Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
^too shame^ - aibu kubwa hahah"Too shame" ndio nini ewe mwenye akili. Kama ndio akili yenyewe basi andaa hela nyingi ya tuition ama sivyo wanao watakuwa mayaya kwenye nyumba za watu.
^too shame^ - aibu kubwa hahah"Too shame" ndio nini ewe mwenye akili. Kama ndio akili yenyewe basi andaa hela nyingi ya tuition ama sivyo wanao watakuwa mayaya kwenye nyumba za watu.
Hoja yangu ni kwamba,Kwahiyo wewe unaona anastahili kuendelea kuwa hai? Chukulia wewe ndo ungekua Putin na alichofanya haukua mchezo kama wengine mnavyoamini.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Nakwambia Dunia nzima tungepoteana.Hahahah jamaa analilia silaha tu mda wote [emoji1787][emoji1787][emoji1787] angepewa mamlaka angemaliza vita kwa nyuklia tu
Pro NATO wamekosa furaha mda mrefu sana.Alafu mm nilikuwa nawashangaa hawa pronato walivyo kuwa wanamshangilia huyu jamaa,hivi huyu jamaa ingetokea akamuangusha Putin kweli alafu Urusi iwe chini ya mikono yake dunia nzima situngepoteana?
Kuanzia Ukraine na nchi zote za Magharibi zingemkumbuka Putin maana Ukraine ingekumbana na maafa mpaka dunia ingebaki kwenye mshangao mkubwa.
Kwa nguvu ilizo nazo Urusi haitakiwi kuingia mikononi mwa huyo mwehu.
[emoji1787][emoji1787]Pro NATO wamekosa furaha mda mrefu sana.
Kwa hiyo wakipata ka nafasi ka kufurahi wanakafurahia kwa nguvu sana, lakini Kwa mda mfupi mno ili kufidia mda mrefu wanaokaaga bila furaha.
Hawajui kutengeneza simu, lakini wanapeleka rocket angani na engine zao nibora kuliko hao wanaotengeneza simu. Jambo la msingi ni priority.
Mkuu tupo team moja, point yangu kubwa ni kwanini Urusi na Putin walimuacha Prigozhin akawa mkubwa kiasi cha kutishia uhai na usalama wa Urusi kwa kujaribu kufanya coup? Nilitoa mfano wa Marekani anavyompa misaada ya kila aina Zelensky na Ukraine ila kila siku haachi kuwadukua ili isije kutokea siku akapigwa kwa silaha zake mwenyewe ama maslahi yake yakaharibiwa kwa kiburi kinachotokana na misaada yake mwenyewe.Kwani kisichofanyika Marekani ndio kiaakisi ustaarabu wa Dunia?
Kwa hoja yako ya kushindwa kumaliza vita ndani ya muda mfupi tufanye Russia siyo supa pawa. Kwa kutumia hoja hiyo hiyo tumpime supa pawa unayemuamini.Upo sahihi kabisa, Russia inakuzwa sana na propaganda tu ila kiuhalisia hana mabavu wala 'u-superpower' wowote ule.
Angalia hata namna Vita alivyoanzisha anavyoshindwa kuvimaliza (miaka 2 anapigana tu).
Ussr ilikuwa tishio na ikasambaratika, Urusi ya Putin ni masikini jeuri tu.
Nilikujibu cheki tena, pia mimi sio pro-Nato, ni pro-Russia na jana ilikua siku mbaya sana kwangu, wife hua sio mfuatiliaji wa hizi mambo ila mpaka alijua kuna kitu kikubwa kimetokea make kwa dakika moja nilikua nabadilisha chaneli hata mara tano, BBC, CNN, Sky news, Al jazeera, CGTN na hapo hapo nafuatilia live updates za Twitter, The Duran, JF, na YouTube kwa Alexander Mercouris kama amepost chochote, haikua siku nzuri na kubali kataa ime expose udhaifu mkubwa wa mfumo wa Urusi.Hajajibu hii comment yangu,amekimbia
na alipitia ammor depot akabeba masilaha za kila aina wakachoma ma matress ati depot imelipuliwaHuyu mwamba muacheni kama alivyo 🤣🤣🤣
Ooh kwaiyo wewe kiongozi anaeweza kudanganywa na akachukua maamuzi makubwa yenye athari kubwa kwa nchi unamchukulia yuko sawa tu?Hoja yangu ni kwamba,
Unajuaje kama Putin anamuona kama amekosea?
Unajuaje pengine madai yake yalikua sahihi ila sema njia alizokua anataka kuchukua sio sahihi.
Yeye Lawama zake zote sio kwa Putin,Bali kwa Shoigu na Mkuu wa jeshi kua wanamdanganya Putin.
Sasa hapo pengine Putin anamuona kama mzalendo lkn hakua na subira.
Hayo ni mawazo yangu TU lkn.
Na hiyo ndio akili kubwaJana Putin katumia busara sana. Katika siku Putin alicheza kama Pele ni jana
Kuna tofauti ya kuogopa na kutumia busara
Alitaka jeshi lifocus na adui wa nje na hapa ndipo point muhimu ilipo
Kuhusu msaada wa Lukashenko raisi wa Belarus. Ikumbukwe huyo Lukashenko yuko hapo madarakani kwa msaada wa Putin
Prigozhin mwenyewe anajua umuhimu wa Putin na Russia mpaka hapo alipofikia kuwa na Wagner. Bila support ya Putin asingekuwa hapo alipo
Putin jana kazuia sana umwagaji wa damu leo tungekuwa tunaongea mengine
Ni kweli Russia wangeshinda lakini NATO wangetumia hilo tukio kama advantage dhidi ya kuilemaza Russia kule Ukraine. Hiki ndicho Putin hakutaka kitokee
Mwenye kuelewa na aelewe mwenye kushupaza fuvu na ashupaze
Ndiyo Urusi ilidai kuchukua nafasi ya USSR katika mikataba ya kimataifa wengine walikubali.Hivi USSR iliyovunjwa ndio Russia leo?
Jana narudi home wife ananiuliza mbona hauko sawa unatatizo gan? Mi namuangalia tu mana hata ningemjibu asingenielewa. Hii ishu ilininyima raha sana kwa siku ya jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nilishindwa kabisa kufanya kazi maana nilikuwa sijaelewa mpango wa Putin