ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,728
- 2,418
Sasa hapo nijiulize nini? Huyo Prigozhin ilikuaje akaruhusiwa kuwa mkubwa mpaka akapata hadhi ya kupigiwa simu na ku negotiate moja kwa moja na Rais wa nchi ambayo ni ally namba moja wa Urusi?Kwa akili tu ya kawaida na ya kujiongea.ushafika km 200 kufika ikulu, unaweza kukubali kwenda kupewa hifadhi nnje ya nchi?.
Unajua maana ya kupewa hifadhi kwenye nchi ya watu?.
Madai ya Prigozhin ni kwamba waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi inabidi watolewe, ila cha ajabu anaenda uwamishoni na vikosi vyake vinakuwa chini ya watu wale wale na yeye kalizika kabisa.bado ujiulizi tu kuna nini kinaendelea.
Hebu tuelezee maana ya matukio ya jana katika lugha isiyoonesha udhaifu kwa Putin na Russia.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app