Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,883
- 7,496
Pamoja sana nduguKaribuni siku kuu wana thread
Pamoja sana nduguKaribuni siku kuu wana thread
Kwani si tumeambiwa Bakhmut hakuchukuliwaTunasonga mbele kwa uhakika....
View attachment 2672686
Ukrainian officers say they are gaining ground along the flanks of Bakhmut [File: Anatolii Stepanov/AFP]
Ukrainian forces are advancing “slowly but surely” on the front lines around the longstanding flashpoint of Bakhmut, according to senior military officials.
No thanks,Allah is not my God,neither is Eid Al Adha my holiday.
Mchawi lughaNo thanks,Allah is not my God,neither is Eid Al Adha my holiday.
Washaanza MKUU wanalalama kwamba uwepo wa PRIGO unatishia maslahi na usalama wa wanachama wa OTAN waliopo kaskazini mwa EUROPE kina LITHUANIA [emoji1151] Poland [emoji1200] na wengineSasa hivi NATO wataanza kupiga kelele kwa nini Prigozin yupo Belarus
Watasema uwepo wake hapo Belarus unatishia Kiev.
Haitapita wiki 1 wataanza kulalamika.
Sasa patriot zilikuwa zinafanya niniHivi Zelensky analia nini kuhusu hii pizzeria iliyogongwa kula Klamatosk? Kama taarifa zote zinasema hotel ilikuwa inatumiwa na jeshi kuendeshea mipango ya kijeshi na mapumziko kwa wanajeshi wanaotoka kwenye operation si hii inaifanya hotel kuwa facility ya kijeshi hivyo kuwa legitimate target kijeshi? Urusi kakosea nini kama yuko vitani na Ukraine? Cha msingi Zele anachopaswa kufanya ni kuacha kuweka wanajeshi wake kwenye facility za kiraia vinginevyo Iskander na Kalibr zitaendelea kuwatafuna, no way out.
we ina **** nini?Hapa ndipo unaweza kuona ya kwamba tuko na vitoto hambavyo ndo kwanza vinaanza kubalehe!View attachment 2672708
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vyombo vya west wala hawasemi hayo,wamekomaa tu na 12 Civillians dead including childrens!Things keeps unfolding
The Turks gave their version of yesterday's attack on Kramatorsk. The building of the hotel in Kramatorsk, where foreign mercenaries and volunteers are stationed, was subjected to Russian bombardment during daylight hours, the losses amounted to more than 100 people.The hotel housed a large number of former US soldiers, special forces and military personnel from various NATO countries, who, under the cover of volunteers, provided command and administrative support to Ukrainian forces in the region. There are fears that the number of victims will increase.In the evening, a similar attack was carried out in the center of Zaporozhye. It is not known whether an ammunition depot or military cargo was attacked.
View attachment 2672809
Putin: Привет! Как дела!Alafu inaonekana kuna kitu kikubwa Russia anakipanga….Leo wapiganaji kutoka Nepal wameingia Urusi kujiunga kwa mkataba sijui itakuwa ni Wagna or something else, Mrusi kuna kizito anakiandaa.
Hahaha [emoji1787] eti zombie stata.for now on Russia is a Zombie state.
Jamani, mengine muwe mnakaa kimya, mtwafanya pro Nato wafe kwa kihoro,, walishaamua kushangilia uhasi wa prigo, mara ghafla,,,Alafu inaonekana kuna kitu kikubwa Russia anakipanga….Leo wapiganaji kutoka Nepal wameingia Urusi kujiunga kwa mkataba sijui itakuwa ni Wagna or something else, Mrusi kuna kizito anakiandaa.