jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
wacha nisaidie na map ya russia prescence in africaTatizo la Niger wamepakana na Burkina Faso, Mali kule upande wa Magharibi ambao hawampendi kabisa Mfaransa na Ubeberu wake.
Ukraine waendelea kukomboa ardhi yao.
Mdogomdogo mpaka watafikia malengo[emoji848]
.....
Defenders liberate 12.6 square km in south and 2 square km on Bakhmut front over past week
Heavy fighting continues on the Kupiansk, Lyman, Bakhmut, Avdiivka and Marinka fronts, but the Ukrainian Armed Forces managed to liberate another 14.6 square kilometres over the past week.www.pravda.com.ua
wacha nisaidie na map ya russia prescence in africa
na kama kuna nchi sijawekelea bendera nikumbushe
View attachment 2704185
Hamna kitu kama hiyo.... Yamefanyika mapinduzi zaidi ya 50 huko na hawajapeleka popote pale jeshi...Ila hawa ecowas sijawaelewa kabisa naona wanaeza tuma jeshi niger
Na wote hao wamefanya mapinduzi... Na ECOWAS hakuna kitu wamefanya...Tatizo la Niger wamepakana na Burkina Faso, Mali kule upande wa Magharibi ambao hawampendi kabisa Mfaransa na Ubeberu wake.
Wanasahau kwamba Poland ni NATO,wakimgusa basi Urusi inaanza kuoga mabomu ya masafa marefu ambayo Ukraine imenyimwa na kupewa mabomu ya masafa mafupi ya kuoperate ndani ya ukraine.Ukraine mmeshaimaliza ?
Ok na mashambulizi dhidi ya poland yanaanza lini?The Ukrainian military lost over 20,800 troops and more than 2,200 items of military hardware, including 10 Leopard tanks over the past month, Russian Defense Minister Sergey Shoigu told a conference call with military commanders: https://vk.cc/cpQlwg
Yugoslavia mbona NATO mlitimba tu.... Watu tunaangalia habari mara mabomu au ulikuwa Mtoto!??...Wanasahau kwamba Poland ni NATO,wakimgusa basi Urusi inaanza kuoga mabomu ya masafa marefu ambayo Ukraine imenyimwa na kupewa mabomu ya masafa mafupi ya kuoperate ndani ya ukraine.
Naamini mpaka sasa ndo maana hawajafanya uamzi wa kuigusa Poland ,hapo NATO na USA wataingia mazima na mrusi ameishatepeta ni kumalizwa kabisa,tupate mafuta maana tumeichoka hii vita.