Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,619
- 2,272
Mtoto wa kiume umepewa maua na wa kiume mwenzio na bado unakenuaView attachment 2679833
Inaleta wasiwasi kwakweli!!Mtoto wa kiume umepewa maua na wa kiume mwenzio na bado unakenuaView attachment 2679833
Wasiwasi kwamba inaweza kuwa hivi,sio?Inaleta wasiwasi kwakweli!!
Naacha mdogomdogo braza
Unaona wivu eeh!?Naacha mdogomdogo braza
Lkn Braza umezingua kwa kutaka upewe maua toka kwa mwanaume mwenzio
Umepanik brazaUnaona wivu eeh!?
Unadhani nimepora bwana wako..,Mimi Sina kusudi Hilo bibie!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe ndio umepanic baada kuona bwana wako kanipa maua unaanza kunionea wivu,Umepanik braza
Inawezekana kweli huna hizo tabia lkn haileti picha nzur Mtoto wa kiume kupewa maua alaf bado unajitangaza hadharan huku ukiwatuhumu wanaokukumbusha kuwa unapotoka kuwa wanakuonea wivuWewe ndio umepanic baada kuona bwana wako kanipa maua unaanza kunionea wivu,
Hizo tabia unazonifikiria Sina bibie Wala usiwe na presha,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mimi nilipokea maua kutoka Kwa huyo bwana wako kwa Nia nzuri tu Wala hakuna jambo lingine nyuma ya pazia, lakini nakushangaa unapoanza kuniandama as if Nina uhusiano wowote na huyo bwanaInawezekana kweli huna hizo tabia lkn haileti picha nzur Mtoto wa kiume kupewa maua alaf bado unajitangaza hadharan huku ukiwatuhumu wanaokukumbusha kuwa unapotoka kuwa wanakuonea wivu
Unadhan hao wanaofanya hayo ya kupeana maua laiv laiv hawana kazi nzur???Mimi nilipokea maua kutoka Kwa huyo bwana wako kwa Nia nzuri tu Wala hakuna jambo lingine nyuma ya pazia, lakini nakushangaa unapoanza kuniandama as if Nina uhusiano wowote na huyo bwana
Bibie,Mimi Nina kazi zangu nimetulia Wala usifikirie kwamba Nina mpango na hayo mambo unayofikiria!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
ninachoribu kukuelewesha ni kwamba uondoe shaka kuhusu huyo bwana wako.., suala la kupokea maua ni jambo Moja , lakini pia kuhusu hayo mengine unayofikiria ni jambo lingine!Unadhan hao wanaofanya hayo ya kupeana maua laiv laiv hawana kazi nzur???
Najaribu kukumbusha isije tokea hapo baadae ukajilaumu baada ya kunasa kwenye mitego ya wahunninachoribu kukuelewesha ni kwamba uondoe shaka kuhusu huyo bwana wako.., suala la kupokea maua ni jambo Moja , lakini pia kuhusu hayo mengine unayofikiria ni jambo lingine!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Najua unaniandama kwa sababu huyo aliyenipa maua ni bwana wako , hivyo una wasiwasi wa kunyanganywa tonge mdomoniNajaribu kukumbusha isije tokea hapo baadae ukajilaumu baada ya kunasa kwenye mitego ya wahun
Dhumun la mtu kutoa maua ni kuonyesha upendo
Lkn wakiume huwa hatupendan bali tunaheshimiana
Sasa inapotokea umepewa maua unapaswa ujitafakar na uongeze umakin kwa sabab umeshaingia kwenye rada za wahun
Sasa kwa namna ninavyoona mienendo yako km nisipokukazia mchawi muda tu
Mtoto wa kiume unakumbushwa usije haribikiwa unaona unaandamwaNajua unaniandama kwa sababu huyo aliyenipa maua ni bwana wako , hivyo una wasiwasi wa kunyanganywa tonge mdomoni
Lakini ondoa shaka kuhusu hilo,hizo tabia Sina kabisa
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unaona wivu eeh!?
Unadhani nimepora bwana wako..,Mimi Sina kusudi Hilo bibie!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu, tena kwa huyo Mwamba kupokea Maua ndio itatufikirisha zaidi na zaidi.Wasiwasi kwamba inaweza kuwa hivi,sio?
[emoji1787][emoji1787]View attachment 2679948
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kiburi cha nato kinatokana na jicho lao ambalo mrussi bado ajalipofusha nalo ni satelite....siku mrusi akichachamaa na na kuanza kuzipiga ndiyo utajua NATO NI KUKU TUKana kwamba NATO hawana hizo silaha?
Tofauti ya NATO na urusi kwenye silaha ni moja tu. Mmoja anazionyesha, mwingine kazificha wkt anazo
Na hapo ndipo mrussi anapo wa tega nato ....na marekani anajua vizuri kuwa silaha zao bila ya satelite zinageuka kipofuSiku satelite za NATO zikiwa jammed and hacked, kwisha habari yao