Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Imeisha hyo Sasa mda wa kipigo
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Russian forces destroy Ukrainian command post in DPR, top brass reports

It is reported that Russian forces eliminated over 90 Ukrainian troops in the Krasny Liman area over the past day
 
Ukrainian Special-Ops Troops Cross Dnipro River, Draw Powerful Russian Counterattack

Ukrainian cross-river raids with small boats over the Dnipro have drawn responses from Russian tanks and artillery. Pro-Moscow sources claim success, while Kyiv says it’s planned attrition.

Read more on our website.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wakamalizwa
 
[emoji3][emoji3][emoji3] nimeipenda hii [emoji116][emoji116]

Jeshi la Russia ni jeshi lenye nguvu sana.
 
kuna time akili zina rudi afu baada ya muda zina sepaa..duh
 
kwa mtazamo wangu ni kuwa Russia alijifunzaa kwenye ile counteroffensive ya Kwanzaa maaana amebadili mbinu zake kwa kiasi kikubwa naona ata vikundi vidogo vidogo vinatembea na waongozaji wa drones ili kufatilia na kuaribu nguvu ya adui mapema kabla ya kukutana nayo hii imemsaidia sana kuzuia mashambulizi makkubwa ya karibu na ya mbali pia
 
TZ si kibom bali viongoz wetu ni wapiga vibom


Fatilia ziara zote za mkuu wa nchi anapoenda ktk nchi zilizotuzid kipato lazima apige vibom


Na hata bajeti yetu haitegemei kwa kiwango chote mapato tunayoingiza lazima tupige vibom
Tofautisha kuomba mkopo na kuomba msaada,
TZ tunakopa na baadae tunalipa hatuombi msaada kwa kupewa bure.
Je,umesahau kauli ya mwendazake kwamba miradi yetu ya maendeleo tunaiendesha kwa pesa zetu licha ya kwamba ni pesa ya Mkopo!?
 
Kosoa kistaarabu mkuu,
Kwa matusi hayo tunawezaje kujadili na kupata muafaka!? au ndio kila mtu afanye awezavyo au atakavyo!?
Tusi liko wapi ? Kwani wewe ni dini gani ili nijue kwanini unasema tusi ....kwani mtu akisema makahaba nitatizo awafai ...katukana ...
Nyerere aliwai kusema hivi ...tanzania kuna viongozi malaya malaya wa kisiasa mbona ukusema katukana
 
Tusi liko wapi ? Kwani wewe ni dini gani ili nijue kwanini unasema tusi ....kwani mtu akisema makahaba nitatizo awaf ...katukana ...
Nyerere aliwai kusema hivi ...tanzania kuna viongozi malaya malaya wa kisiasa mbona ukusema katukana
Mkuu Nyerere ni binaadam mwenzetu na hilo neno alilolitamka ni tusi na bila shaka alilitamka akiwa mwenye hasira. Alifanya kosa hata kama hakuomba radhi. Na hili si suala la Dini ni desturi tu katika jamii.
 
Mkuu Nyerere ni binaadam mwenzetu na hilo neno alilolitamka ni tusi na bila shaka alilitamka akiwa mwenye hasira. Alifanya kosa hata kama hakuomba radhi. Na hili si suala la Dini ni desturi tu katika jamii.
Kwenye biblia kuna hayo maneno pia ...mfano kuna maneno mungu anasema ..."ni mpumbavu yeye asemaye hakuna mungu "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…