Nimeyapokea maua yangu [emoji119]ila wewe kp kipanya44 ni nouma aisee...
Pokea na hizi shanga za kiunoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]..yaani umepata hako ka habar uchwara huko ulipotoka na ulivorukia humu sasa utazani umeleta jambo la maana .kumbe ka kifaru kamoja ....shabaaash.....[emoji115][emoji115][emoji1787][emoji1787]Mizinga ya Ukraine yaharibu kifaru cha kisasa kabisa Cha Urusi chapa T-90M:
.....
![]()
Ukrainian artillery destroys Russian T-90M tank with precision strike
Ukrainian troops have destroyed Russia’s most advanced operational tank on the frontlines. The Ukraine Weapons Tracker OSINT group reported that a T-90M main battle tank was destroyed by a 155mm BONUS precision-guided anti-tank artillery round fired by the Ukrainian 47th Mechanized Brigade in...defence-blog.com
[emoji41][emoji41]
Hizo shingo walizokaza zitavunjwa na PutinUkraine haitasalimu amri maana huko ni kutoa kafara utaifa wao.
Mtoto wa kiume umepewa maua na wa kiume mwenzio na bado unakenua
Labda iwe Bakhmut ya mbagara[emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia ukraine wamerudisha km 10 za bakhmut.
Bado hujaacha upumbavu dogo??Mtoto wa kiume umepewa maua na wa kiume mwenzio na bado unakenuaView attachment 2679833
Tulisikiaa storm shadow saivi zipo kimya kma hazikutumwa vile kwaiyo wacha zije zipokeleweMarekani yathibitisha kupeleka Cluster Munition kuanzia leo.
Wale panya wajiandae kimbia
Urussi ina silaha za hatari sana nakuambia kama akizitoa mzigoni silaha za sumu na kibiology NATO watapoteana ...kwa sasa urussi inakamilisha silaha nyingi hatari za kujiendesha zenyewe bado miezi minne tu mass production ya hizo silaha kuwa tayariMarekani yathibitisha kupeleka Cluster Munition kuanzia leo.
Wale panya wajiandae kimbia
Hizo story tumeanza kuzisikia kitambo,mambo sijui ya game changer ni ya kitambo sana!Sherehe kubwa inakuwa kwenye utoaji wa silaha,zikifika uwanja wa vitu ukimya mkubwa unatanda!Marekani yathibitisha kupeleka Cluster Munition kuanzia leo.
Wale panya wajiandae kimbia