Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu, vigumu sana kujua kinachoendelea kwangu.
Ni kweli kwasababu hii si vita ya akina Joseph Konyi au pale Congo DRC.

NI vita twasema "sophisticated war" yaani ni vita ambayo uchumi , habari (information), Jeshi na vifaa vya hali ya juu vya kivita vyahusika.

Nchi kubwa duniani zipo kwenye vita kubwa ambayo yaweza kuathiri hali ya dunia wakati wowote ule.

Hivyo weye fuatilia na jaribu kuelewa kwa undani utapata mwanga.

Mimi hata kama naelewa lakini nalazimika wakati fulani nafanya kitu kiitwacho "equilibrium march" ili nisiharibu.
 
Yaani hivi tunavyoongea mida hii kuna kundi kubwa lipo chini ya uangalizi Russia.

Kuanzia alhamisi usiku kuna msakio mkubwa ulifanywa na wengi watajutia maamuzi waloyafanya.

Kisha Marekani na washirika wake wakapewa onyo na Russia kwamba hakuna mtu kutia pua wala kope kwenye hii, wote wakafyata.

Hiyo ni kwasababu wale walo ndani walianza kutaja nani ni mchoraji.

Hao wa nje tunafahamu Russia hufanya nini.
Kwamba US na washirika wakapewa Onyo? Tupe link ya hayo maonyo mkuu.

Watanzania kwa maneno tu hatujambo.
 
Kwa akili tu ya kawaida na ya kujiongea.ushafika km 200 kufika ikulu, unaweza kukubali kwenda kupewa hifadhi nnje ya nchi?.

Unajua maana ya kupewa hifadhi kwenye nchi ya watu?.

Madai ya Prigozhin ni kwamba waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi inabidi watolewe, ila cha ajabu anaenda uwamishoni na vikosi vyake vinakuwa chini ya watu wale wale na yeye kalizika kabisa.bado ujiulizi tu kuna nini kinaendelea.
Wajinga awawezi kuelewa
 
Ni kweli kwasababu hii si vita ya akina Joseph Konyi au pale Congo DRC.

NI vita twasema "sophisticated war" yaani ni vita ambayo uchumi , habari (information), Jeshi na vifaa vya hali ya juu vya kivita vyahusika.

Nchi kubwa duniani zipo kwenye vita kubwa ambayo yaweza kuathiri hali ya dunia wakati wowote ule.

Hivyo weye fuatilia na jaribu kuelewa kwa undani utapata mwanga.

Mimi hata kama naelewa lakini nalazimika wakati fulani nafanya kitu kiitwacho "equilibrium march" ili nisiharibu.

Putin angeanguka, angekuja dikteta mwingine labda mbaya zaidi au nchi kuvunjika vipande vipande.

Silaha za nyuklia 5000 kwa nchi nyingi ndogondogo ni tatizo kubwa kwa Dunia.
 
I See kibaao kimegeuka ha ha ha ....
IMG_20230625_132358_232.jpg

❗️Putin is an absolute master of 5D chess. The results of the so called "coup d'état" are:

🇷🇺24th June: Wagner was 200km from Moscow.

🇺🇦25th June: Wagner is 100km from Kiev.

⚡️This is some next level Sun Tzu Art of war tactics by Putin. Genius. 👏

🎙Follow
@AussieCossack for more.
 
Mkuu hujaelewa bado kazi ya Baraza la usalama inaenda namna gani????
Baraza hili kuna wanachama 5 wa udumu. Kila mmoja ana mamlaka ya kuzuia azimio lolote (Veto power).
Azimio 1973 lililoamuru kuzuia miendo ya jeshi la anga la Libya na mashambulio dhidi ya wananchi wa Libya lichukuliwa na baraza. Maana yake ni hakuna kati ya wanachama wa kudumu aliyepinga.
Kuna mifani mingi kwamba kura 1 ya Veto ya Marekani, Urusi au China ilisimamisha shughuli zote.
Mataifa matano akiwamo China na Russia hayakuunga mkono azimio hilo!Nimeuliza kwanini NATO ndio achukue jukumu hilo?kwanini isiwe majeshi ya UN?Tukiachana na hilo,hata ambapo security council wamekataa,lakini bado haijatosha kumzuia US na washirika wake kufanya uvamizi wao wa kijeshi!
Lakini naona umekwepa sehemu ambayo US anatumia blackmail au intimidation dhidi ya diplomats wanaowakilisha mataifa yao kwenye security council ili kuungwa mkono!
 
