Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vichwa maji wote na dedolarisation yenu endeleeni kukaza mafuvu ,Kenge wote mtatoka kwenye Mapango tu ,na Dollar inazidi kupanda thamani maradufu dhidi ya almost kila currency as we speak , huyo Mrusi anadump takataka yuan kama hana akili ,bado kuna taahira wana ndoto za kuiangusha dollar .
 
Attachments

  • Screenshot_20230708-200726.png
    Screenshot_20230708-200726.png
    333.4 KB · Views: 16
Na hali ya uchumi huko china ni mbaya sana kuanzia local government zilizojaa madeni na zinashindwa kulipa mishahara mpaka mabenki na makampuni ya serikali hali ni mbaya ,imefikia mpaka wanafanya layoffs ,na unemployment at all time high in recent years iliyopo china ,makampuni ya kigeni yanahamisha mitaji na viwanda .
Hata export zenyewe zimepungua ,China is dead .
 
Na US ambako Mabenki yanafirisika na kufa kabisa unasemaje hilo mkuu!!?
 
Kuja sehemu kasema uingerez nchi?

Punguza ujuaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Banana republic inayoshindwa kulipa wafanyakazi ije ipambane na Uncle Sam na King dollar wali na wapi ?
Hao ni wachina wana haja miezi tisa hamna mshahara na mabenki yameanza kutapeli clients , mtu anaenda kutoa hela benki anakataliwa ,hiyo ni total buncrupty ,endelea kukaza bichwa hilo
Pitia hii channel hao ni wachina na kuna kila wanaelezea na kureport kinachoendelea china na video kabisa
 
Na US ambako Mabenki yanafirisika na kufa kabisa unasemaje hilo mkuu!!?
RMB inazidi kucollpase kwa zaidi ya asilimia 7.2 dhidi ya dollar
Endelea kukaza fuvu hizo na Chinese Communist party walivyo washenzi wanaficha sana hizi taarifa + media na social media censorship kwenye hiyo mitandao yao kama weibo ,wechat nk .
Hali ya kiuchumi ni mbaya china mpaka matajiri wao wenyewe wanakimbilia kwa wingi Australia ,Canada ,USA nk
Pitia hapa
 
Haya wewe endelea kukaza matako yako ili uje uolewe vizuri mkuu!!
Na US ambako Mabenki yanafirisika na kufa kabisa unasemaje hilo mkuu!!?
We huna akili, huna unalolijua wewe , unajua ni benki ngapi zimeanza kufail tangia 2020 covid time ? ,Real estate na banking failures zimeanza tangia 2020 China na ilipofikia sasa hali ni mbaya ,mpaka kuna mpango wa serikali ya China wanataka waanze kubana haraka mlipe mikopo waliyotoa kwenye hizi nchi zenu ombaomba kama Tanzania ,maana kuna liquidity crunch ya hatari kwenye mfumo na bado makaratasi yao ya Yuan yanazidi kupoteana kwenye tamani , Bank failures za USA hazifiki hata asilimia kumi ya idadi ya bank failures za China , huwezi kupata hizi information kirahisi kwenye mainstream media sababu China media censorship ni kubwa , independent media ndio zinareport kuhusu hilo .
Wewe kusikia kuhusu bank failures za USA mi kwamba kuna uhuru wa kureport tofauti na china ambapo no media independence ,Chinese Communist party propaganda Ndio imetawala.

Na mchina ni kama ni kama nyapara ,akianza kukaba madeni yake kunusuru jahazi kwake mtajua hamjui
 
We huna akili, huna unalolijua wewe , unajua ni benki ngapi zimeanza kufail tangia 2020 covid time ? , Bank failures za USA hazifiki hata asilimia kumi ya idadi ya bank failures za China , huwezi kupata hizi information kirahisi kwenye mainstream media sababu Chuma media censorship ni kubwa , independent media ndio zinareport kuhusu hilo .
Wewe kusikia kuhusu bank failures za USA mi kwamba kuna uhuru wa kureport tofauti na china ambapo no media independence ,Chinese Communist party propaganda Ndio imetawala
Acha upopoma mbona hizo media za mabwana zako US na NATO haziripoti wakipigwa huko Ukraeni kama ambavyo walivyozikwa kwenye mahandaki?
 
Acha upopoma mbona hizo media za mabwana zako US na NATO haziripoti wakipigwa huko Ukraeni kama ambavyo walivyozikwa kwenye mahandaki?
Taahira wewe , information gani za vita ya Ukraine haziwi reported wewe mpuuzi ?
Hizo information mnazoleta humu huwa mnazitoa kwenye makalio ya bibi zenu au ?
Si mnaleta humu habari toka Reuters ,CNN ,DW ,BBC ,ABC ,fox news ,sky news kila saa humu ?
Zoba wewe
 
Back
Top Bottom