Somoche
Platinum Member
- Oct 6, 2010
- 7,095
- 9,755
Jamaa huyu jana alionekana mchovu sanaView attachment 2667735
Rafiki wa kadyrov na prigozhin,
Adui wa nyumba, nyaya za umeme, nishati, na roho za adui
Jamaa huyu jana alionekana mchovu sanaView attachment 2667735
Rafiki wa kadyrov na prigozhin,
Adui wa nyumba, nyaya za umeme, nishati, na roho za adui
Hahahah hahahahhaha nimecheka kinoma🤣
👏👏👏👏👏👏👏Nilishakwambia sitaki heshima yako, sitafuti heshima mtandaoni.
Kama ulikuwa na mpango wa kuheshimu watu tafuta mtaani kwenu uko. NATO haiwezi pigana na kampuni ya babantilie, hiyo kampuni inatishia superpower mpaka Lukashenko aje kusuluhisha ndio unaamua uikuze. Unadhani NATO ni organization ya wajinga, USSR iko wapi.
Ukraine haiwezi pigana na Urusi? Basi tuseme tangu February 2022 wanaimba opera.
Package zinazotoka Marekani kwenda Ukraine ni sawa na zile zinazotoka uko kuja bongo ili mtumie ARVs, mambo ya kawaida sana kwa Marekani kutoa chochote. Tanzania kama ulistahili chandarua za malaria ilipata, Ukraine haiwezi pewa chandarua hayo sio mahitaji yake.
Marekani sio Urusi ambayo hutoa misaada ya silaha kila kona, haitoi kulingana na mahitaji.
Uko sahihi kabisa Mkuu.Umeueleza kwa uzuri mno,
Kama west wangekuwa wazuri kiintelijensia basi leo wangefanya counterooffensive ya kutosha wakijua Ruusia anahangaika na kuzima Uasi wa ndani.
Kumbuka west wako katika Mazoezi ya ya anga za zaidi ya ndege vita 200, wangeshambulia moscow kwa mgongo wa Uasi na Mapinduzi wa PMC. Labda tukubali kuwa hata wao waligundua ni Propaganda na mtego
Pro NATO Huwa hawana kumbukumbu,wanaaamini west Kila kitu ni safi TU.Mtu anaisifia west utadhani mtoto,anasahau juzi hapa Serikali ya Ujerumani ilikuwa ipinduliwe.
Naona wewe ni mgeni sana jukwani hapa, mpaka hujui Niko upande gani. Tuliza kinyeo bobAende mara ngapi...mshapigwa changa la macho mtulie...
Unadhania intel ya Urusi leo hii ni sawa na hio ya GorbachevIntel ya Russia ina udhaif US aliweza wapandikizia kiongozi akaivunja USSR.
Yani jeshi la kukodiwa linawezaje kuasi.Kwani wewe unaamini palikua na waasi?.
Kumbe tunaoitakia Urusi mema bila unafiki tupo wengi... Jana niliteseka sana hasa nilipofikiria silaha zilizokuwa mikononi mwa Wagner ni made in Russia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nilishindwa kabisa kufanya kazi maana nilikuwa sijaelewa mpango wa Putin
Aah ha ha ha haa.😀😀😀😀😀😀,Dunia inaenda kasi sana kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
(1) Prigozhin kuwashutumu kina Shoigu kwa kushambulia kambi ya Wagner na kuuwa mamluki 2000.
(2) Prigozhin kuvuka mpaka na kuingia Rostov na kutaka Shoigu atolewa la sivyo ataelekea hadi moscow kumtoa yeye mwenyewe.
(3) Putin kumkingia kifua Shoigu na kumwambia Prigozhin kuwa ni msaliti na mwenye kuweka manufaa yake mbele kwenye usalama wa nchi.
(4) Prigozhin kugomea amri ya Putin na kusema kuwa Raisi anadanganywa na kina shoigu, pia yeye ajafanya mapinduzi bali ni kufikisha ujumbe kwa maslahi ya nchi.
(5)Prigozhin kukubali kupewa ifadhi kwenye nchi ya Belarus na kukubali kukabidhi kundi la wagner kwa shoigu.
(6) Prigozhin na wanamgambo walioshiriki kwenye uasi kupewa msamaha na kufutiwa mashtaka ya uasi.
(7) Kipanya 44 kulalamika kuwa Prigozhin amewapiga pro ukraine na kitu kizito[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani kisichofanyika Marekani ndio kiaakisi ustaarabu wa Dunia?Lini umewahi kusikia hao contractors wana attempt mutiny kwa jeshi ama serikali ya Marekani?
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
NATO mlipoteza fursa hiyo.Prigozhin mutiny exposed Putin's weakness.
Hajajibu hii comment yangu,amekimbiaPro NATO Huwa hawana kumbukumbu,wanaaamini west Kila kitu ni safi TU.
OkH
Uwezi kuwa
Alafu mm nilikuwa nawashangaa hawa pronato walivyo kuwa wanamshangilia huyu jamaa,hivi huyu jamaa ingetokea akamuangusha Putin kweli alafu Urusi iwe chini ya mikono yake dunia nzima situngepoteana?Hahahah kumbe warusi wa jf wote tuliteseka mno jana. Ni mbinu za kivita lakini tuendelee kula mtori nyama ziko chini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio hivyo Mkuu,Ila Urusi kweli ni noma yani wapo kwenye uasi ila bado wanasonga mbele Ukraine.
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️The RF Armed Forces liberated Sinkovka in the direction of Kupyansk.....today this is how the day begins ....[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️View attachment 2668080
Kwahiyo wewe unaona anastahili kuendelea kuwa hai? Chukulia wewe ndo ungekua Putin na alichofanya haukua mchezo kama wengine mnavyoamini.Hapo ndipo mnapokosea,usipende kumlaumu mtu asipofanya vile wewe upendavyo.
Kila mtu ana mipango yake na mamuzi yake.
Hahahah jamaa analilia silaha tu mda wote 🤣🤣🤣 angepewa mamlaka angemaliza vita kwa nyuklia tuAlafu mm nilikuwa nawashangaa hawa pronato walivyo kuwa wanamshangilia huyu jamaa,hivi huyu jamaa ingetokea akamuangusha Putin kweli alafu Urusi iwe chini ya mikono yake dunia nzima situngepoteana?
Kuanzia Ukraine na nchi zote za Magharibi zingemkumbuka Putin maana Ukraine ingekumbana na maafa mpaka dunia ingebaki kwenye mshangao mkubwa.
Kwa nguvu ilizo nazo Urusi haitakiwi kuingia mikononi mwa huyo mwehu.
Ha ha haa,huyo jamaa unaemjibu utachoka mwenyewe.Wakuu wa Majeshi na Mawaziri wa nchi za NATO kila mara wanakaa kupanga mikakati ya vita ya Ukraine pia kutoa vifaa jeshi bado unaona NATO haipo vitani na Urusi?? Basi uelewa wako wa maswala ya kijeshi utakuwa mdogo sana!