Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 39,203
- 79,500
Iraq?Biden anasema bwana putin ameshashindwa katika vita ya IRAQ.
😛😛😛
Iraq?Biden anasema bwana putin ameshashindwa katika vita ya IRAQ.
😛😛😛
Hawana surprise yeyote ile PMC na PUT IN wameupiga wakutoshaSijawahi fikiri kuwa wegner inaweza fanya hivi. Kama sio propaganda basi Putin amalize hii OP yake either kwa vita kamili iliyoshiba au kwa kuachana na Ukraine au kwa makubaliano. Si sawa kudharau akili za wazungu kutoka nchi za NATO wanaweza wakakusuprice.
[emoji23][emoji23]huyu rais ni ovyo sanaBiden anasema bwana putin ameshashindwa katika vita ya IRAQ.
😛😛😛
Asked if General Sergey Surovikin had advanced knowledge of the plot, as reported by the New York Times, or if Wagner chief Yevgeny Prigozhin intended to capture Russian Defense Minister Sergei Shoigu or chief of staff Valery Gerasmiov, as reported by the WSJ, the official said: “There is a lot of fog still. That would be speculation. Time will tell what exactly [Prigozhin’s] reasons were.”“I would not speculate on whether a purge will follow, but there is definitely turmoil and it has added more fuel to that.”
Wamefikia wapi heheheeeThe musicians are heading to Moscow.
Kunywa maji yakutosha kijanaPutin ni mbwa na ana akili za kiumbwa! Ngoja avune alichopanda mbwa mkubwa! Alianzisha vita sisiyokuwa na sababu wala mwelekeo sasa imeanza kumtafuna yeye mwenyewe. Mpuuzi mkubwa!
Ungetoka tu. Humu washabiki wa upinde wanapata tabu sana. Nakuhurumia ukiendelea kubakiHivi humu kwenye uzi huu wamo Warusi pia, na pia wanaweza kuandika kiswahili?
Mimi sio Mrusi ni mtanzania ila naona kama wengi wenzangu humu ni warusi sasa sijui nitoke nitafute uzi wa wanongo au?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Una uhakika wewe ni Mtanzania? Nchi ina wenyewe hii! Na wenyewe ndiyo wao! Wamesaini mikataba ya kuuza bandari wewe ulishirikishwa? Bado tuna safari ndefu sana, kwa sasa ngoja tujibanze hapo!Hivi humu kwenye uzi huu wamo Warusi pia, na pia wanaweza kuandika kiswahili?
Mimi sio Mrusi ni mtanzania ila naona kama wengi wenzangu humu ni warusi sasa sijui nitoke nitafute uzi wa wanongo au?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Hakuna mgogoro wowote ule unaoendelea RUSSIA [emoji635] yaani RUSSIA [emoji635] PMC PUT IN nk wanajua nini wanakifanyaPrigo na Shoigu hawa watu wana bifu, Shoigu anawasiwasi sana na kibarua chake. Kama sio kucheza na akili zetu ila hawa watu kama wanakamgogoro kamaslahi
Auliwe Putin asiyeweza kuishi vizuri na majirani.Ukraine Wanapigwa jameni dah..Nimeona sehemu wamejikuta wako katikati ya mabomu akisogea kinalipuka..akikaa linalipuka akikanyaga miguu inakatwa yaan wanavuja damu nyingi sana yule msanii si wamuue anadhani ni maigizo
Yaani na wewe uliwaza kabisa kama kuna vita vitatokea RUSSIA [emoji635] mnakwamia wapi pro RUSSIA [emoji635] PMC wamepelekwa BELARUS [emoji1044] kimkakati tuu PMC na kolabo yote inayoongoza SMO pale UKRAINE [emoji1255] basi lao mojaKadryov Yuko 80km kuwafikia Wagner,Kuna vita vitatokea Urusi vikubwa haijapata kutokea
Kwa mtazamo wako ni nini kinawakwamisha kutoa silaha mathubuti kwa ukrane? Je tuamini wanaogopa majibu ya moto ya urusi?Ndiyo, ni silaha dhaifu hadi sasa. Wapi silaha zu kupiga ndegevita kwa umbali wa wastani? Wapi roketi zinazofikia vituo ambako Putin anarusha roketi na ndege zake?
NATO inazuia kupatikana kwa silaha hizo upande wa Ukraine.
Hukujua bado
Hivi humu kwenye uzi huu wamo Warusi pia, na pia wanaweza kuandika kiswahili?
Mimi sio Mrusi ni mtanzania ila naona kama wengi wenzangu humu ni warusi sasa sijui nitoke nitafute uzi wa wanongo au?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobil
wewe ni pro-NATO acha kuzunguka!!!Hivi humu kwenye uzi huu wamo Warusi pia, na pia wanaweza kuandika kiswahili?
Mimi sio Mrusi ni mtanzania ila naona kama wengi wenzangu humu ni warusi sasa sijui nitoke nitafute uzi wa wanongo au?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Kama uliamini kwamba kuna mgogoro baina ya PMC na RUSSIA [emoji635] pole sana MKUUUnashangaa naitaja Poland?
Putin kapigana na mchekeshaji Joti wa Ukraine kijana Zelensky, mpaka sasa yamemshinda. Sasa kaanza kupigana babantilie Sele bonge mzee Prigozhin mmiliki wa kampuni [emoji23].
Sasa Putin ndio akapigane na Andrzej Duda?View attachment 2667653
Na cha ajabu nini sasa wakati Poland iliwahi itandika Urusi, na kwenye WW2 USSR ililazimika ishirikiane na Ujerumani kugawana Poland na bado walioanza kushambulia ni Ujerumani. Poland ndio wangekuwa vitani mbona wanamgambo wa Urusi wangeshapoteana muda sana.
Nchi yenyewe jeshi haliwezi zuia vibaka na wafungwa waliotolewa gerezani na kupigana miezi nane dhidi ya Ukraine na kuambulia kamji kamoja kenye chumvi, wakati huo Wagner haohao wametumia masaa tu hata siku haijafika kuteka mji muhimu kabisa kwenye ulinzi wa Magharibi mwa Urusi. Sasa hiyo nchi iweze Poland?
Kuzuia Wagner wanaitwa wale Tiktokers akina Kadyrov wanatokea Mashariki ya mbali uko na wako alfu kadhaa tu, wakati nchi ina wanajeshi zaidi ya milioni wanakunywa uji sijui. Yalaa! superpower uchwara kapigwa na kitu kizito kichwani[emoji23][emoji23].
"Russia ni taifa teule" by Bwana Utam
Hamna mwenye uwezo wa kumuua putin isipokuwa Mungu tu.Auliwe Putin asiyeweza kuishi vizuri na majirani.
Shida nyie ndio hamjui yaani PMC wangekua wameeka nia kweli yakumgeuka PUT IN wangejulikana mapema sanaNafikiri wafuatao Russia pale wanapaswa kujiudhuru kama sio kuunganishwa kwenye case ya uhaini.Putin akijifanya mwema..next time yatamtokea puani, ajifunze kwa Erdogan alichokifanya baada ya jeshi kujaribu kumpindua:
1.Shiogu:Huyu jamaa ameshindwa kabisa kiwa kiongozi.Ameahindwa kusolve ugomvi wake na Wagner kwa muda mrefu ..ugomvi wao unaekea kubaya..
2.Mkuu wa FSB: Haya yote yanafanyika: alikua wapi:Mpaka Wagner wanatembea km 200...yaani kama wameshindwa kujua mipango ya Wagner..watajua kinachoendelea Washington
3.Head of GRU
4.Head :SVR
5.National Guard