya hapo bonyokwa.
Mazuzu hayoPro upinde wameanzisha mpaka Uzi kule wa muendelezo sasa sijui wataufunga
Uliona wapi mapinduzi kama haya,
We uliona wapi mapinduzi kama haya,
Hapa raia wanapiga picha na vifaru vya wanamapinduzi wa wagner kwengine maisha yanaendelea kama kawaida ndani ya mji wa rostov.View attachment 2667712View attachment 2667711View attachment 2667718View attachment 2667719