Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Inaleta wasiwasi kwakweli!!
Wasiwasi kwamba inaweza kuwa hivi,sio?

[emoji1787][emoji1787]
1663765317045.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio umepanic baada kuona bwana wako kanipa maua unaanza kunionea wivu,

Hizo tabia unazonifikiria Sina bibie Wala usiwe na presha,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Inawezekana kweli huna hizo tabia lkn haileti picha nzur Mtoto wa kiume kupewa maua alaf bado unajitangaza hadharan huku ukiwatuhumu wanaokukumbusha kuwa unapotoka kuwa wanakuonea wivu
 
Mimi nilipokea maua kutoka Kwa huyo bwana wako kwa Nia nzuri tu Wala hakuna jambo lingine nyuma ya pazia, lakini nakushangaa unapoanza kuniandama as if Nina uhusiano wowote na huyo bwana

Bibie,Mimi Nina kazi zangu nimetulia Wala usifikirie kwamba Nina mpango na hayo mambo unayofikiria!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilipokea maua kutoka Kwa huyo bwana wako kwa Nia nzuri tu Wala hakuna jambo lingine nyuma ya pazia, lakini nakushangaa unapoanza kuniandama as if Nina uhusiano wowote na huyo bwana

Bibie,Mimi Nina kazi zangu nimetulia Wala usifikirie kwamba Nina mpango na hayo mambo unayofikiria!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unadhan hao wanaofanya hayo ya kupeana maua laiv laiv hawana kazi nzur???
 
ninachoribu kukuelewesha ni kwamba uondoe shaka kuhusu huyo bwana wako.., suala la kupokea maua ni jambo Moja , lakini pia kuhusu hayo mengine unayofikiria ni jambo lingine!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Najaribu kukumbusha isije tokea hapo baadae ukajilaumu baada ya kunasa kwenye mitego ya wahun

Dhumun la mtu kutoa maua ni kuonyesha upendo

Lkn wakiume huwa hatupendan bali tunaheshimiana

Sasa inapotokea umepewa maua unapaswa ujitafakar na uongeze umakin kwa sabab umeshaingia kwenye rada za wahun

Sasa kwa namna ninavyoona mienendo yako km nisipokukazia mchawi muda tu
 
Najua unaniandama kwa sababu huyo aliyenipa maua ni bwana wako , hivyo una wasiwasi wa kunyanganywa tonge mdomoni

Lakini ondoa shaka kuhusu hilo,hizo tabia Sina kabisa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Najua unaniandama kwa sababu huyo aliyenipa maua ni bwana wako , hivyo una wasiwasi wa kunyanganywa tonge mdomoni

Lakini ondoa shaka kuhusu hilo,hizo tabia Sina kabisa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mtoto wa kiume unakumbushwa usije haribikiwa unaona unaandamwa

Bas ngoja nikuache upatumie pahala pako kadri upendavyo
 
Kana kwamba NATO hawana hizo silaha?
Tofauti ya NATO na urusi kwenye silaha ni moja tu. Mmoja anazionyesha, mwingine kazificha wkt anazo
Kiburi cha nato kinatokana na jicho lao ambalo mrussi bado ajalipofusha nalo ni satelite....siku mrusi akichachamaa na na kuanza kuzipiga ndiyo utajua NATO NI KUKU TU
 
Russia is losing its advantage in heavy equipment at the front, – Bloomberg

According to the publication, Kyiv's allies have delivered 471 new tanks since the start of the war, with another 286 yet to arrive, even as the number of new pledges has slowed.

Combined with an estimate of equipment lost or captured by the open-source intelligence group Oryx, which many consider conservative, the figures suggest that Ukraine's tank fleet has grown since the start of the invasion last year, while Russia's has been cut in half.

According to Oryx, which records only those losses it can confirm, 2,082 Russian tanks have been destroyed, damaged, abandoned, or captured since the start of the war in 2022.

The gap in artillery and multiple-launch rocket systems has also narrowed, although by a much smaller margin.

Join our telegram channel for more videos - link in comments

Back
Top Bottom