Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

"Nahisi ni sisi watafuta habari ndio tulikua tuanaamini wamekufa."


Maana yake ni kuwa hakuna habari ya kweli inayoletwa ni mapro iliyoyakweli bali ni propaganda.


Kila siku ilikuwa ni ngonjera kwa mapro wenzako kuwa alitoweka.
Ndugu sio sisi TU,hata vyombo vya habari viliandika kutoonekana kwa hao jamaa.
Naini hata vyenyewe vilikua vinatafuta habari,maana watu hao hawakuonekana katika matukio muhimu,mfano mkutano mmoja wa wakuu wa majeshi wa NATO.
Pia kama una kumbukumbu nzuri Kuna maandishi mmoja alimuuliza Putin live kua ni wapi alipo Mkuu wa majeshi wa Ukraine,Putin wala hakusema kafa,Bali alisema tunajua alipo.
Sasa kwa mtu mkubwa namna Ile akitoweka ghafla watu huhoji.na hata huyo mw
Siku udikteta ukimkwisha Mwamerika, mkuu wa Multipolar World atamruhusu akawasalimie ndugu na jamaa zake.
😀😀😀😀 Kweli kabisa.
 
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Kwa huyo utapata taabu sana.
Huwa wanfurahia vifurushi vya silaha na fedha kutoka NATO,

Hua wanafurahia misaada ya mipango,ushauri, intelligensia na maonyo ya NATO dhidi ya Urusi.
Lakini hua wanatia vichwa mchangani wasikubali kua vita hii ni baina ya NATO na Urusi.
Tena NAMI naongeza sio NATO TU,Bali ni west wote dhidi ya Urusi moja peke yake.
 
Kwa yule anaekataa kua NATO Iko vitani na Urusi nadhani makala hii itamjibu.
 
Uchambuzi sahihi kabisa.

NATO ni muungano wa vi nchi vioga vioga duniani vilivyoamua kuungana ili kujilinda dhidi ya wanaume wa ki Soviet na bado vinapelea.
Yaani upo sahihi nchi zinapaswa kuungana kwenye Mambo ya Uchumi sio Kijeshi
ukiona Nchi zinaungana Kijeshi ujue Mpinzani wao ni habari Nyingine!
Hapo Wanajua kabisa Hakuna nchi inayo weza Kupigana na Adui huyo yeye kama Yeye hivyo Inawabidi wajikusanye Na Hata hivyo Wanagwaya nani Amfunge Paka Kengele?!
Ukrein Kainginzwa Kwenye Bomba Wakipima Upana wake ukoje
 
🤣🤣🤣



🇺🇲 🇺🇦 🇷🇺 I will not return and will never fight the Russians again , the American mercenaries complain in an interview with The Daily Beast, saying that the war in Ukraine is more dangerous than in Iraq or Afghanistan.

Foreign "soldiers of fortune" shared the details of participation in hostilities with the Russian army:

▪️"This is my third war in which I participated, and this one is by far the worst. You will be crushed by artillery, tanks. Last week, a bomb was dropped from a plane next to us, 300 meters from us. This is terrible shit."

▪️"There is nowhere to hide. When we went on a mission, I thought that we would all die. No helicopter will come for you, no one will save you when you are surrounded. When I returned home, I had time to think everything over. I came to the conclusion that I'm not going to come back and fight."
 
Putin has not achieved any of his goals during 500 days of war, former Polish President Aleksander Kwasniewski has said in an interview with Ukrinform.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Bulgaria has already begun preparing the new package of military aid for Ukraine, Defense Minister Todor Tagarev told Glavcom on July 4.

Just like with Sofia's previous military aid packages, the minister did not reveal its exact content.

He has however noted that the previous two shipments were "quite serious." Bulgaria is providing "material means" that do not disrupt the capabilities of the Bulgarian military, Tagarev said in the interview.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1377]Ukraine begins constructing 150 km of water pipeline to restore water supply to the country's south following Russia's destruction of the Kakhovka HPP, Ukraine’s Minister of Infrastructure, Oleksandr Kubrakov, reported.

The pipeline will restore water supply to over 1 million people.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…