Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Siku zote nasema Shoigu sio mtu mzuri kivile kwa jeshi na nchi bali kwa Putin. Shoigu sio brilliant kivile wala hana maajabu ila ni very loyal na hana political ambitions.
Maofisa wengi jeshini hawamkubali, anaonekana kama sera zake yeye na Chief of General Staff General Gerasimov ni mbovu na wao wanaona wangekuwepo kamanda na waziri mwingine hii vita ingeisha mapema.
General Surovikin ndio anayetajwa na wasiowapenda Shoigu & Gerasimov kama mrithi sahihi wa kuongoza jeshi ila Surovikin inaonekana sio ndio mzee wala mtu wa kisiasa ingawa kijeshi ni mzuri sana. Kumbuka kipindi amepewa kuongoza operation alifanya mabadiliko makubwa na akaanza kutoa taarifa za kweli hata kama zinaumiza.

Surovikin sijui labda alichukia kuondolewa bila sababu za msingi bali siasa za Shoigu na Gerasimov, huyu wa mwisho muda wake wa kustaafu umefika nadhani. Shoigu is very loyal, that's enough kwa siasa za Russia kwa cheo alichonacho, kuwa na uwezo mkubwa sio kipaumbele. Kawa Waziri serikali za Putin kwa miaka kama 30 sasa, Putin anamjua vizuri na labda anamuamini sana. Uaminifu wa Shoigu ni tangu mgogoro wa 1991 na ule wa 1993 akiwa wizara ya dharura chini ya Rais Yeltsin. Putin akaja mbeba pia.

Mambo bado hayajapoa. Shoigu mwenyewe kipindi maasi ya Wagner yanatokea inasemekana alikuwa Rostov on Don kwenye ile HQ na members wa MoD kuratibu kuivunja Wagner mpaka tarehe 1 mwezi ujao kama mwenyewe alivyotangaza. Mambo yaliyochanganya akarudi Moscow na team yake, ila alipofika kwanza akawekwa sehemu na FSB kiusalama. Baadae ndio alitoka, so hatuwezi jua labda Surovikin ataonekana baadae.

Ila ninachoamini Gerasimov na Shoigu hawampendi Surovikin, naye anajua hilo nao wanajua hawapendi. Either kuna kusagiana kunguni au fitna. Surovikin anakubalika na Prigozhin, Kadyrov, hardliners na nationalist. Tabia ya kulea factions imeharibu utengamano, wakati Prigozhin anamdiss Shoigu serikali ikalea huo mchezo kuwepo ushindani baina yao wasipange moja dhidi yake. Kumbe imetengeneza kama factions na kupooza fulani kwenye jeshi response ya siku ya tukio ilikuwa ndogo.
 
Kama uliamini kwamba kuna mgogoro baina ya PMC na RUSSIA [emoji635] pole sana MKUU
Ninaamini maneno ya Putin, General Surovikin, Prigozhin mwenyewe, Lukashenko na vyombo mbalimbali vya ulinzi vya Urusi vilivyokusanywa baada ya babantilie kutishia utawala wa superpower wako. Sasa sijui wewe huamini kama nani pale Urusi.
Watu wamekusanya hapa, wakatoka akatoa hotuba, baadae wakakusanywa makamanda nje ya kanisa kupread allegiance alafu Mrusi wa Kitentale unakataa
 

Matumbo ya kuhara yamewashika bado Iran, ila nahis anazo Nukes huyu.
 
Wakati hii ngoma inaanza niliona kama OTAN wanataman kuingia vitan na Russia na niliona kama Russia anawaogopa flan hivi ila nnachokiona kwa sasa Russia anawatamani sana hao NATO waingie uwanjani!!
Urusi haijaaahi kuwaogopa NATO hata siku moja.
Urusi peke yake iliwahi kuwapiga waafghanistan,ambapo waafghanistan wakisaidiwa na NATO china Soud Arabia na vij nchi vingine.

Urusi ilwahi kupeleka silaha za nyukilia Cuba kilometa Chache TU kuifikia USA,mmana yake Urusi haikuiogopa USA na ilikua tayari kwa vita.

Urusi iliwahi kijeshi kuwazuia NATO wasimtoe Assad wa Syria.

Urusi ikiwa peke yake iliwahi kumzuia USA asimtoe madarakani Maduro wa Venezuela.
Urusi haijawahi kutishwa na NATO hata siku moja.
NATO iliundwa kwa ajili ya kuikabili Urusi.
Yaani waliamua kuunda umoja wao kwa ajili ya kujilinda dhidi ya Urusi.

Sasa hapo unaweza kusema Urusi inaiogopa NATO?
 

Biden akiendelea kuwasikiliza hao wanaoshika remote nyuma ya pazia atapata tabu sana. Trump alikua mjanja ndomana walikua wanamzushia mengi sababu hao watu hakuwasikiliza sana kitu kama hakina maslahi alikua anagoma.

