KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,985
- 3,254
Aisee!Akili kubwa sana.Okay, tunaanza kuelewa sasa. Kwamba Prigo alikuwa anafanya uchambuzi nani miongoni mwa jeshi lake ameiva kuwa mzalendo wa kweli Russia.
Aisee!Akili kubwa sana.Okay, tunaanza kuelewa sasa. Kwamba Prigo alikuwa anafanya uchambuzi nani miongoni mwa jeshi lake ameiva kuwa mzalendo wa kweli Russia.
Kwa mara ya kwanza kp kipanya44 amekuwa mwanadamu huru baada ya kutumikishwa na NATO kwa muda mrefu, tena kwa robo mshahara.Duh! Hii ya Leo tumepigwa changa la macho!
Sijajua nini kimetokea
Staki kuamini kwa Ile body language ya Putin alivyokuwa anautubia taifa.., kwamba huu unaweza kuwa mchezo wa kuigiza
Au huenda niko ndotoni , maana haya mambo siyaelewielewi kabisa [emoji16]
Kazi imeanza mda huu nikazani watapumzika kwa mda kwanza.[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️The RF Armed Forces liberated Sinkovka in the direction of Kupyansk.....today this is how the day begins ....[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
View attachment 2667989
Madhara hayo yamekuathiri wewe kuendelea kula ugali na nyanya chungu?Ona hata warusi wenyewe wanakubali madhara ya Wagner lakini machawa wa bongo wanaleta ubishi wa kiqumer. Pumbaff!
Hahaha siamini Kama huyu ni ki-rat...inawezekana akaunti yake imedukuliwaKwa mara ya kwanza kp kipanya44 amekuwa mwanadamu huru baada ya kutumikishwa na NATO kwa muda mrefu, tena kwa robo mshahara.
Kama hujui madhara ya vita hii kwa Tanzania na ulimwengu mzima basi bado akili zako ni nyembamba sana. Subiri shule zifunguliwe urudi shule; ukihitimu sekondari ukaenda chuo utaongeza maarifa.Madhara hayo yamekuathiri wewe kuendelea kula ugali na nyanya chungu?
Tulikuambia hapa mapema Sana uache punyeto umeona madhara yake?Kama hujui madhara ya vita hii kwa Tanzania na ulimwengu mzima basi bado akili zako ni nyembamba sana. Subiri shule zifunguliwe urudi shule; ukihitimu sekondari ukaenda chuo utaongeza maarifa.
Wewe ndio aina ya watu ambao hawapigi kura wala kushiriki siasa kwa kudhania kuwa siasa haina madhara kwenye maisha yako. Ni utoto tu, ukikuwa utaelewa.Madhara hayo yamekuathiri wewe kuendelea kula ugali na nyanya chungu?
Aisee ni kweli...Yaani duh....Yaani TV stations za West ilipobainika kuwa Prigo amebadili gia angani sura za anchor men/women zilikuwa zinasikitisha sana...duh...Yaani walilowaaaaa....habari za nyambizi na za huko Israel na wapalestina zimerudi...duh...Prigo ni mtu mbaya sana...Huwezi amini BBC wamerudi Tena na habari zao za Nyambizi yaani hata kipigo kinavyotolewa tolewa huko hawana habari, na hawataki kuripoti mchezo wa Jana ulivyoisha hivi BBC Nani kawaroga?
Wewe akili zako sio nzima. Utoto unakusumbua.Tulikuambia hapa mapema Sana uache punyeto umeona madhara yake?
Katika kusoma kwako kote hujawahi kusikia mapinduzi yasiyokua na umwagaji damu? Hua ni maigizo pia?Unawezeje Teka commanding center bila umwagaji damu?. Yaan Wagner ateke Rostov mkoa unaotumika kama Commanding center ya SMO inayoendelea Ukrein bila hata risasi Moja kupigwa?.
Wagner wasafiri zaidi ya km 200 kuelekea Moscow huku hakuna hata sisimizi alieuliwa?. Yaan vikosi vya Russia viwasubiri waingie Moscow kumpindua Raisi ndio wapambane navyo?.
Wasaliti wote walioko ndani ya Jeshi Leo ilikua nisiku yao kujitokeza Hadharani wawaunge mkono Wagner Sasa kama walifanya movement yeyote wamejulikana.
Nilishakwambia sitaki heshima yako, sitafuti heshima mtandaoni.
Kama ulikuwa na mpango wa kuheshimu watu tafuta mtaani kwenu uko. NATO haiwezi pigana na kampuni ya babantilie, hiyo kampuni inatishia superpower mpaka Lukashenko aje kusuluhisha ndio unaamua uikuze. Unadhani NATO ni organization ya wajinga, USSR iko wapi.
Ukraine haiwezi pigana na Urusi? Basi tuseme tangu February 2022 wanaimba opera.
Package zinazotoka Marekani kwenda Ukraine ni sawa na zile zinazotoka uko kuja bongo ili mtumie ARVs, mambo ya kawaida sana kwa Marekani kutoa chochote. Tanzania kama ulistahili chandarua za malaria ilipata, Ukraine haiwezi pewa chandarua hayo sio mahitaji yake.
Marekani sio Urusi ambayo hutoa misaada ya silaha kila kona, haitoi kulingana na mahitaji.
Kuna watu wanaitwa “chechnya brothers” hujawaongelea, walipokuwa PMC wanatoka hawa jamaa wakatake positions na walikutana njiani and no single shot was heard…, ask youself what kind of rebbelion is thatKatika kusoma kwako kote hujawahi kusikia mapinduzi yasiyokua na umwagaji damu? Hua ni maigizo pia?
Mimi pia nawakubali Urusi lakini hili tukio limemuachia Putin taswira mbaya sana ya udhaifu, yaani ina maana hana kabisa agents kwenye kikundi kidogo kama Wagner ambao wanaweza ku monitor kila move yao, ameshindwa kuua hata kiongozi mmoja wa kijeshi wa Ukraine, ataweza vipi kuwapeleleza Marekani na wakubwa wengine?
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Najua umeumia Sana maana Jana ulitoka pangoni halafu Leo huna lolote utarudi Tena pangoni Kama digidigi muulize kipanya ndio pro NATO ambaye yupo kila siku hapa.Wewe akili zako sio nzima. Utoto unakusumbua.
How do you know kwamba Hilo kweli ni gazeti la Moscow Times...inaelekea wewe ni mchanga wa issues za propaganda...Ona hata warusi wenyewe wanakubali madhara ya Wagner lakini machawa wa bongo wanaleta ubishi wa kiqumer. Pumbaff!
Kwani wewe unaamini palikua na waasi?.Sasa kama umefahamu kuwa huwezi teka bila kumwaga damu na ukajua ni propaganda ni waasi gani wajinga wasione hilo?