kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Mbaya zaidi hawana habari nae😂View attachment 2685582
Zelensky anavyotia huruma ktk kikao cha Nato,
“Za kuambiwa changanya na zako”
Mwambie NATO wanaogopa mnyama unaoitea SATANA II.NATO hawataki vita dhidi ya urusi.
View attachment 2685582
Zelensky anavyotia huruma ktk kikao cha Nato,
“Za kuambiwa changanya na zako”
Inatakiwa ujibu article kwa facts na data badala ya kubisha tu.Mimi hupost nikiweka na source ya hiyo habari!We jamaa huwa unaandika vitu ili kujifurahisha...Unaonaga raha kupost kama unajiongelea mwenyewe??
Jamaa anatia huruma! Mpaka dakika hii wamemweka njia panda kwa kuogopa kuingia vitani na Russia! So sad.
Mzee kwa NATO wenzao sio kwa Putin.Mzee kasema [emoji123][emoji123]
Stoltenberg said that NATO had taken its strongest decision yet on Ukraine's membership path, with the full knowledge that Moscow would protest.
"We will never allow Moscow to decide who can and cannot be a member of the Alliance," the Secretary General added.
Join our telegram channel for more videos - link in comments
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app