Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia and 11 other countries are buying turbines from Iran.

The head of the Iranian Association of Turbine and Generator Manufacturers stated:
[emoji843]Iran is one of the top five power plant manufacturers in the world, and turbines produced by Iran are now exported to various countries around the world, including Russia and 11 other countries.
 
dubwana lilienda kufanya maunyama hivi majuzi huko kunakosadikika ni hotel ya kitalii halafu likarudi zake home...[emoji1][emoji1]
IMG_20230703_002305.jpg
 
Ila Mimi sikumbuki kama serikali ya Urusi ilitamka rasmi kua watu hao wamekufa,nahisi ni sisi watafuta habari ndio tulikua tuanaamini wamekufa.
Nakumbuka hata Putin alohojia kua anafahamu Yuko wapi Mkuu wa jeshi wa Ukraine.hakusema kama kafa Bali alisema anafahamu alipo.
Kama. Kuna taarifa rasmi kutoka Urusi kua wamekufa basi Mimi ilinipita.
"Nahisi ni sisi watafuta habari ndio tulikua tuanaamini wamekufa."


Maana yake ni kuwa hakuna habari ya kweli inayoletwa ni mapro iliyoyakweli bali ni propaganda.


Kila siku ilikuwa ni ngonjera kwa mapro wenzako kuwa alitoweka.
 
Najibu kwa niaba,
Rais wa Marekani ama mwanajeshi ama raia wa Marekani akifanya uhalifu ama kosa lolote nje ya Marekani ana Kinga ya kutoshitakiwa.
Wa Marekani ni raia wa daraja la juu kabisa hapa Duniani.
Ila wao mhalifu wao akikimbilia nchi yoyote hapa duniani Wana uwezo wa kumfata na kumakamata.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwahyo Tunatumia katba ya dunia au ya nchi YETU
 
Ukraine is attacking Russian forces in the Berdiansk and Melitopol directions in southeastern Zaporizhzhia Oblast, “creating conditions for a speedy advance,” Deputy Defense Minister Hanna Maliar said on July 2.

But Russian forces are also launching offensives, the Ukrainian authorities say.

Maliar also reported on July 2 that Russian forces were on the attack near Avdiivka and Marinka in the southern Donetsk Oblast, as well as near Lyman, a liberated city in the northern Donetsk Oblast.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ujamaa ndio mfumo wa kibinadamu.

Dini zote kubwa zinahimiza upendo/ujamaa, Biblia kwenye matendo ya mitume inafundisha kuwa mitume waliishi kijamaa baada ya Yesu kurudi mbinguni.

Hakuna mfumo bora kuuzidi ujamaa pamoja na shetani kutumia nguvu kubwa sana kuuhujumu.
Ni kweli mkuu,Biblia katika Matendo ya Mitume 4:33-34 inahimiza ujamaa.

33 Na mitume wakatoa ushuhuda wa kufufuka kwake Yesu kwa nguvu nyingi, na neema nyingi ikawa juu yao wote.
34 Wala hapakuwa na mtu mmoja miongoni mwao mwenye mahitaji; kwa sababu watu wote waliokuwa na viwanja au nyumba waliviuza, wakaileta thamani ya vitu vile vilivyouzwa,
 
Argentina paid off its $2.7 billion debt to the International Monetary Fund in yuan.

The fall of the dollar is accelerating and the use of the yuan is increasing.

The world is preparing to take advantage of the new global economic order.
Wamarekani na Pro-NATO kuanzia sasa waanze tu kuzoea kutamka YUAN, RUBLES, RUPEES, RIYAL, RAND, na ikiwezekana UGS (Ugandan Shillings!)
 
Russia and 11 other countries are buying turbines from Iran.

The head of the Iranian Association of Turbine and Generator Manufacturers stated:
[emoji843]Iran is one of the top five power plant manufacturers in the world, and turbines produced by Iran are now exported to various countries around the world, including Russia and 11 other countries.
Meanwhile Bongo is at the very top 5 as an importer of second class or even third class of almost everything, including American culture!
 
Medvedev: Europeans lost the Russian market, their investments "burned"
Huyu Medvedev anawakera Pro-NATO kuliko hata Putin mwenyewe. Halafu jamaa wanatumia lugha ile ile ya adui.

Inauma sana adui yako akitumia lugha yako kukuchachafya; huwa sindano yake, maumivu ni ya hukoo Alpha Centauri.

Imagine Wamarekani top-tiers wawe na uwezo wa kukitema Kimosko kama ambavyo akina Medvedev na Lavrov wanashuka Kimalkia. haha
 
Mzee wa nyeupe ni nyeupe hakuna Kona Kona
View attachment 2676453
🇺🇸🇺🇦🇷🇺 “I don’t think we’ll ever get to the 2024 election. Things will implode in Washington before that.”

Douglas MacGreggor

@DDGeopolitics
Bahati mbaya sana kp kipanya44 hajui kusoma. Atazame japo lipicha basi.
 
Back
Top Bottom