Wizara ya Ulinzi ya Uingereza imesema kuwa taifa la Urusi linakabiliwa na changamoto kubwa zaidi ya usalama kuwahi kutokea katika siku za hivi karibuni, kufuatia kile ilichokisema kuwa ni hatua ya vikosi vya Wagner Group kuelekea Moscow.
Waulize wamebadili viongozi wangapi kwao??? kwa miaka 3 tu
mpaka sasa mhindi anawatawala
 
Putin hakuwa na namna na waswahili hawakukosea waliposema mtu mzima akivuliwa nguo huchutama, Putin angekaza fuvu muda huu habari ingekuwa nyingine ashukuru Mungu Lukashenko aliingilia kati, maana Putin option yake ilikuwa kutumia miguvu.
Ila ushabiki una raha yake. Sasa hapo unaiona Wagner ipo au dismantled tayari. Utakubalije makubaliano ambapo wewe upo uhamishoni na vikosi vinakuwa vimebadilishwa mfumo wake. Mfano akigoma baada ya PMC kuratibiwa na jeshi anafanyaje.
Huko uhamishoni usalama wake uko mikononi mwa nani?
 
Jana Putin katumia busara sana. Katika siku Putin alicheza kama Pele ni jana

Kuna tofauti ya kuogopa na kutumia busara

Alitaka jeshi lifocus na adui wa nje na hapa ndipo point muhimu ilipo

Kuhusu msaada wa Lukashenko raisi wa Belarus. Ikumbukwe huyo Lukashenko yuko hapo madarakani kwa msaada wa Putin

Prigozhin mwenyewe anajua umuhimu wa Putin na Russia mpaka hapo alipofikia kuwa na Wagner. Bila support ya Putin asingekuwa hapo alipo

Putin jana kazuia sana umwagaji wa damu leo tungekuwa tunaongea mengine

Ni kweli Russia wangeshinda lakini NATO wangetumia hilo tukio kama advantage dhidi ya kuilemaza Russia kule Ukraine. Hiki ndicho Putin hakutaka kitokee

Mwenye kuelewa na aelewe mwenye kushupaza fuvu na ashupaze
Jana ilikua kilele cha matokeo ya kufeli kwa Putin na Urusi kushindwa kung'amua madhara ya kuwaachia Wagner kuwa dude kubwa linalotishia usalama wa Urusi.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mchezo uliochezwa Jana pale Rostov ilikua ni mbinu ya kijasusi ambayo matokeo yake tutayaona hapo baadae ila Kwa akili niliyoiona Jana wale Askari walikua NI wanajeshi kutoka kambi za pale Rostov awakua PMC Wagner na ndio maana UKIONA damu imemwagika wala kurushiana risasi haijawai kutolea kambi ivamiwe bila kutokea mapigano au kuonyeshwa Askari waliosalimu amri, Wagner walibaki katika zone zao na wao wakiujua mchezo mzima na ndio maana baada ya misheni kukamilika urussi anasema Askari wote WA Wagner waliokataa kushiriki watapewa adhi Sawa na kesho la urussi maana yake Askari wote WA wagner wamesajiliwa na jeshi wale Askari waliokua katika uasi watasamehewa,Jana wakati wanayengeneza uasi feki kuna Askari WA Wagner wameelekea belarusi wameenda kufanya nini tutajua zaidi na prigo anaelekea pia belarusi wakati wanaondoka Askari WA Ukraine awakuwashambulia kabisa wakiamini ni wenzao wanahitajika naomba kuchangia
Tuacheni kujiliwaza jamani, tukio la jana ni matokeo ya kufeli kwa intelijensia ya Urusi, hakuna namna bora ya kuielezea.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Sawa but udhaifu wa nchi kuvunjwa vipande vipande ni mkubwa sana huwezi linganisha na uchaguzi kuingiliwa. Trump kakaa madarakani term moja tu na akafurushwa so hakuna madhara yaliyobakia hadi leo. But USSR haipo tena na kamwe haitotokea ikarudi.
Ebu nipe faida 5 za ule muungano wa Soviety ili tujue aliyevunja alipandikizwa au kuna kitu kilikuwa hakipo sawa
 
Back
Top Bottom