Nimesoma sehemu kuhusu hiyo hofu ya kulipuliwa kwa Zaporizhzhia Nuclear Power Plant naona pande zote mbili zinashutumiana kutaka kulipua kinu hicho, hivyo huenda ni kweli kinu hicho kitalipuliwa ndio maana taarifa zinadai wananchi wengi wameondoka eneo hilo. Vilevile inaelezwa kuwa Russia imepunguza idadi ya watu wake waliopo eneo hilo.
Hata hivyo Serikali ya Ukraine imedai kuwa Mara nyingi Russia anapoitaja Ukraine kupanga kufanya jambo basi ujue wao ndio Mpango wao huo.
Hata hivyo Serikali ya Ukraine imedai kuwa Mara nyingi Russia anapoitaja Ukraine kupanga kufanya jambo basi ujue wao ndio Mpango wao huo.