Adi wale leo tumechinja 890 hadi 1000 walikua likizo huko field .Hili la Leo limetokea likiwa planned kabisa. Hawa watu wana agenda zao za siri.
Hao askari ni raia wa urusi kwa asilimia kubwa kwanini tupoteze nguvu kazi na silaha bure kuwaangamiza wagner...wakati wamesha salimu amri kwa kutokuvuka mstari mwekundu walio wekewaRussia kweli ni weak, wamekubali kuzungumza na wavamizi wao!?
Ni team Putin, Shoigu, Gerasmov na Prigozhin kutafuta negotiations.Wagner na Russia wametuchezea sana Akili hawa washenzi. Hawa wahuni walikua na jambo lao.
Mishahara tayari imeshabebwa baada ya kupiga sachi ofisi za Wagner. Jamaa wameondoka na mabilioniKuanzia kesho watashangaa makambi hayana maji, umeme unakatwa, account za bank za Wagner kufungiwa maana yake hakuna mishahara...na wale watu wanapigania pesa tu..sio uzalendo...
Kwahiyo saizi uko na zelensky au prigozin?Naona pro Russia sasa mnaanza kumiminika Tena kama kundi la nyumbu wa Serengeti wanaovuka mto ulioko kwenye korongo na kuingia upande wa pili kutafta malisho[emoji28]
Mpaka hii vita iishe tutaona mapichapicha mengi aisee[emoji28][emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wao akina Zelensky badala ya kutumia mwanya walopewa kufanya mashambulizi wakawa washangaashangaa sinema ya Russia.Kwahiyo saizi uko na zelensky au prigozin?
Eneo la vita Ukraine ama eneo la vita vya Wegner vs Shoigu?Usiku wa leo kitachotokea Ukraine
Sijui
Hata mimi naogopa
Tayar vikos vyote vya putuin ikiwemo pmc vimeondoka eneo la vita
Mabomu yatashushwa mwanangu tusubir
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipanya kama kipanyaDuh! Hii ya Leo tumepigwa changa la macho!
Sijajua nini kimetokea
Staki kuamini kwa Ile body language ya Putin alivyokuwa anautubia taifa.., kwamba huu unaweza kuwa mchezo wa kuigiza
Au huenda niko ndotoni , maana haya mambo siyaelewielewi kabisa [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app