Mimi nilidhani kuwa moron wa CIA ni aibu,kumbe kwa wengine ni sifa!Dah,kweli nyakati zimebadilika.Mkuu mbona umempa cheo kikubwa hivo ..
Hakuna kibaraka wa us wala CIA humu
Huyo ni ***** ndio maana anatetea maslahi yao .
Mashoga wote ndio wanatetea west huezi mkuta upinde aki support hii revolution
Dombass inatakiwa itanuliwe ifike mpaka UK.tukichukua tu Poland na UK basi wengine wote wataenda kupiga magoti Moscow[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa Putin anaitaka NATO yenyewe na sio Tena zelensky.View attachment 2703787
Ecowas wasikutishe na maneno yao.ni kawaida tu kuongea maneno.Ila hawa ecowas sijawaelewa kabisa naona wanaeza tuma jeshi niger
Huu ni mwezi wa ngapi Putin anasumbuliwa na kijimbo kimoja kilichokuwa sehemu ya USSR?Are you serious that Putin is getting what he deserves!?Na kipigo cha Zelensky mpaka askari wake wana-surrender en-masse unakielezeaje?Mbona ninyi mnakuwa wepesi wa kudanganya hivyo?
Mimi nilidhani kuwa moron wa CIA ni aibu,kumbe kwa wengine ni sifa!Dah,kweli nyakati zimebadilika.
Ecowas wasikutishe na maneno yao.ni kawaida tu kuongea maneno.
Yule jamaa yupo kwenye majaruba ya mpunga halafu anadai anafahamu kila kitu kinachoendelea Russia...
Ni nani vile huu jamaa? Nimemsahau.
Kuna namna Russia [emoji635] anahusika hapaSasa France atajua maisha yanaendaje.View attachment 2703788
Hakuna kati yao anaetaka vitaIla hawa ecowas sijawaelewa kabisa naona wanaeza tuma jeshi niger
Ni uhuni tu.Unadhani Kwanini kwenye Mapinduz ya kijeshi yanayotokea kwenye nchi za Afrika kwa sasa unaona wananchi wakiwa na bendera za Urusi au Picha za Putin na Wakiimba nyimbo za kuchoshwa na Ukoloni na vibaraka wa mabeberu kwenye Nchi zaoView attachment 2703786
Ukraine mmeshaimaliza ?Dombass inatakiwa itanuliwe ifike mpaka UK.tukichukua tu Poland na UK basi wengine wote wataenda kupiga magoti Moscow[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ya kuzuia uranium itawaumiza sana wafaransa kiuchumi; gharama za nishati zitapanda kwa viwango vya kutisha.Sasa France atajua maisha yanaendaje.View attachment 2703788
AnataniaUkraine mmeshaimaliza ?
Archana na hawa Warusi wa mchongo.Putin ndio anajua ugumu wa hiyo vita ila kajitia tu pamba masikioni!Ukraine mmeshaimaliza ?
Una hitaji kuwa smart sana kuelewa huyo jamaa alicho maanishaSasa apa Russia kajipanga nini wewe ndo leo mara ya kwanza unasikia mapinduzi ulimwenguni ama nini cha ajabu mpaka utie mliiio kiasi icho!!
Tatizo la Niger wamepakana na Burkina Faso, Mali kule upande wa Magharibi ambao hawampendi kabisa Mfaransa na Ubeberu wake.Shida ni kua walioko nyuma ya ecowas ni west hapo niger wanaeza fanya sehemu ya battle na nchi ikakosa amani kwa mda mrefu
Huu Ni mwezi wa ngapi us na NATO wanatuma silaha Ukraine?Huu ni mwezi wa ngapi Putin anasumbuliwa na kijimbo kimoja kilichokuwa sehemu ya USSR?