CULCULUS
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 316
- 619
Tayari hili ni jawabu pia. Umejibu.Sijibu upinde mimi.
Tayari hili ni jawabu pia. Umejibu.Sijibu upinde mimi.
Wanatumika tu wataishaaa wengi hawana miguu kwasasa..Kaueni hako kapimbi Kazele mmalize vita..shauri yenu
Wewe umejuaje kama hizo taarifa ni Siri na azitoki kizembeeWe huna akili, huna unalolijua wewe , unajua ni benki ngapi zimeanza kufail tangia 2020 covid time ? ,Real estate na banking failures zimeanza tangia 2020 China na ilipofikia sasa hali ni mbaya ,mpaka kuna mpango wa serikali ya China wanataka waanze kubana haraka mlipe mikopo waliyotoa kwenye hizi nchi zenu ombaomba kama Tanzania ,maana kuna liquidity crunch ya hatari kwenye mfumo na bado makaratasi yao ya Yuan yanazidi kupoteana kwenye tamani , Bank failures za USA hazifiki hata asilimia kumi ya idadi ya bank failures za China , huwezi kupata hizi information kirahisi kwenye mainstream media sababu China media censorship ni kubwa , independent media ndio zinareport kuhusu hilo .
Wewe kusikia kuhusu bank failures za USA mi kwamba kuna uhuru wa kureport tofauti na china ambapo no media independence ,Chinese Communist party propaganda Ndio imetawala.
Na mchina ni kama ni kama nyapara ,akianza kukaba madeni yake kunusuru jahazi kwake mtajua hamjui
Huyu mzee apumzishwe TU[emoji28]Haya mzee mwenzangu leo kasahau kumeza dawa zake anasema ni muhimu Urusi ije ikubaliwe kujiunga NATO, ha ha ha....!
[emoji631] Grandfather forgot to take the pills again and said that "Russia needs to be accepted into NATO."
View attachment 2681826
Maku yako mtoto mzuriii kimbakiloTaahira wewe , information gani za vita ya Ukraine haziwi reported wewe mpuuzi ?
Hizo information mnazoleta humu huwa mnazitoa kwenye makalio ya bibi zenu au ?
Si mnaleta humu habari toka Reuters ,CNN ,DW ,BBC ,ABC ,fox news ,sky news kila saa humu ?
Zoba wewe
Kuna taarifa za mipango ya Russia kufanya mashambulizi makali kujaribu kuchukua Odessa na Snake Island mazima.Kamata hii na uiweke akina
After the NATO summit, Ukraine may lose Odessa
Former adviser to the head of the Pentagon, Colonel Douglas McGregor, in an interview with Judging Freedom, said that the provocations of the Armed Forces of Ukraine during the NATO summit in Vilnius could lead to territorial losses for Ukraine.
"NATO's decision at the upcoming summit could force Putin to go on an active offensive in Ukraine all the way to Odessa," McGregor said.
The fact that Odessa has not yet been taken by Russian forces is due to the restraint of Putin, who is trying to prevent the conflict from escalating, he said .
👉 Douglas McGregor...
Una hamu na kufukuliwa malinda wewe pungazeze ?
Kuna taarifa za mipango ya Russia kufanya mashambulizi makali kujaribu kuchukua Odessa na Snake Island mazima.
Moja Kati ya dalili ya msongo wa mawazo.Vichwa maji wote na dedolarisation yenu endeleeni kukaza mafuvu ,Kenge wote mtatoka kwenye Mapango tu ,na Dollar inazidi kupanda thamani maradufu dhidi ya almost kila currency as we speak , huyo Mrusi anadump takataka yuan kama hana akili ,bado kuna taahira wana ndoto za kuiangusha dollar .
Taahira wewe , information gani za vita ya Ukraine haziwi reported wewe mpuuzi ?
Hizo information mnazoleta humu huwa mnazitoa kwenye makalio ya bibi zenu au ?
Si mnaleta humu habari toka Reuters ,CNN ,DW ,BBC ,ABC ,fox news ,sky news kila saa humu ?
Zoba wewe
Acha ushamba ! Hiyo ni relaxation time ,kuwa rais sio kuwa kama robot kwamba hauna muda wa kupumzika, huyo ni binadamu sio machine , Amekula bata kuliko Trump ambaye mpaka alihamishia shughuli za ikulu kwenye hotel yake ya Mar a Lago -Florida ?Babu Biden akiwa anakula bata beach. Katumia 39.2% ya muda wake wa Urais Kwa kula bata. Raha jipe mwenyewe ha ha ha ....
View attachment 2682770
A shirtless Joe Biden enjoys a another relaxing day at the beach
Ol’ Joe has spent 353 days - 39.2% of his presidency - on vacation.
@RiseGS