Kwa wastani siku moja wanalambishwa mchanga wangapiHii ni Jana tu, zaidi ya mia sita wamelambishwa mchanga 🥱🥱🥱🥱View attachment 2679040
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
wacha tusikilizie mkuu kama watakinukisha huko na sisi wa huku tujiandae ......kuchagua upande wa kilicheza segere...Nimesoma sehemu kuhusu hiyo hofu ya kulipuliwa kwa Zaporizhzhia Nuclear Power Plant naona pande zote mbili zinashutumiana kutaka kulipua kinu hicho, hivyo huenda ni kweli kinu hicho kitalipuliwa ndio maana taarifa zinadai wananchi wengi wameondoka eneo hilo. Vilevile inaelezwa kuwa Russia imepunguza idadi ya watu wake waliopo eneo hilo.
Hata hivyo Serikali ya Ukraine imedai kuwa Mara nyingi Russia anapoitaja Ukraine kupanga kufanya jambo basi ujue wao ndio Mpango wao huo.