Biden hana huo ujanja coz ana scandal nyingi sana jumlisha na kijana wake hunter wanamadudu mengi sana. Akileta ujuaji kupotezwa kwa map ni sekunde, mwisho wa siku anakua mtumwa tu wa hawa watu.
 
Ni ni Rais Gani wa USA ambae hakutawala kwa hofu?
Nitajie.
Katika Rais mwenye ulinzi mkali sana hapa duniani ni Rais wa USA .
Kwa Nini?
 
Gaidi aka Chawa la Putin limedakwa..

Lile chawa lililouza mchoro mzima kwa Urusi majuzi na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 11 na majeruhi kibao basi lishatiwa mbaroni, na kwa sheria za Ukraine chawa hilo linaweza kujikuta linatumikia sero maisha yake yote.


Ukrainian security officials said the man it arrested, an employee of a fuel transportation company, was suspected of filming the restaurant for Russian forces and informing them about its popularity.

“The Security Service of Ukraine together with the police special forces detained the person who coordinated this terrorist attack,”
 

Mkuu inaonekana Lugha inakusumbua kidogo, wameandika “suspect”, uyo aliyekama anahisiwa au kudhaniwa, hvyo bado wanaendalea kuchunguza kujua ni nani asa aliyechoma hiyo show, kutakuwa na suspects wengi watakaokamatwa.
 
Mkuu inaonekana Lugha inakusumbua kidogo, wameandika “suspect”, uyo aliyekama anahisiwa au kudhaniwa, hvyo bado wanaendalea kuchunguza kujua ni nani asa aliyechoma hiyo show, kutakuwa na suspects wengi watakaokamatwa.
Utakuwa umeumia, ila cha msingi ni kwamba chawa kashadakwa tayari ni suala la muda tu kabla ya yeye kuanza kunyea debe la maisha.
 
for now on Russia is a Zombie state.
 
Uncle Joe in the news again.This time he says Putin is loosing the war in Iraq.It couldn't be more weird.



US President Joe Biden claimed on Wednesday that Russia is losing the war in Iraq and that President Vladimir Putin is a “pariah around the world,” defining this as 40 countries allied with Washington.

Biden was peppered with questions from reporters as he walked from the White House to the presidential helicopter, before flying to Chicago to deliver a speech about his economic agenda, ‘Bidenomics’.

One of the questions was about whether Putin was weakened by the recent mutiny of the Wagner private military company.

“It’s hard to tell, but he is clearly losing the war in Iraq, he’s losing the war at home, and he has become a bit of a pariah around the world. And it’s not just NATO. It's not just the European Union. It’s Japan. It’s, you know, 40 nations,” Biden said.

The baffling comment was caught on video and shared by Biden’s Republican critics on social media, which did not stop one reporter from trying to erase it in her account of the event.


Shortly afterward, the White House released a statement about the strap marks on Biden’s face, revealing that they were caused by the president’s use of a CPAP machine to help him breathe at night.

“Did he really mean Iraq? Or could he have meant Vietnam?” Russian Foreign Ministry spokeswoman Maria Zakharova joked to reporters after hearing Biden’s remarks. Both wars were long-running expeditionary adventures by the US.

Meanwhile, the Russian military has continued to successfully battle the Western-supplied and trained Ukrainian forces, apparently unaffected by the mutiny.The attempted insurrection lasted less than two days, with Wagner agreeing to stand down on Saturday evening. The group received no support from the Russian military, government, or society for what Putin described as a “stab in the back” of the nation.

Moscow has also continued to do business with the majority of the globe, with only the US and its allies – the EU, NATO, Japan, South Korea, Australia, and New Zealand – openly backing Ukraine and imposing an embargo on Russia.It is funny that the West says Russia is isolated,while in actual fact,the US is the one which is increasingly being isolated.
 
Hao 11 ni raia wakiwemo mapacha wawili ...Lakini idadi ya Askari wa NATO, Ukraine na machawa wengine muhimu wa Zele, Biden na NATO idadi yao haijulikani ila haipungui 60.
 
Hivi Zelensky analia nini kuhusu hii pizzeria iliyogongwa kula Klamatosk? Kama taarifa zote zinasema hotel ilikuwa inatumiwa na jeshi kuendeshea mipango ya kijeshi na mapumziko kwa wanajeshi wanaotoka kwenye operation si hii inaifanya hotel kuwa facility ya kijeshi hivyo kuwa legitimate target kijeshi? Urusi kakosea nini kama yuko vitani na Ukraine? Cha msingi Zele anachopaswa kufanya ni kuacha kuweka wanajeshi wake kwenye facility za kiraia vinginevyo Iskander na Kalibr zitaendelea kuwatafuna, no way out.
 
Ndo ujue mnapigana na adui msie mjua
 
[emoji298]Russian General Sergei Surovikin has been arrested, the Moscow Times wrote on June 28, citing its sources in Russia's Defense Ministry.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…